Raisi yupi wa yanga auTafsiri yake ni nini?
Zipo mamlaka zenye jukumu hilo.Tafsiri yake ni nini?
Nyoka Hajing'ati mkiaTafsiri yake ni nini?
Kula kwa urefu wa kamba yakoTafsiri yake ni nini?
Mwenye d 2 hawezi elewaNyoka Hajing'ati mkia
kwahiyo kazi ya asha mashauzi ni nini???Zipo mamlaka zenye jukumu hilo.
Wapemba na waarabu hujuana kwa vilemba.Tafsiri yake ni nini?
Kuchamba na kusuta na mipashokwahiyo kazi ya asha mashauzi ni nini???
ccm wana upumbavu mwingi sana, kituko gani hiki walituletea?? akina bashiru Ally walikuwa sahihi kabsa kutaka kupindua katiba.Kuchamba na kusuta na mipasho
Mkuu, tatizo ni kwamba watu sio wachambuzi. Kauli ya "kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake" ilitokana na kuwepo kwa minong'ono kwamba ofisi ya juu kabisa nchini ilikuwa inajiingiza katika ufisadi na upendeleo wa tenda kwa ndugu na kupiga fedha za serikali. Vijana wa familia hata marafiki walikuwa wakipewa tenda za serikali kwa vi-note tu na kulipwa mamilioni hadi mabilioni ya fedha. Kauli hii ilitolewa kama vile kuwahalalishia na wengine kwamba sio vibaya na nyie mkitumia fursa mlizo nazo kujinufaisha, ili kuzima minong'ono ambayo ilikuwa ikiendelea kwamba ufisadi ulikuwa ukifanyika huko juu, sasa kwa nini sisi huku chini tunabaniwa? Ndio maana hata siku moja katika uongozi huu hutasikia mtu kawajibishwa kwa vitendo vya ufisadi. Utamwajibishaje fisadi wakati na wewe uko kundi hilo?Tafsiri yake ni nini?
Kukemea siyo kufoka foka mdogo wangu. Rushw huwa inakemewa kidayansi. Jpm na usjamba wake alikemea kwenye medi kujionesha tu ila akina makonda wamepiga hela ndefu sana kipindi chake na akina sabaya wamefilisi sana wafanya biashara. Samia anakemea rushwa kwa kujenga uchumi ili kila mtu apate ajra.Tafsiri yake ni nini?