Ni maadili gani aliyobomoa Zuchu katika shoo yake mpaka wamfungie kufanya mziki Zanzibar pamoja na kulipa faini?

Je wewe kama ww kulwa unadhani wamebomoa maadili yako kwa kauli zao?

Ww unaathirikaje kimaadili kwa nyimbo ya Zuchu.

Kila jambo ukiliweka kwamba MIMI naathirikaje moja kwa moja kimaadili sio sawa

Ulishawahi kujua vile watoto wadogo wanavyojua ku-catch maneno?
Mziki unatakiwa kuwa burudani,na sidhani kama matusi ni moja ya burudani...kwa miziki ya zuchu mimi siwezi kuisikiliza nikiwa na mtu ninayemuheshimu
 
Wakuu,

Watu tuache unafiki na ushabiki kwenye jambo hili. Zuchu kaharibu maadili gani kwenye shoo yake ya Zanzibar, ametukana tusi gani?

Kipande alichoimba alisema hata ".... hata mumpe mku..." akaendelea zake kupiga shoo. Hiyo "Mku" ndio tusi? Tusi gani? Kuna anayeweza kuthibitisha kuwamba "Mku" ni tusi? Akisema alimaanisha mkungu wa ndizi? Mkutano mkuu, Mkuu wa mkoa?

Zuchu akiamua kupiga hili mapema sana anashinda, hakuna grounds za kumfungia kwamba kavunja maadili kwa tafsiri ambayo inakamilishwa na watazamaji, yaani chombo chenyewe ndio knakisia kwamba hapa itakuwa alikwa alimaanisha hivi. Hata wewe unayesoma hapa, nikikuuliza Zuchu katukana nini kaenda vipi kinyume na maadili kutokana na alichotamka hutakuwa na jibu, utabaki kuzunguka zunguka lakini hautakuwa na jibu!

Baraza la Sanaa Zanzibar hapa limekurupuka na hata wakienda Mahakamani Zuchu mapema sana anawalaza na watatakiwa kumlipa faini, BASATA na yenyewe ikijichanganya itakuwa mule mule tu, sema wasanii wa bongo ndio hivyo, hawajui haki zao, mwisho wa siku wanapelekeshwa tu ovyo ovyo ka ng'ombe.

Uje kubishana kwa hoja, mihemko iache nyumbani kwako.

Afungiwe tu na mapema, mana akiachiwa next time atamaliza mku....ndugu zuchu
 
Mimi kama mtaalamu wa vina sijaskia hiyo nyimbo ila nataka kujua mstari aliouimba kabla ya kuimba huo mstari wa hata umpe mku.. uliishia neno gani
neno lililoishia katika mstari ulioisha ndo neno linalotakiwa kuishia kwenye mstari huo

Je ni neno gani alilitumia kabla?
We jamaa una akili sana!
 
Kila siku nawaambia viongozi ndio wana akili chafu, sasa mtu kasema mku mnasema kavunja maadili, maua alisema kibamia wakasema matusi, wao ndio wana tafsiri chafu.
 
Acheni kutetea ujinga. Kesho mambo yakiharibika mnajificha. Usijione unajua Sana kuliko waliopewa hiyo kazi. Afungiwe kabisa, mtu kila siku matusi. Si ni huyu Zuchu alitamka neno kutomb..... Kwenye kipindi Cha TV, mpaka kile kipindi kikafungiwa. Mtatetea ujinga mpaka lini. Kama unataka matusi kasikilze mwenyewe msilazimishe wengine.
 
Siyo kila aombae radhi basi kafanya hilo kosa, kuna ile kuwa sitaki shindana na aliyeshika mpini huku mimi nimeshika makali
Yule anatafuta kiki tu. Ndio maana baada ya kuropoka kakimbia kuomba Radhi, anajua analofanya na sio kwamba kakosea. Wewe Baki kutetea mpaka utachoka.
 
Wakuu,

Watu tuache unafiki na ushabiki kwenye jambo hili. Zuchu kaharibu maadili gani kwenye shoo yake ya Zanzibar, ametukana tusi gani?

Kipande alichoimba alisema hata ".... hata mumpe mku..." akaendelea zake kupiga shoo. Hiyo "Mku" ndio tusi? Tusi gani? Kuna anayeweza kuthibitisha kuwamba "Mku" ni tusi? Akisema alimaanisha mkungu wa ndizi? Mkutano mkuu, Mkuu wa mkoa?

Zuchu akiamua kupiga hili mapema sana anashinda, hakuna grounds za kumfungia kwamba kavunja maadili kwa tafsiri ambayo inakamilishwa na watazamaji, yaani chombo chenyewe ndio knakisia kwamba hapa itakuwa alikwa alimaanisha hivi. Hata wewe unayesoma hapa, nikikuuliza Zuchu katukana nini kaenda vipi kinyume na maadili kutokana na alichotamka hutakuwa na jibu, utabaki kuzunguka zunguka lakini hautakuwa na jibu!

Baraza la Sanaa Zanzibar hapa limekurupuka na hata wakienda Mahakamani Zuchu mapema sana anawalaza na watatakiwa kumlipa faini, BASATA na yenyewe ikijichanganya itakuwa mule mule tu, sema wasanii wa bongo ndio hivyo, hawajui haki zao, mwisho wa siku wanapelekeshwa tu ovyo ovyo ka ng'ombe.

Uje kubishana kwa hoja, mihemko iache nyumbani kwako.

Watetezi wa 'mambo yetu yale' katika ubora wake!

Unaijui sanaa na mipaka yake wewe?

Sanaa pamoja na hadithi ama tungo za riwaya ingawa tungo zake huwa haziwekwi kwa uwazi wa moja kwa moja, lakini huweza kuelimisha, kuburudisha kuhuzunisha ama kuzua taharuki katika jamii.

Maana yake ni kwaba hadhira huwekwa katika hali ya kujazilizia 'nyama', kwa fumbo ama simulizi kutofikishwa kwenye maana ya uwazi.

Lakini haujasikia wanariwaya fulani kuingia katika migogoro na mamlaka kutokana na tungo zao, je riwaya ushasikia zikimtaja mtu?

Sasa kwa Zuchu kutupa madongo ya wazi juu ya mpenzi wake na kusema hata wampe 'mku...', ewe mtetezi embu jaziliza hiyo "mku" tuone kama hilo neno linashabihiana na maneno aliyotangulia kuyatamka katika sentensi hiyo.

Tusiopenda uvunjifu wa maadili tunalaani kwa nguvu kubwa kwa taasisi ya muziki kuvamiwa na watunzi wa miziki ya matusi ya wazi ya nguoni ambayo ni aibu kwa mstaarabu kuweza kuisikiliza akiwa na familia yake.
 
Kila jambo ukiliweka kwamba MIMI naathirikaje moja kwa moja kimaadili sio sawa

Ulishawahi kujua vile watoto wadogo wanavyojua ku-catch maneno?
Mziki unatakiwa kuwa burudani,na sidhani kama matusi ni moja ya burudani...kwa miziki ya zuchu mimi siwezi kuisikiliza nikiwa na mtu ninayemuheshimu
Oky
 
Back
Top Bottom