## Kama CHADEMA wanataka iwavunje moyo Watanzania kwa ujumla, wanachama wake, mashabiki na wapenzi wao, basi wasimamishe mtu mwingine kuwania Urais tofauti na Tundu Lissu....!
## Huyu mwamba ndiye mtu pekee anayejulikana Tanzania nzima na nje ya Tanzania....
## Huyu mwamba ana sifa nyingi nzuri za ziada zifuatazo ambazo ni silaha muhimu ktk uwanja wa siasa unapopambana na CCM. Na sifa hizi ndizo zinazowatisha Samia na CCM yake yote kiasi cha nyie kina
Nehemia Kilave kutumwa kwenye social media mbalimbali mje kujaribu kufanya propaganda za kijinga kama hivi ili ku - distract watu na upotofu wenu....
HUYU JAMAA:
1. Ni mtu safi na mwadilifu. Hana skendo wala tuhuma zozote kuhusu maadili yake kiuongozi....
2. Ni mtu aliyejaa ufahamu na maarifa ktk kila nyanja zote muhimu za kimaisha; siasa, historia, uchumi, elimu, sheria, uchumi nk
3. Huyu bwana ni mtu jasiri, asiyeogopa wala kutishwa na watawala wa serikali hii. Bila shaka ni kwa sababu amebeba silaha muhimu ya MAARIFA ya UELEWA na UFAHAMU mkubwa ktk sheria, katiba na historia ya nchi yetu na dunia kwa ujumla . Kwa silaha hizi, anaweza kumkabili yeyote ili mradi ana sababu za kumkabili na kumshinda....
4. Huyu mwamba anajua kujenga hoja, kutawala jukwaa na kwa sababu hii ana uwezo mkubwa wa kuvuta watu (hadhira) waje kumsikiliza na wakifika watapenda wakae kumsikiliza hadi mwisho hata kama anatumia vipaza sauti duni....
5. Huyu mwamba ndiye TISHIO na HOFU ya CCM yote. Hapo walipo hawatamani asimame na mgombea yeyote wa CCM achilia mbali huyu mama ambaye ni nyanya kabisa.....
## Kwa taarifa yako, tayari ameshafuata utaratibu wa chama kwa kuandika barua ya kuonesha nia yake ya kugombea Urais na Umakamu Mwenyekiti wa chama.....
## Atapambana na yeyote atakayesimamishwa huko CCM. Na mkirogwa mmrudishe huyu mama ambaye ni tomato sauce tu, mtakuwa mmerahisisha kazi unless otherwise mtumie risasi na bunduki kumshindisha na mkifanya hivi, ndipo mtakapoiwasha moto nchi hii maana this time HAITAKUWA KAMA 2020 na 2019......