Ni lini umewahi kumsikia Rais Samia Suluhu Hassan akizungumzia mambo haya?

Desturi ya Kuzungumzia Kila mwezi mstakabali wa Nchi kwa Nyanja Hizo alianzisha Mkapa baadaye Kikwete alifata Kila Mwezi alikuwa akizungumza Na Umma
Yes. Mkapa alianzisha halafu Kikwete akafuata.

Na hata kama hukubaliani na mtu, lakini angalau ujue anasimamia nini. Na ili ijulikane siyo tu aseme, lakini pia atumie mantiki kwenye uwasilishaji wa hoja zake.
 
Mbona hivyo vitu vimeelezwa sana na Mheshimiwa Rais? Tena kwa kina sanaa? Mimi sitaki kuanza kurudia hapa maana inaonyesha una matatizo ya kupoteza kumbukumbu
Kwa mfano unaweza kuelezea jambo gani la kiuchumi ambalo lilielezewa kinagaubaga na wewe unalikumbuka!?
 
Sasa uchumi azungumze Nini
Bandari ameuza
Kilimo mazao hayana soko
Ngorongoro ameuza
Shilling imeshuka thamani
Mwendokasi imejifia
SGR inayumba
Umeme tunanunua Ethiopia tumeshindwa kutoa Rufiji
Maslahi duni ya watumishi
Deni la Taifa ni trillion 97.35
 
Sawa hata kama hali ipo hivyo, basi aseme ataibadilishaje hali hiyo na ataibadilisha vipi!?
 
Rais wa nchi ndiye kimsingi ni alama na dira ya Taifa. Kwa Tanzania Rais wetu Kwa Sasa ni Samia Suluhu Hassan.

Tangu awe Rais ni wakati gani Rais aliwahi kuzungumzia kwa kina mambo ya uchumi?

Mtizamo wake kuhusu biashara kati yetu na nchi jirani, jinsi sera zilivyo Bora ama zinazotakiwa kubadilishwa.

Nafasi ya Tanzania kwenye uchumi wa Dunia, uwekezaji , nafasi ya mabenki kwenye kukuza uchumi na kadhalika.

Labda nani hasa anajua mtizamo wa Mheshimiwa Rais kuhusu mifumo yetu ya elimu na ubora wenyewe wa hiyo Elimu inayotokana na mifumo ya Elimu iliyopo?

Kilimo chetu Mheshimiwa Rais anakionaje, jee Kuna jambo gani mahsusi anawaza kuhusu sekta ya Kilimo Tanzania?

Mambo ya ulinzi na diplomasia ya kikanda na kiulimwengu anaiona Tanzania Iko kwenye nafasi gani kikanda na kiulimwengu?

Kwa mtazamo wake anataka miaka 25 ijao Tanzania iweje?
😆😆😆
 
Secretary katika mtizamo wake
 
Kwa ivo hakuna namna ya kubadilisha?

Labda Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah wanajua mipango iliyopo!
gentleman,
si mkusanyike pamoja kesho hata kama ni mwananyamala hospital tumsalimie yule kamanda bibi halafu kisha niwajibu kwa pamoja?

ni muhimu mkanipatia nafasi na fursa ya kupumzika gentleman, nimewaeleza ukweli mwingi zaidi leo, right?🐒
 
Rais wa nchi ndiye kimsingi ni alama na dira ya Taifa. Kwa Tanzania Rais wetu Kwa Sasa ni Samia Suluhu Hassan.

Tangu awe Rais ni wakati gani Rais aliwahi kuzungumzia kwa kina mambo ya uchumi?

Mtizamo wake kuhusu biashara kati yetu na nchi jirani, jinsi sera zilivyo Bora ama zinazotakiwa kubadilishwa.

Nafasi ya Tanzania kwenye uchumi wa Dunia, uwekezaji , nafasi ya mabenki kwenye kukuza uchumi na kadhalika.

Labda nani hasa anajua mtizamo wa Mheshimiwa Rais kuhusu mifumo yetu ya elimu na ubora wenyewe wa hiyo Elimu inayotokana na mifumo ya Elimu iliyopo?

Kilimo chetu Mheshimiwa Rais anakionaje, jee Kuna jambo gani mahsusi anawaza kuhusu sekta ya Kilimo Tanzania?

Mambo ya ulinzi na diplomasia ya kikanda na kiulimwengu anaiona Tanzania Iko kwenye nafasi gani kikanda na kiulimwengu?

Kwa mtazamo wake anataka miaka 25 ijao Tanzania iweje?
Muulize simba na yanga wanacheza lini.

Ningekuoomba ufute uzi wako maana wana intelijensia wa nchi jirani wakiona maswali uliouliza itakuwa advantage kwao na weakness kwa taifa kama ilivyo huko Malawi na SA
 
Rais wa nchi ndiye kimsingi ni alama na dira ya Taifa. Kwa Tanzania Rais wetu Kwa Sasa ni Samia Suluhu Hassan.

Tangu awe Rais ni wakati gani Rais aliwahi kuzungumzia kwa kina mambo ya uchumi?

Mtizamo wake kuhusu biashara kati yetu na nchi jirani, jinsi sera zilivyo Bora ama zinazotakiwa kubadilishwa.

Nafasi ya Tanzania kwenye uchumi wa Dunia, uwekezaji , nafasi ya mabenki kwenye kukuza uchumi na kadhalika.

Labda nani hasa anajua mtizamo wa Mheshimiwa Rais kuhusu mifumo yetu ya elimu na ubora wenyewe wa hiyo Elimu inayotokana na mifumo ya Elimu iliyopo?

Kilimo chetu Mheshimiwa Rais anakionaje, jee Kuna jambo gani mahsusi anawaza kuhusu sekta ya Kilimo Tanzania?

Mambo ya ulinzi na diplomasia ya kikanda na kiulimwengu anaiona Tanzania Iko kwenye nafasi gani kikanda na kiulimwengu?

Kwa mtazamo wake anataka miaka 25 ijao Tanzania iweje?
Uwezo huo aitoe wapi?
Angefaa kuwa naibu waziri wa michezo
 
Mbona huwa anaongelea hayo mambo.
Kumbuka Samia ni msomi wa chuo cha Manchester (Masters degree)
 
Kuna mahali nimeuliza usomi wake ni kiwango gani au kutilia shaka kumhusu yeye binafsi?

Wewe unakumbuka aliongele Kwa kina jambo gani ambalo wewe unaweza kutukumbusha!?
 
Back
Top Bottom