Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amefanya kosa gani? Elezea hapoNdio ni Game of throne.
Unaelewa msingi wa kosa la Zuchu? Au unafikiri walioliita hilo ni kosa wamewehuka isipokuwa wewe ndio upo sane?
Michezo Ile ya Amber Rutty na Giggy kuliwa' Jicho, km unaipenda unasema humu pia wafukuaji wapo watakufukua tu kwani shingapi?Uje kubishana kwa hoja, mihemko iache nyumbani kwako.
Mwambie atulie huyo Mende mpenda Mavi,Ndio ni Game of throne.
Unaelewa msingi wa kosa la Zuchu? Au unafikiri walioliita hilo ni kosa wamewehuka isipokuwa wewe ndio upo sane?
Na hao walipanda jukwaani wakaimba alivyoimba Zuhura?Amefanya kosa gani? Elezea hapo
Zanzibar kuna ujinga mwingi sana huwa wanajifanya wanajua dini sana ila binti zao wengi wameolewa hawana bikra au hawajaolewa lakini hawana bikra.
Kuna mtu alisema kuvaa hijabu au nikabu ni kujistili, unajistili na hauna bikra unajistili nini sasa?
Jamii zote si za uswahilini. Kama tafanya hivyo uswahilini sawa lakin akienda kwingone ni different storyHivi umeshawi kuishi uswahili wewe mbona pale zuwena hajatukana kabisa..
Naangalia vid niilete MkuuMimi kama mtaalamu wa vina sijaskia hiyo nyimbo ila nataka kujua mstari aliouimba kabla ya kuimba huo mstari wa hata umpe mku.. uliishia neno gani
neno lililoishia katika mstari ulioisha ndo neno linalotakiwa kuishia kwenye mstari huo
Je ni neno gani alilitumia kabla?
🤣🤣🤣Akatoe mkungu wa ndizi shambani auingize jikoniWamezidi....mara ashikwe nyonyo jukwaani, atulie sasa akatoe kwanza mku
Umeyatoa wapi haya? Umewahi kumshuhudia? Wapi alipoimba hapo kayasema hayo? Weka hisia pembeniZuchu anapenda mapenzi kinyume na maumbile ndio maana kila siku anafikiri kila mtanzania ana shiriki mapenzi kimaumbile kama yeye!
Wakupewa lawama ni Diamond anaye mfanyia!
Zuchu anapaswa kufingiwa kama walichofanya Baraza la sanaa Zanzibar!
Katamka nini cha ajabu. Bado watu mnacomment kwa hisia. Nini cha ajabu alichotamka cha kukosa adabu? Lete tusi alilotamkaMkiendelea kuwaachia na ujinga wao kuna siku wataenda kuwekana mbele ya jukwaa na huyo mwehu mwenzie.
Mtu una wazazi wako hai kabisa unatamkaje hivyo mbele za watu? Mi sielewi mtu unawezaje kukosa adabu kiasi hicho hata kama ndio usanii.
Anafanya michezo gani, wewe ndio umemalizia sentensi na kupata mchezo uliopata, lakini ukiambiwa useme hilo neno hunaKimtokacho mtu ndo kimeujaza moyo wake........zuchu anafanya hyo michezo ndo mana kaona ni rahisi sana kutamka hilo neno.