Je wewe kama ww kulwa unadhani wamebomoa maadili yako kwa kauli zao?
Ww unaathirikaje kimaadili kwa nyimbo ya Zuchu.
Wanaimba maneno matusi, au ni tafsiri yenu hadhira?
Afungiwe tu na mapema, mana akiachiwa next time atamaliza mku....ndugu zuchuWakuu,
Watu tuache unafiki na ushabiki kwenye jambo hili. Zuchu kaharibu maadili gani kwenye shoo yake ya Zanzibar, ametukana tusi gani?
Kipande alichoimba alisema hata ".... hata mumpe mku..." akaendelea zake kupiga shoo. Hiyo "Mku" ndio tusi? Tusi gani? Kuna anayeweza kuthibitisha kuwamba "Mku" ni tusi? Akisema alimaanisha mkungu wa ndizi? Mkutano mkuu, Mkuu wa mkoa?
Zuchu akiamua kupiga hili mapema sana anashinda, hakuna grounds za kumfungia kwamba kavunja maadili kwa tafsiri ambayo inakamilishwa na watazamaji, yaani chombo chenyewe ndio knakisia kwamba hapa itakuwa alikwa alimaanisha hivi. Hata wewe unayesoma hapa, nikikuuliza Zuchu katukana nini kaenda vipi kinyume na maadili kutokana na alichotamka hutakuwa na jibu, utabaki kuzunguka zunguka lakini hautakuwa na jibu!
Baraza la Sanaa Zanzibar hapa limekurupuka na hata wakienda Mahakamani Zuchu mapema sana anawalaza na watatakiwa kumlipa faini, BASATA na yenyewe ikijichanganya itakuwa mule mule tu, sema wasanii wa bongo ndio hivyo, hawajui haki zao, mwisho wa siku wanapelekeshwa tu ovyo ovyo ka ng'ombe.
Uje kubishana kwa hoja, mihemko iache nyumbani kwako.
We jamaa una akili sana!Mimi kama mtaalamu wa vina sijaskia hiyo nyimbo ila nataka kujua mstari aliouimba kabla ya kuimba huo mstari wa hata umpe mku.. uliishia neno gani
neno lililoishia katika mstari ulioisha ndo neno linalotakiwa kuishia kwenye mstari huo
Je ni neno gani alilitumia kabla?
Ndio maana wimbo bora kwangu kwa Zuchu ni huu wa Naringa maana hauna tusi hata moja.Afadhali kafungiwa kama ni kweli
Zuchu na Gigy wana kauli fulani hivi za matusi ya ndani ndani kwenye nyimbo zao
Zuchu nae ameona aeleze anavyompa Diamond! Wazanzibari nasikia ukiambiwa huyu binti ni bikra chunguza ya nyuma kwanza….vp kuhusu afande rama? aliyetoa mku... na mahakama ikamuachia😭😭
Siyo kila aombae radhi basi kafanya hilo kosa, kuna ile kuwa sitaki shindana na aliyeshika mpini huku mimi nimeshika makaliYeye mwenyewe kaomba radhi, mashabiki wake mnaona hakuna tatizo basi sawa
Acheni kutetea ujinga. Kesho mambo yakiharibika mnajificha. Usijione unajua Sana kuliko waliopewa hiyo kazi. Afungiwe kabisa, mtu kila siku matusi. Si ni huyu Zuchu alitamka neno kutomb..... Kwenye kipindi Cha TV, mpaka kile kipindi kikafungiwa. Mtatetea ujinga mpaka lini. Kama unataka matusi kasikilze mwenyewe msilazimishe wengine.Kila siku nawaambia viongozi ndio wana akili chafu, sasa mtu kasema mku mnasema kavunja maadili, maua alisema kibamia wakasema matusi, wao ndio wana tafsiri chafu.
Yule anatafuta kiki tu. Ndio maana baada ya kuropoka kakimbia kuomba Radhi, anajua analofanya na sio kwamba kakosea. Wewe Baki kutetea mpaka utachoka.Siyo kila aombae radhi basi kafanya hilo kosa, kuna ile kuwa sitaki shindana na aliyeshika mpini huku mimi nimeshika makali
Wao wanaangaria soko kama wakiiba vitu vya kuumiza akili hakuna anaye penda, ila wakiimba ujinga kumbi zinajaa. Sasa mwenye makosa Nani anayeuza kinacho uzika au anaye nunuwa kisikuwa na faida kwake?Wcb bila kuimba matusi na upuz hawawezi kusurvive
Ova
hujawahi tu kumkubali huyu toka anaanzaAfadhali kafungiwa kama ni kweli
Zuchu na Gigy wana kauli fulani hivi za matusi ya ndani ndani kwenye nyimbo zao
Watetezi wa 'mambo yetu yale' katika ubora wake!Wakuu,
Watu tuache unafiki na ushabiki kwenye jambo hili. Zuchu kaharibu maadili gani kwenye shoo yake ya Zanzibar, ametukana tusi gani?
Kipande alichoimba alisema hata ".... hata mumpe mku..." akaendelea zake kupiga shoo. Hiyo "Mku" ndio tusi? Tusi gani? Kuna anayeweza kuthibitisha kuwamba "Mku" ni tusi? Akisema alimaanisha mkungu wa ndizi? Mkutano mkuu, Mkuu wa mkoa?
Zuchu akiamua kupiga hili mapema sana anashinda, hakuna grounds za kumfungia kwamba kavunja maadili kwa tafsiri ambayo inakamilishwa na watazamaji, yaani chombo chenyewe ndio knakisia kwamba hapa itakuwa alikwa alimaanisha hivi. Hata wewe unayesoma hapa, nikikuuliza Zuchu katukana nini kaenda vipi kinyume na maadili kutokana na alichotamka hutakuwa na jibu, utabaki kuzunguka zunguka lakini hautakuwa na jibu!
Baraza la Sanaa Zanzibar hapa limekurupuka na hata wakienda Mahakamani Zuchu mapema sana anawalaza na watatakiwa kumlipa faini, BASATA na yenyewe ikijichanganya itakuwa mule mule tu, sema wasanii wa bongo ndio hivyo, hawajui haki zao, mwisho wa siku wanapelekeshwa tu ovyo ovyo ka ng'ombe.
Uje kubishana kwa hoja, mihemko iache nyumbani kwako.
OkyKila jambo ukiliweka kwamba MIMI naathirikaje moja kwa moja kimaadili sio sawa
Ulishawahi kujua vile watoto wadogo wanavyojua ku-catch maneno?
Mziki unatakiwa kuwa burudani,na sidhani kama matusi ni moja ya burudani...kwa miziki ya zuchu mimi siwezi kuisikiliza nikiwa na mtu ninayemuheshimu