Ni lini umewahi kumsikia Rais Samia Suluhu Hassan akizungumzia mambo haya?

Rais wa nchi ndiye kimsingi ni alama na dira ya Taifa. Kwa Tanzania Rais wetu Kwa Sasa ni Samia Suluhu Hassan.

Tangu awe Rais ni wakati gani Rais aliwahi kuzungumzia kwa kina mambo ya uchumi?

Mtizamo wake kuhusu biashara kati yetu na nchi jirani, jinsi sera zilivyo Bora ama zinazotakiwa kubadilishwa.

Nafasi ya Tanzania kwenye uchumi wa Dunia, uwekezaji , nafasi ya mabenki kwenye kukuza uchumi na kadhalika.

Labda nani hasa anajua mtizamo wa Mheshimiwa Rais kuhusu mifumo yetu ya elimu na ubora wenyewe wa hiyo Elimu inayotokana na mifumo ya Elimu iliyopo?

Kilimo chetu Mheshimiwa Rais anakionaje, jee Kuna jambo gani mahsusi anawaza kuhusu sekta ya Kilimo Tanzania?

Mambo ya ulinzi na diplomasia ya kikanda na kiulimwengu anaiona Tanzania Iko kwenye nafasi gani kikanda na kiulimwengu?

Kwa mtazamo wake anataka miaka 25 ijao Tanzania iweje?
Wewe unaemuwazia makubwa kiasi hiki nadhani ndio umepotea njia! jadili goli la mama na mambo kama hayo!
Mnamtwisha mzigo mzito sana huyo maza!

"Changamoto kubwa zaidi iliyopo katika ulimwengu wa Sasa ni kwamba Watu wenye akili Nzuri hawataki kujihusisha na Siasa, hivyo watu wasio na akili wamepewa Mamlaka ya kuwatawala watu wenye akili na watu wasiokuwa na akili."

Donald Trump
 
Wewe unaemuwazia makubwa kiasi hiki nadhani ndio umepotea njia! jadili goli la mama na mambo kama hayo!
Kuna siku nilikuwa na wakenya wakanieleza kwa nini hawajawahi na hawawezi kupata rais kutoka Mombasa,Lamu na watu wa huko. Ndio nikaja kuelewa kwa nini ukiwa milionea Kenya ni sawa na kuwa milionea Japan. Watanzania tupo nyuma sana.
1745742165877.png
 
Rais wa nchi ndiye kimsingi ni alama na dira ya Taifa. Kwa Tanzania Rais wetu Kwa Sasa ni Samia Suluhu Hassan.

Tangu awe Rais ni wakati gani Rais aliwahi kuzungumzia kwa kina mambo ya uchumi?

Mtizamo wake kuhusu biashara kati yetu na nchi jirani, jinsi sera zilivyo Bora ama zinazotakiwa kubadilishwa.

Nafasi ya Tanzania kwenye uchumi wa Dunia, uwekezaji , nafasi ya mabenki kwenye kukuza uchumi na kadhalika.

Labda nani hasa anajua mtizamo wa Mheshimiwa Rais kuhusu mifumo yetu ya elimu na ubora wenyewe wa hiyo Elimu inayotokana na mifumo ya Elimu iliyopo?

Kilimo chetu Mheshimiwa Rais anakionaje, jee Kuna jambo gani mahsusi anawaza kuhusu sekta ya Kilimo Tanzania?

Mambo ya ulinzi na diplomasia ya kikanda na kiulimwengu anaiona Tanzania Iko kwenye nafasi gani kikanda na kiulimwengu?

Kwa mtazamo wake anataka miaka 25 ijao Tanzania iweje?
Huyu aliwekwa kisiasa kudumisha muungano tu. Hana hiyo vision unayotarajia. Hata mwendazake mwenyewe alisema waziwazi kuhusu pendekezo lake.
 
Ndio maana wakati wa sakata la bandari Lissu alimuita ana akili za matope, yaani hamna kitu kichwani hahhaaaaha
Binafsi, nilipigia mstari jibu kuwa pale hamna kitu siku alipomuagiza Kijazi wa TANAPA eti aruhusu uwekezaji wa madini ndani ya hifadhi ya Serengeti

Hatujawahi kupata Rais mwingine japo aliyethubutu tu kuwaza ujinga huo!.
 
Uliuona huo mkataba wa kazi?
Haina haja ya kuona mkataba! Maneno yenu tu yanadhihirisha kuwa mna jambo mnafanya! Haiwezekani mtu unatetea tu hata mambo yaliyo wazi! Hoja za mleta mada hujajibu hata moja moja! Zaidi zaidi unasifia tu maza! WTF?
 
Kunywa sumu upunguze hasira wewe kima
 
Rais wa nchi ndiye kimsingi ni alama na dira ya Taifa. Kwa Tanzania Rais wetu Kwa Sasa ni Samia Suluhu Hassan.

Tangu awe Rais ni wakati gani Rais aliwahi kuzungumzia kwa kina mambo ya uchumi?

Mtizamo wake kuhusu biashara kati yetu na nchi jirani, jinsi sera zilivyo Bora ama zinazotakiwa kubadilishwa.

Nafasi ya Tanzania kwenye uchumi wa Dunia, uwekezaji , nafasi ya mabenki kwenye kukuza uchumi na kadhalika.

Labda nani hasa anajua mtizamo wa Mheshimiwa Rais kuhusu mifumo yetu ya elimu na ubora wenyewe wa hiyo Elimu inayotokana na mifumo ya Elimu iliyopo?

Kilimo chetu Mheshimiwa Rais anakionaje, jee Kuna jambo gani mahsusi anawaza kuhusu sekta ya Kilimo Tanzania?

Mambo ya ulinzi na diplomasia ya kikanda na kiulimwengu anaiona Tanzania Iko kwenye nafasi gani kikanda na kiulimwengu?

Kwa mtazamo wake anataka miaka 25 ijao Tanzania iweje?
Haya mambo yanahitaji mtu smart juu.
 
Attachments

  • VID-20250424-WA0020.mp4
    12.3 MB
August wanaweza kutokuwa Engineers lakini wakapewa nafasi pia. Jamii ndiyo huzaa maendeleo kuanzia ngazi ya familia.

Jee Leo hii ndani ya familia zetu ni nani kaongea na watoto wake kujua ndoto zao na kuwasaidia kuzifikia?

Inakuwaje mtu anafika kidato cha sita lakini akiulizwa anataka kuwa nani hajui anataka kuwa nani.

Wasomi wetu wengi nini watasoma mbele ya safari huamuliwa na matokeo ya mitihani ambayo ndiyo hutengeneza "combination" zinazoamua hatima za wasomi wetu.

Hapo nimeuliza kuhusu mifumo yetu ya elimu. Jee kama Taifa mifumo yetu ya kuzalisha wahandisi wasomi ikoje? Jee tunataka wahandisi watenda kazi ama wahandisi wana nadharia?
 
Tatizo letu linaanzia juu, yaani samaki huanza kuoza kichwani , kama ulivyo sema sio lazima awe injinia n.k n.k . Lakini tatizo letu ambalo lina jenga taifa ni nidhamu, ambayo itaua rushwa na ubadhirifu mbali mbali, na kujenga uzalishaji, ndio maana vijana wengi wanakosa uelekeo. Na hiyo nidhamu ikianxia juu itafika hata majumbani mwetu.
 
Back
Top Bottom