Ni madhara gani unapata mtu unapojambiwa?

Ni madhara gani unapata mtu unapojambiwa?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] bas hamjaelewana hiyo style ya kufinyia wanaipenda na lazima upewe km bonus mkoleni uduguu
Uduguu huyu sijui nilimtoa wapi hila ntakupa story full siku alivaa dera la Namungo FC [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Umenikumbusha pisi Kali Fulani, nililiopoa sehemu likasema linataka kitimoto. Tukafika sehemu ya hotchair tukaagiza kilo mbili kavu na kachumbari, pilipili hoho, tango na vitunguu vya kumwaga. Chips moja na ndizi tatu tatu.
Tukanywa na bitter lemon ya kushushia.
Tukapata beer tatu tatu kishatukazama lodge ya jirani.
Binti kwa mchezo hajambo Ila baada ya kufika usangi kwenye kilele Cha milima ya upareni akapatwa na usingizi ilhali Mimi nasubiri raund two.
Umeshawahi kusikia ushuzi wa MTU aliyekula kiti Moto kavu na vitunguu vibichi pamoja na sauce ya vitunguu saumu?
Basi elewa tu harufu yake kwanza inapandisha joto, kifupi I was devastated. Hata hiyohamu ya Cha pili ilipotea. Kila nikianza kupata usingizi, binti anaachia bomu jingine Kali kuliko lililopita.
 
Huyu dogo bonge ni roommate wangu chuo kimoja hapa Tanganyika.

Mshikaji anajamba usiku kucha halafu mwenyewe wala hata ajui anajamba usingizini sina raha hata ya kuishi nae.

Kanikela vibaya sijui nawaza nimchane hii tabia yake inanikera kishenzi.
Akili zinafyatuka
 
Umenikumbusha pisi Kali Fulani, nililiopoa sehemu likasema linataka kitimoto. Tukafika sehemu ya hotchair tukaagiza kilo mbili kavu na kachumbari, pilipili hoho, tango na vitunguu vya kumwaga. Chips moja na ndizi tatu tatu.
Tukanywa na bitter lemon ya kushushia.
Tukapata beer tatu tatu kishatukazama lodge ya jirani.
Binti kwa mchezo hajambo Ila baada ya kufika usangi kwenye kilele Cha milima ya upareni akapatwa na usingizi ilhali Mimi nasubiri raund two.
Umeshawahi kusikia ushuzi wa MTU aliyekula kiti Moto kavu na vitunguu vibichi pamoja na sauce ya vitunguu saumu?
Basi elewa tu harufu yake kwanza inapandisha joto, kifupi I was devastated. Hata hiyohamu ya Cha pili ilipotea. Kila nikianza kupata usingizi, binti anaachia bomu jingine Kali kuliko lililopita.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mzee kama nakuona inakata stimu kinoma usingizi unakata unaanza upya [emoji1787][emoji1787][emoji1787] afu mara nyingi mabonge ndo mabingwa hizi mambo

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Mbona pambeee tukamwage nyonga, make sure vijora hivyo viwe off shoulder uduguu uvipeleke kwa fundi mapema wakaviedit [emoji2222][emoji2222]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu hujapoaa kwa kwelii.
 
Na wale wanayaweza mambo ya kwa bed wewe siku nenda wanakofunda mwali utaona vitu mimi nishachukua notes za kutosha [emoji2222][emoji2222] kwa zile style unabebewa bwana mchana kweupe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu huko mambo ni motoooo.woiiiiiih
 
Back
Top Bottom