Ni lini umewahi kumsikia Rais Samia Suluhu Hassan akizungumzia mambo haya?

Rais wa nchi ndiye kimsingi ni alama na dira ya Taifa. Kwa Tanzania Rais wetu Kwa Sasa ni Samia Suluhu Hassan.

Tangu awe Rais ni wakati gani Rais aliwahi kuzungumzia kwa kina mambo ya uchumi?

Mtizamo wake kuhusu biashara kati yetu na nchi jirani, jinsi sera zilivyo Bora ama zinazotakiwa kubadilishwa.

Nafasi ya Tanzania kwenye uchumi wa Dunia, uwekezaji , nafasi ya mabenki kwenye kukuza uchumi na kadhalika.

Labda nani hasa anajua mtizamo wa Mheshimiwa Rais kuhusu mifumo yetu ya elimu na ubora wenyewe wa hiyo Elimu inayotokana na mifumo ya Elimu iliyopo?

Kilimo chetu Mheshimiwa Rais anakionaje, jee Kuna jambo gani mahsusi anawaza kuhusu sekta ya Kilimo Tanzania?

Mambo ya ulinzi na diplomasia ya kikanda na kiulimwengu anaiona Tanzania Iko kwenye nafasi gani kikanda na kiulimwengu?

Kwa mtazamo wake anataka miaka 25 ijao Tanzania iweje?
Uwezo huo anao?
 
Na hiyo nidhamu ikianzia juu itafika hata majumbani mwetu.
Sasa nidhamu kuwa nayo kunahitajika bidii maana nidhamu kuwa nayo si kitu rahisi!

Enzi za Mkapa akiwa Rais, aliagiza Kila Mkoa umpelekee mpango kazi wao. Basi baadhi ya wakuu wa mikoa wakajua Mkapa hatasoma mipango kazi yao!

Lakini Mkapa akasoma Kila kabrasha la Kila mkoa na kuweka maoni yake (Comments) kwenye Kila kabrasha.

Kati ya Mawaziri wakuu wote baada ya Edward Sokoine, ni Fredrick Sumaye pekee aliyeweka umakinifu kwenye kazi zake.

Sumaye ameondoka kwenye uwaziri Mkuu akiacha alama ya kuwa Waziri Mkuu mdadisi (Inquisitive) kuliko wote. Watumishi wa umma walimheshimu Sana Sumaye.

Sasa nidhamu bila ya kuwajibika HAIWEZEKANI!
 
Naona kamuachia Kafulila, kazi ipo
Kafulila anafanya propaganda tu, ila bahati yake wasomi wetu wa uchumi wanaogopa kuusema ukweli kwa hofu ya kuatilizwa!

Yeye Kila siku kazi yake ni kusema deni letu ni himilivu. Jee mikopo iliyochukuliwa/inayochukuliwa na kuunda hilo deni himilivu, tunaweza kuoneshwa matokeo chanya ya mikopo hiyo?
 
Anafikiri raia hatujui, hizo propaganda zao. Na hivi analamba asali.

Rais yeye anadili na mpira wa miguu na wasanii. Na haya ndio matokeo yake
 
Sasa nidhamu kuwa nayo kunahitajika bidii maana nidhamu kuwa nayo si kitu rahisi!

Enzi za Mkapa akiwa Rais, aliagiza Kila Mkoa umpelekee mpango kazi wao. Basi baadhi ya wakuu wa mikoa wakajua Mkapa hatasoma mipango kazi yao!

Lakini Mkapa akasoma Kila kabrasha la Kila mkoa na kuweka maoni yake (Comments) kwenye Kila kabrasha.

Kati ya Mawaziri wakuu wote baada ya Edward Sokoine, ni Fredrick Sumaye pekee aliyeweka umakinifu kwenye kazi zake.

Sumaye ameondoka kwenye uwaziri Mkuu akiacha alama ya kuwa Waziri Mkuu mdadisi (Inquisitive) kuliko wote. Watumishi wa umma walimheshimu Sana Sumaye.

Sasa nidhamu bila ya kuwajibika HAIWEZEKANI!
Sasa ndio tujue maafa ya kuwa na Viongozi wa bovu, ndio inaharibu Taifa, familia mpaka mtu moja moja
 
Rais wa nchi ndiye kimsingi ni alama na dira ya Taifa. Kwa Tanzania Rais wetu Kwa Sasa ni Samia Suluhu Hassan.

Tangu awe Rais ni wakati gani Rais aliwahi kuzungumzia kwa kina mambo ya uchumi?

Mtizamo wake kuhusu biashara kati yetu na nchi jirani, jinsi sera zilivyo Bora ama zinazotakiwa kubadilishwa.

Nafasi ya Tanzania kwenye uchumi wa Dunia, uwekezaji , nafasi ya mabenki kwenye kukuza uchumi na kadhalika.

Labda nani hasa anajua mtizamo wa Mheshimiwa Rais kuhusu mifumo yetu ya elimu na ubora wenyewe wa hiyo Elimu inayotokana na mifumo ya Elimu iliyopo?

Kilimo chetu Mheshimiwa Rais anakionaje, jee Kuna jambo gani mahsusi anawaza kuhusu sekta ya Kilimo Tanzania?

Mambo ya ulinzi na diplomasia ya kikanda na kiulimwengu anaiona Tanzania Iko kwenye nafasi gani kikanda na kiulimwengu?

Kwa mtazamo wake anataka miaka 25 ijao Tanzania iweje?
Mawaziri husika wanafanyakazi hiyo
 
Huyu mama ataliletea taifa hili janga kubwa sana.

Hii nchi kama vyombo vya dola vitaendelea Kuwa ni mawakala wa mafisadi ndani ya CCM iko siku nchi hii itaingia kwenye hatari kubwa ya kiusalama .

Mfano tu kauli ya Samia kwa Wanaharakati wa Afrika Mashariki kutoka Kenya iliyoibua mtafaruku mkubwa sana huko Kenya . Yaani vijana wa mitaani wa Kenya wameonyesha uzalendo mkubwa sana kwa nchi yao.

Sasa Majeshi yetu hawajaona Kuwa hii ni hatari kubwa sana kama tunaingia kwenye mgogoro na nchi yenye vijana wa mitaani wanayoipenda Sana nchi yao na wapo Tayari kupigania kwa namna yoyote .

Sasa hivi vyombo vya usalama vya Tanzania vijitafakari kama vijana wasio nje ya mifumo ya dola wanaipenda Nchi hii kwa kiwango cha wakenya wanavyoipenda nchi yao hasa wayanganyika . Yaani ni wazi kua vijana wa Kenya wanaipenda sana nchi yao. Watanzania wanapenda vyama vya siasa ,Yanga na simba na Uchawa . Mtu anauawa mchana kweupe watu wanabaki kusema achana naye huyo anapingana na CCM . Watu hawana upendo kabisa . Yaani unakuta mtu anaibiwa mchana kweupe wanamwangalia tu mwizi mpaka aporwe mtu wa kwao au kundi lao.

Samia hafai kabisa kuendelea kuwa Rais kwa sababu ameligawa taifa kati ya Tanganyika na Zanzibar , ametugawa sana kidini , ametugawa sana kisiasa ,Ametugawa sana katika jumuia ya Afrika mashariki ,na ametugawa sana kimataifa , ameleta mitafaruku ndani ya Vyama vya siasa, amewagawa sana watanzania kati ya walionacho na wasio nacho .
Ameligawa taifa hata ndani ya watumishi wa umma . Kuna wanaumizwa na vikokotoo na wanaochekelea , ametugawa kati ya Wazawa na wawindaji kwenye mbuga za wanyama , Kwa miaka mitatu tu amevuruga utulivu wa nchi .
Ameaharibu maharibu mahusiano mazuri kati ya Kanisa na serikali ya CCM .

Hivi kwa mfano nchi kwa sasa ivamiwe na nchi jirani tutashinda vipi kama nusu ya wananchi hawaipendi serikali yao na vyombo vya dola . Yaani kwa nini hatujifunzi Kuwa Uganda chini ya Dikteta idi Amin tuliwahsihinda kwa sababu sisi tulikua wamoja wakati wao waligawanyika kwa sababu ya mauaji na kuteka watu bila kujali maumivu ya wengine . Tanzania walipoingia walionekana kama wakombozi.

Kuna stori moja niliisikia toka kwa bibi mmoja marehemu kwamba Kule Kwenye dunia iliyopo chini ya ardhi Kuna nchi iliwahi kuvamiwa siku ya uchaguzi kwa sababu majeshi yote yalikwenda kwenye uchaguzi kupora kura ili chama tawala kishinde .
Maadui walipojua Kuwa ile nchi majeshi yake hayafanyi kazi ya kulinda nchi bali kulinda Chama tawala kishinde basi waliivamia ile nchi na kuitawala kwa sababu siasa iliingia mpaka kwenye majeshi .

Moto wa wanaharakati majirani kutoka Kenya ulizidishwa na Raisi mwenyewe pamoja na bunge sasa kuuzima ni ngumu sana
 
Back
Top Bottom