Ni maadili gani aliyobomoa Zuchu katika shoo yake mpaka wamfungie kufanya mziki Zanzibar pamoja na kulipa faini?

Ni maadili gani aliyobomoa Zuchu katika shoo yake mpaka wamfungie kufanya mziki Zanzibar pamoja na kulipa faini?

Ndio ni Game of throne.

Unaelewa msingi wa kosa la Zuchu? Au unafikiri walioliita hilo ni kosa wamewehuka isipokuwa wewe ndio upo sane?
Amefanya kosa gani? Elezea hapo
Zanzibar kuna ujinga mwingi sana huwa wanajifanya wanajua dini sana ila binti zao wengi wameolewa hawana bikra au hawajaolewa lakini hawana bikra.
Kuna mtu alisema kuvaa hijabu au nikabu ni kujistili, unajistili na hauna bikra unajistili nini sasa?
 
Na hao walipanda jukwaani wakaimba alivyoimba Zuhura?
 
Mimi kama mtaalamu wa vina sijaskia hiyo nyimbo ila nataka kujua mstari aliouimba kabla ya kuimba huo mstari wa hata umpe mku.. uliishia neno gani
neno lililoishia katika mstari ulioisha ndo neno linalotakiwa kuishia kwenye mstari huo

Je ni neno gani alilitumia kabla?
Naangalia vid niilete Mkuu
 
Zuchu anapenda mapenzi kinyume na maumbile ndio maana kila siku anafikiri kila mtanzania ana shiriki mapenzi kimaumbile kama yeye!

Wakupewa lawama ni Diamond anaye mfanyia!

Zuchu anapaswa kufingiwa kama walichofanya Baraza la sanaa Zanzibar!
Umeyatoa wapi haya? Umewahi kumshuhudia? Wapi alipoimba hapo kayasema hayo? Weka hisia pembeni
 
Mkiendelea kuwaachia na ujinga wao kuna siku wataenda kuwekana mbele ya jukwaa na huyo mwehu mwenzie.

Mtu una wazazi wako hai kabisa unatamkaje hivyo mbele za watu? Mi sielewi mtu unawezaje kukosa adabu kiasi hicho hata kama ndio usanii.
Katamka nini cha ajabu. Bado watu mnacomment kwa hisia. Nini cha ajabu alichotamka cha kukosa adabu? Lete tusi alilotamka
 
Back
Top Bottom