Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Goli la mama. Medali ya msanii bora, kizimkazi festival, mama, mama, mama. Royal tour na mambo kama hayo.Wewe unaemuwazia makubwa kiasi hiki nadhani ndio umepotea njia! jadili goli la mama na mambo kama hayo!
Wewe unataka aongelee mambo asiyoyajua ili nini?Rais wa nchi ndiye kimsingi ni alama na dira ya Taifa. Kwa Tanzania Rais wetu Kwa Sasa ni Samia Suluhu Hassan.
Tangu awe Rais ni wakati gani Rais aliwahi kuzungumzia kwa kina mambo ya uchumi?
Mtizamo wake kuhusu biashara kati yetu na nchi jirani, jinsi sera zilivyo Bora ama zinazotakiwa kubadilishwa.
Nafasi ya Tanzania kwenye uchumi wa Dunia, uwekezaji , nafasi ya mabenki kwenye kukuza uchumi na kadhalika.
Labda nani hasa anajua mtizamo wa Mheshimiwa Rais kuhusu mifumo yetu ya elimu na ubora wenyewe wa hiyo Elimu inayotokana na mifumo ya Elimu iliyopo?
Kilimo chetu Mheshimiwa Rais anakionaje, jee Kuna jambo gani mahsusi analiwaza kuhusu sekta ya Kilimo Tanzania?
Mambo ya ulinzi na diplomasia ya kikanda na kiulimwengu anaiona Tanzania Iko kwenye nafasi gani kikanda na kiulimwengu?
Kwa mtazamo wake anataka miaka 25 ijao Tanzania iweje?
Hata lissu sijawahi msikia akijadili haya uliyohoji zaidi ya kutaka Tanzania inyimwe misaada na uchaguzi.Rais wa nchi ndiye kimsingi ni alama na dira ya Taifa. Kwa Tanzania Rais wetu Kwa Sasa ni Samia Suluhu Hassan.
Tangu awe Rais ni wakati gani Rais aliwahi kuzungumzia kwa kina mambo ya uchumi?
Mtizamo wake kuhusu biashara kati yetu na nchi jirani, jinsi sera zilivyo Bora ama zinazotakiwa kubadilishwa.
Nafasi ya Tanzania kwenye uchumi wa Dunia, uwekezaji , nafasi ya mabenki kwenye kukuza uchumi na kadhalika.
Labda nani hasa anajua mtizamo wa Mheshimiwa Rais kuhusu mifumo yetu ya elimu na ubora wenyewe wa hiyo Elimu inayotokana na mifumo ya Elimu iliyopo?
Kilimo chetu Mheshimiwa Rais anakionaje, jee Kuna jambo gani mahsusi analiwaza kuhusu sekta ya Kilimo Tanzania?
Mambo ya ulinzi na diplomasia ya kikanda na kiulimwengu anaiona Tanzania Iko kwenye nafasi gani kikanda na kiulimwengu?
Kwa mtazamo wake anataka miaka 25 ijao Tanzania iweje?
Mama anaongea kwa vitendo sio hizo porojo za tonetone kutoka CHADEMA. Subirini mwaka 2350 mkiingia madarakani mtakuwa mnapiga hizo porojo.Rais wa nchi ndiye kimsingi ni alama na dira ya Taifa. Kwa Tanzania Rais wetu Kwa Sasa ni Samia Suluhu Hassan.
Tangu awe Rais ni wakati gani Rais aliwahi kuzungumzia kwa kina mambo ya uchumi?
Mtizamo wake kuhusu biashara kati yetu na nchi jirani, jinsi sera zilivyo Bora ama zinazotakiwa kubadilishwa.
Nafasi ya Tanzania kwenye uchumi wa Dunia, uwekezaji , nafasi ya mabenki kwenye kukuza uchumi na kadhalika.
Labda nani hasa anajua mtizamo wa Mheshimiwa Rais kuhusu mifumo yetu ya elimu na ubora wenyewe wa hiyo Elimu inayotokana na mifumo ya Elimu iliyopo?
Kilimo chetu Mheshimiwa Rais anakionaje, jee Kuna jambo gani mahsusi analiwaza kuhusu sekta ya Kilimo Tanzania?
Mambo ya ulinzi na diplomasia ya kikanda na kiulimwengu anaiona Tanzania Iko kwenye nafasi gani kikanda na kiulimwengu?
Kwa mtazamo wake anataka miaka 25 ijao Tanzania iweje?
😂😂😂😂😂Wewe unaemuwazia makubwa kiasi hiki nadhani ndio umepotea njia! jadili goli la mama na mambo kama hayo!
Kwa knowledge gani sasa?Rais wa nchi ndiye kimsingi ni alama na dira ya Taifa. Kwa Tanzania Rais wetu Kwa Sasa ni Samia Suluhu Hassan.
Tangu awe Rais ni wakati gani Rais aliwahi kuzungumzia kwa kina mambo ya uchumi?
Mtizamo wake kuhusu biashara kati yetu na nchi jirani, jinsi sera zilivyo Bora ama zinazotakiwa kubadilishwa.
Nafasi ya Tanzania kwenye uchumi wa Dunia, uwekezaji , nafasi ya mabenki kwenye kukuza uchumi na kadhalika.
Labda nani hasa anajua mtizamo wa Mheshimiwa Rais kuhusu mifumo yetu ya elimu na ubora wenyewe wa hiyo Elimu inayotokana na mifumo ya Elimu iliyopo?
Kilimo chetu Mheshimiwa Rais anakionaje, jee Kuna jambo gani mahsusi analiwaza kuhusu sekta ya Kilimo Tanzania?
Mambo ya ulinzi na diplomasia ya kikanda na kiulimwengu anaiona Tanzania Iko kwenye nafasi gani kikanda na kiulimwengu?
Kwa mtazamo wake anataka miaka 25 ijao Tanzania iweje?
Yeye si mtumishi wa watanzania. Sasa anatenda mambo bila kutueleza wahusika ni kwa nini anatenda anachotenda?Mama anaongea kwa vitendo...
Sasa Lissu ni Rais wa nchi gani? Kama hazungumzii na kama Kuna madhara basi ni chama chake pekee ndicho kitakachoathirika. Lakini kwa Rais ni Taifa zima tutaathirika!Hata lissu sijawahi msikia akijadili haya uliyohoji zaidi ya kutaka Tanzania inyimwe misaada na uchaguzi.
Hivi unaweza kumfananisha mama na Lissu?Hata lissu sijawahi msikia akijadili haya uliyohoji zaidi ya kutaka Tanzania inyimwe misaada na uchaguzi.
Atalipwaje Sasa asipomtaja Lissu!?Hivi unaweza kumfananisha mama na Lissu?
Mimi sijawahi labda kwa kuwa sizsikilizagi mara kwa mara.Rais wa nchi ndiye kimsingi ni alama na dira ya Taifa. Kwa Tanzania Rais wetu Kwa Sasa ni Samia Suluhu Hassan.
Tangu awe Rais ni wakati gani Rais aliwahi kuzungumzia kwa kina mambo ya uchumi?
Mtizamo wake kuhusu biashara kati yetu na nchi jirani, jinsi sera zilivyo Bora ama zinazotakiwa kubadilishwa.
Nafasi ya Tanzania kwenye uchumi wa Dunia, uwekezaji , nafasi ya mabenki kwenye kukuza uchumi na kadhalika.
Labda nani hasa anajua mtizamo wa Mheshimiwa Rais kuhusu mifumo yetu ya elimu na ubora wenyewe wa hiyo Elimu inayotokana na mifumo ya Elimu iliyopo?
Kilimo chetu Mheshimiwa Rais anakionaje, jee Kuna jambo gani mahsusi anawaza kuhusu sekta ya Kilimo Tanzania?
Mambo ya ulinzi na diplomasia ya kikanda na kiulimwengu anaiona Tanzania Iko kwenye nafasi gani kikanda na kiulimwengu?
Kwa mtazamo wake anataka miaka 25 ijao Tanzania iweje?
Hehehee yaaniSasa Lissu ni Rais wa nchi gani? Kama hazungumzii na kama Kuna madhara basi ni chama chake pekee ndicho kitakachoathirika. Lakini kwa Rais ni Taifa zima tutaathirika!