Interested Observer
Platinum Member
- Mar 27, 2006
- 4,999
- 7,928
SadKumbe 18 nilidhani 17
SadKumbe 18 nilidhani 17
Rais wa nchi ndiye kimsingi ni alama na dira ya Taifa. Kwa Tanzania Rais wetu Kwa Sasa ni Samia Suluhu Hassan.
Tangu awe Rais ni wakati gani Rais aliwahi kuzungumzia kwa kina mambo ya uchumi?
Mtizamo wake kuhusu biashara kati yetu na nchi jirani, jinsi sera zilivyo Bora ama zinazotakiwa kubadilishwa.
Nafasi ya Tanzania kwenye uchumi wa Dunia, uwekezaji , nafasi ya mabenki kwenye kukuza uchumi na kadhalika.
Labda nani hasa anajua mtizamo wa Mheshimiwa Rais kuhusu mifumo yetu ya elimu na ubora wenyewe wa hiyo Elimu inayotokana na mifumo ya Elimu iliyopo?
Kilimo chetu Mheshimiwa Rais anakionaje, jee Kuna jambo gani mahsusi anawaza kuhusu sekta ya Kilimo Tanzania?
Mambo ya ulinzi na diplomasia ya kikanda na kiulimwengu anaiona Tanzania Iko kwenye nafasi gani kikanda na kiulimwengu?
Kwa mtazamo wake anataka miaka 25 ijao Tanzania iweje?
Zanzibar kawaida sana kuanzia miaka 15
msaada wake ni mapolisi, ma form four failuresKama ataweza kufanya hayo bila kusaidiwa na Polisi.
Hakuna Rais hapa ni Bomu tena la kienyejiRais wa nchi ndiye kimsingi ni alama na dira ya Taifa. Kwa Tanzania Rais wetu Kwa Sasa ni Samia Suluhu Hassan.
Tangu awe Rais ni wakati gani Rais aliwahi kuzungumzia kwa kina mambo ya uchumi?
Mtizamo wake kuhusu biashara kati yetu na nchi jirani, jinsi sera zilivyo Bora ama zinazotakiwa kubadilishwa.
Nafasi ya Tanzania kwenye uchumi wa Dunia, uwekezaji , nafasi ya mabenki kwenye kukuza uchumi na kadhalika.
Labda nani hasa anajua mtizamo wa Mheshimiwa Rais kuhusu mifumo yetu ya elimu na ubora wenyewe wa hiyo Elimu inayotokana na mifumo ya Elimu iliyopo?
Kilimo chetu Mheshimiwa Rais anakionaje, jee Kuna jambo gani mahsusi anawaza kuhusu sekta ya Kilimo Tanzania?
Mambo ya ulinzi na diplomasia ya kikanda na kiulimwengu anaiona Tanzania Iko kwenye nafasi gani kikanda na kiulimwengu?
Kwa mtazamo wake anataka miaka 25 ijao Tanzania iweje?
Anaongea sana, huenda mkuu 'Allen' kapitiwa tu.Mbona anaongea na kusema hakopi kununua sare za harusi!
Bila shaka sasa umechanganyikiwa au ni kipofu wa akili na macho.
Unataka kina cha aina ipi?Neno "Kwa kina" umeliona kwenye andiko langu. Unaelewa maana ya kwa kina?
Ndio maana nina shaka wanaccm wenye kujitambua hawataenda kupiga kura mwaka huu. Watapenda ccm ishinde kwa mategemeo mbeleni wataweza kuja pata fursa kuchagua mgombea anayebeba vema itikadi ya ccm ya ujamaa na kujitegemea.Rais wa nchi ndiye kimsingi ni alama na dira ya Taifa. Kwa Tanzania Rais wetu Kwa Sasa ni Samia Suluhu Hassan.
Tangu awe Rais ni wakati gani Rais aliwahi kuzungumzia kwa kina mambo ya uchumi?
Mtizamo wake kuhusu biashara kati yetu na nchi jirani, jinsi sera zilivyo Bora ama zinazotakiwa kubadilishwa.
Nafasi ya Tanzania kwenye uchumi wa Dunia, uwekezaji , nafasi ya mabenki kwenye kukuza uchumi na kadhalika.
Labda nani hasa anajua mtizamo wa Mheshimiwa Rais kuhusu mifumo yetu ya elimu na ubora wenyewe wa hiyo Elimu inayotokana na mifumo ya Elimu iliyopo?
Kilimo chetu Mheshimiwa Rais anakionaje, jee Kuna jambo gani mahsusi anawaza kuhusu sekta ya Kilimo Tanzania?
Mambo ya ulinzi na diplomasia ya kikanda na kiulimwengu anaiona Tanzania Iko kwenye nafasi gani kikanda na kiulimwengu?
Kwa mtazamo wake anataka miaka 25 ijao Tanzania iweje?
Yeye kipaumbele chake ni kuwa Rais tena hata kwa kumwaga damuRais wa nchi ndiye kimsingi ni alama na dira ya Taifa. Kwa Tanzania Rais wetu Kwa Sasa ni Samia Suluhu Hassan.
Tangu awe Rais ni wakati gani Rais aliwahi kuzungumzia kwa kina mambo ya uchumi?
Mtizamo wake kuhusu biashara kati yetu na nchi jirani, jinsi sera zilivyo Bora ama zinazotakiwa kubadilishwa.
Nafasi ya Tanzania kwenye uchumi wa Dunia, uwekezaji , nafasi ya mabenki kwenye kukuza uchumi na kadhalika.
Labda nani hasa anajua mtizamo wa Mheshimiwa Rais kuhusu mifumo yetu ya elimu na ubora wenyewe wa hiyo Elimu inayotokana na mifumo ya Elimu iliyopo?
Kilimo chetu Mheshimiwa Rais anakionaje, jee Kuna jambo gani mahsusi anawaza kuhusu sekta ya Kilimo Tanzania?
Mambo ya ulinzi na diplomasia ya kikanda na kiulimwengu anaiona Tanzania Iko kwenye nafasi gani kikanda na kiulimwengu?
Kwa mtazamo wake anataka miaka 25 ijao Tanzania iweje?
Kwa mfano sisi kama Taifa sera yetu kuhusu Afrika na Afrika ya Mashariki ikoje.Unataka kina cha aina ipi?
Nyerere, Mwinyi, Mkapa ,Kikwete Na Magufuli walikuwa WakuzungumziaHata lissu sijawahi msikia akijadili haya uliyohoji zaidi ya kutaka Tanzania inyimwe misaada na uchaguzi.
Hapa unakusudia nini?Nyerere, Mwinyi, Mkapa ,Kikwete Na Magufuli walikuwa Wakuzungumzia
Mbona hivyo vitu vimeelezwa sana na Mheshimiwa Rais? Tena kwa kina sanaa? Mimi sitaki kuanza kurudia hapa maana inaonyesha una matatizo ya kupoteza kumbukumbuKwa mfano sisi kama Taifa sera yetu kuhusu Afrika na Afrika ya Mashariki ikoje.
Kwa Afrika ya Mashariki tunafanya biashara na nchi ipi na maslahi yetu ni nini?
Ajira kwa vijana ikoje. Serikali inafanya nini kwa kusudia kuongeza ajira na kupanua wigo wa ajira na kuongeza uwezo wa sekta binafsi kuajiri.
Serikali inatoa nafuu kiasi gani ya Kodi (Tax incentives) kwa biashara zinazoanzishwa na wazawa? Na biashara za wazawa zinalindwa vipi na Serikali?