Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ni swali nililojiuliza mara kadhaa huko nyuma.
Katika pita pita zang kwenye vitabu mbali mbali nimekuta mara kadhaa sio mara moja
ikitajwa kuwa haikuwa lugha ya kawaida watu wali wasiliana mind to mind(telepathy) mtu aliweza kutambua fikra za mtu mwingine.
Hii haikuwa muujiza bali ilitokana na maendeleo ya teknolojia waliyokuwa nayo,
Ndio maana vitabu mbali mbali haviuchukulii huu mnara kuwa mnara wa kawaida bali teknolojia iliyokuwepo mahali hapo.
Kama ungekuwa mnara wa kawaida ulio kuwa unajengwa usingeweza kumfikia Mungu aliko na kuamua kuivuruga lugha hiyo
kwa mujibu wa vitabu vya dini kama sasa watu wanavyoenda sayari za mbali bila shida.
Ikumbukwe babel hii inahusishwa na bara la Atlantis bara ambalo inasemekana teknolojia yake hatujaifikia bado,
Maghorofa na vifaa vya teknolojia kubwa vimegundulika kwa wingi,
Kutoweka kwa bara hili kunahusishwa mara kadhaa na teknolojia iliyokuwepo isiyo ya kawaida..,
Ni Bara ambalo inadaiwa lilifunikwa na volcano.
Plato pia aliwahi kuandika kuhusu bara hili baada ya kusoma habari zake misri ya kale(alexandria library) ,
Adolf Hitler inasemekana ni bara alilokuwa akifanya utafiti kuhusu silaha za kivita za maangamizi kabla CIA kukundua na kudhibitiwa.
Hii lugha imetajwa mara kadhaa na watu waliowahi pitia near-death experience (NDE),
kwale walio soma vitabu kuhusu near death experience wanaelewa mtu akiwa katika hali hiyo wakati flani huwa anauwezo wakuona projection ya fikra za mtu mwingine.
Kama utakuw unaufam kuhusu tech ya brain computer interaction(BCI) ni rahisi kuelewa ninacho maanisha.
sina hakika kama ni hii pia huwa inasababisha mama mwenye mtoto anaenyoshesha akiwa mbali nae anaweza tambua ikiwa mtoto wake analia kwa njaa.
Nakaribisha michango..,
itaendelea...
Nilimaanisha kupotea..,Kuhalibiwa ni lugha gani hiyo ??? na maana yake ni nini ???
Umetafakari pia juu ya makazi ya Mungu ni wapi?. Mnara ulienda juu na je kwa ufahamu wa Sasa wa dunia huko juu ndiyo Mungu aliko?. Kama Mungu haishi huko juu kwa Nini Mnara uharibiwe wakati Mungu haishi huko?. Volcano zipo miaka nenda rudi hata mjiji wa Pompeii makao makuu ya Roman empire yalifunikwa na volcano mwaka 78DC. Na Hadi Sasa volcano zipo na huwa zinaendelea kupoteza sehemu zingi tu katika ulimwengu wa Sasa.Hili ni swali nililojiuliza mara kadhaa huko nyuma.
Katika pita pita zang kwenye vitabu mbali mbali nimekuta mara kadhaa sio mara moja
ikitajwa kuwa haikuwa lugha ya kawaida watu wali wasiliana mind to mind(telepathy) mtu aliweza kutambua fikra za mtu mwingine.
Hii haikuwa muujiza bali ilitokana na maendeleo ya teknolojia waliyokuwa nayo,
Ndio maana vitabu mbali mbali haviuchukulii huu mnara kuwa mnara wa kawaida bali teknolojia iliyokuwepo mahali hapo.
Kama ungekuwa mnara wa kawaida ulio kuwa unajengwa usingeweza kumfikia Mungu aliko na kuamua kuivuruga lugha hiyo
kwa mujibu wa vitabu vya dini kama sasa watu wanavyoenda sayari za mbali bila shida.
Ikumbukwe babel hii inahusishwa na bara la Atlantis bara ambalo inasemekana teknolojia yake hatujaifikia bado,
Maghorofa na vifaa vya teknolojia kubwa vimegundulika kwa wingi,
Kutoweka kwa bara hili kunahusishwa mara kadhaa na teknolojia iliyokuwepo isiyo ya kawaida..,
Ni Bara ambalo inadaiwa lilifunikwa na volcano.
Plato pia aliwahi kuandika kuhusu bara hili baada ya kusoma habari zake misri ya kale(alexandria library) ,
Adolf Hitler inasemekana ni bara alilokuwa akifanya utafiti kuhusu silaha za kivita za maangamizi kabla CIA kukundua na kudhibitiwa.
Hii lugha imetajwa mara kadhaa na watu waliowahi pitia near-death experience (NDE),
kwale walio soma vitabu kuhusu near death experience wanaelewa mtu akiwa katika hali hiyo wakati flani huwa anauwezo wakuona projection ya fikra za mtu mwingine.
Kama utakuw unaufam kuhusu tech ya brain computer interaction(BCI) ni rahisi kuelewa ninacho maanisha.
sina hakika kama ni hii pia huwa inasababisha mama mwenye mtoto anaenyoshesha akiwa mbali nae anaweza tambua ikiwa mtoto wake analia kwa njaa.
Nakaribisha michango..,
itaendelea...
Yesu Alizaliwa kwa Nguvu za Roho mtakatifu pale kivuli chake kilipomjia Bikra Mary na kubeja mimba bila kumujua mme, Roho mtakatifu alikuwapo toka mwanzo, sema alifunuliwa na kuthihilishwa naye ili tumutambue kama naye nimmoja wa nafsi ya Mungu .Roho mtakatifu si amekuja baada ya yesu kupaa mbinguni according tu maandiko.
Au unaongelea roho yupi?
Sawa, roho mtakatifu alikuwepo pamoja na watu kabla ya ujio wa Yesu?Yesu Alizaliwa kwa Nguvu za Roho mtakatifu pale kivuli chake kilipomjia Bikra Mary na kubeja mimba bila kumujua mme, Roho mtakatifu alikuwapo toka mwanzo, sema alifunuliwa na kuthihilishwa naye ili tumutambue kama naye nimmoja wa nafsi ya Mungu .
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Yesu alikuwa anamufunua na kumutambulisha Roho mtakatifu Kama ndiye atakayeshika hatamu katika kutuongoza. Siku ya pentekosite ilikuwa siku rasimi ya kujizihilisha kwake ili binadamu tutambue rasimi Kuwa Kuna kitu kinaitwa Roho mtakatifu nacho ni nafsi ya Mungu Kama alivyo Baba na Mwana. Hivyo diyo tutakuwa nacho kimituongoza katika maisha yetu baada ya Yesu kwenda kukalia kiti Cha ufalme wa milile.Sawa roho mtakatifu alikuwepo pamoja na watu kabla ya ujio wa Yesu?
Kama ni ivo Yesu alikuwa anamaanisha nin wakati anawaambia wanafunzi wake kuw
imempasa aende mbinguni ili awaletee msaidizi asipofanya hivo huyo msaidizi hawezi kuja
Na vip kuhusu siku ya pentokoste ambayo wanafunzi wanashukiwa roho mtakatifu,
Wanapokeaje roho mtakatifu kama tiali walikuwa nae?
Unataka kusema katika agano la kale watu waliishi na roho mtakatifu mioyon mwao?Yesu alikuwa anamufunua na kumutambulisha Roho mtakatifu Kama ndiye atakayeshika hatamu katika kutuongoza. Siku ya pentekosite ilikuwa siku rasimi ya kujizihilisha kwake ili binadamu tutambue rasimi Kuwa Kuna kitu kinaitwa Roho mtakatifu nacho ni nafsi ya Mungu Kama alivyo Baba na Mwana. Hivyo diyo tutakuwa nacho kimituongoza katika maisha yetu baada ya Yesu kwenda kukalia kiti Cha ufalme wa milile.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Tofautisha Kati ya Roho Mtakatifu (holy Spirit) na Roho wa binadamu (soul). Kila mtu ana soul (horo) na Roho Mtakatifu huwa anamuongoza binadamu kwa kupitia hiyo soul yake. Sasa jua Kuwa mwanzo wakati viumbe na inch vinaumbwa Roho wa bwana alikuwa ametulia juu ya vilindi vya maji. Kumbuka Yesu Alizaliwa kwa Nguvu za Roho Mtakatifu, pia kumbuka Roho Mtakatifu alimuongoza Yesu kwenda jangwani kwa ajiri ya majaribu na pia Roho Mtakatifu alimuingia Zakaria na Elizabeth baba na mama yake Yohane mbatizaji wakanena maneno ya unabi wakati Yohane amezaliwa wakati Yesu bado. Hii maana yake Nini?. Roho Mtakatifu alikuwapo tangu mwanzo lakini Yesu alikuja kumufunua kwetu pia tutambue Kuwa Kuna nafsi ya Mungu inaitwa Roho Mtakatifu na itafanya kazi bega kwa bega nasi hadi mwisho wa dahari. Hivyo tunapaswa kutambua uwepo wa Roho Mtakatifu katika mazingira yetu anayetimiza kazi kwa Nguvu za kiungu (divine Power).Unataka kusema katika agano la kale watu waliishi na roho mtakatifu mioyon mwao?
Kama ni ivo ni watu wote au watu gan waliishi nae?
Sentensi aliyosema Yesu kuwa nitawaletea msaidizi nadhani iko clear,
Kama angekuwepo asingesema nitawaletea.
Issue sio siasa za ukanda bali ni ccm kupoteza ushawishi katika kanda yake pendwa.
Atleast umeandika kwa mtiririko mzuriAtlantis civilization ilikua Kwa kiwango kikubwa Cha Sayansi na technology,kiasi kwamba waliweza kusafiri kiwakati Kwenye Galaxies mbali mbali
Ukawa mwanzo wa mwingiliano wa spicies mbali mbali za Alien na binadamu kutokana na ugomvi wa kugombania anga na makoloni katika sayari mbali mbali ukazalisha vita kubwa Sana
Iliyosababisha uharibifu mkubwa Kwenye baadhi ya sayari Kwenye Galaxy za Milkway na Andromeda's
Inasadikika hata sayari Kama mars mwanzo zilikua zinasuport uhai na Kwa kua na uoto na maji ila nuclear weapons za wale viumbe uliharibu Kila kitu,Duniani Huku hasa Kwenye base ya Atlantis ikapigwa na kusambaratishwa na kupotezwa kabisa nana baadhi ya nuc weapon zikapiga na kusababisha majangwa mfano Sahara nk
Baada ya Ile vita kuisha na madhara makubwa Alien wengi wakajikita kujenga sayari zao zilizoharibiwa vibaya Sana na Moja ya mbinu walizotumia Alien wa kutoka sayari ya nibiru wakuitwa Annunaki ni kuja duniani kubeba madini ya dhahabu Ili kurecover anga zao Kwa hiyo technologia Yao,
Ila mabaki ya baadhi ya majengo ya zama za Atlantis ni pyramids za misri,Mexico Kwa waaztec,Huko Peru na Babylon ndio yanaonesha ushahidi kwamba Huko nyuma kulikua na tech ya ajabu!
Nilimaanisha kupotea..,
Chukua context kisha jadili hoja,Yaani kuhalibiwa ni kupotea ?? kiswahili cha wapi hicho ? Kongo ?
Mjitahidi kuandika kiswahili , sio lugha zenu za vijijini ?? Wengine hatuelewiChukua context kisha jadili hoja,
kuharibiwa, kupotea kwang yote sawa
Hapo umeniacha "Roho wa bwana alikuwa ametulia juu ya vilindi vya maji"Tofautisha Kati ya Roho Mtakatifu (holy Spirit) na Roho wa binadamu (soul). Kila mtu ana soul (horo) na Roho Mtakatifu huwa anamuongoza binadamu kwa kupitia hiyo soul yake. Sasa jua Kuwa mwanzo wakati viumbe na inch vinaumbwa Roho wa bwana alikuwa ametulia juu ya vilindi vya maji. Kumbuka Yesu Alizaliwa kwa Nguvu za Roho Mtakatifu, pia kumbuka Roho Mtakatifu alimuongoza Yesu kwenda jangwani kwa ajiri ya majaribu na pia Roho Mtakatifu alimuingia Zakaria na Elizabeth baba na mama yake Yohane mbatizaji wakanena maneno ya unabi wakati Yohane amezaliwa wakati Yesu bado. Hii maana yake Nini?. Roho Mtakatifu alikuwapo tangu mwanzo lakini Yesu alikuja kumufunua kwetu pia tutambue Kuwa Kuna nafsi ya Mungu inaitwa Roho Mtakatifu na itafanya kazi bega kwa bega nasi hadi mwisho wa dahari. Hivyo tunapaswa kutambua uwepo wa Roho Mtakatifu katika mazingira yetu anayetimiza kazi kwa Nguvu za kiungu (divine Power).
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Msingi wa hoja yako ni nini?Mjitahidi kuandika kiswahili , sio lugha zenu za vijijini ?? Wengine hatuelewi
kuharibiwa na kupotea si sawa kwenye kiswahili , labda kwa kiswahili cha Congo au Madagascar
Msikiharibu kiswahiliMsingi wa hoja yako ni nini?
Shida ni kuwa mimi sio mfuasi wa hizi dini.Umetafakari pia juu ya makazi ya Mungu ni wapi?. Mnara ulienda juu na je kwa ufahamu wa Sasa wa dunia huko juu ndiyo Mungu aliko?. Kama Mungu haishi huko juu kwa Nini Mnara uharibiwe wakati Mungu haishi huko?. Volcano zipo miaka nenda rudi hata mjiji wa Pompeii makao makuu ya Roman empire yalifunikwa na volcano mwaka 78DC. Na Hadi Sasa volcano zipo na huwa zinaendelea kupoteza sehemu zingi tu katika ulimwengu wa Sasa.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Kwani kiswahili hapo kinahusika vipi na dini ya mtu ??Shida ni kuwa mimi sio mfuasi wa hizi dini.
Who cares?Msikiharibu kiswahili