Umenikumbusha pisi Kali Fulani, nililiopoa sehemu likasema linataka kitimoto. Tukafika sehemu ya hotchair tukaagiza kilo mbili kavu na kachumbari, pilipili hoho, tango na vitunguu vya kumwaga. Chips moja na ndizi tatu tatu.
Tukanywa na bitter lemon ya kushushia.
Tukapata beer tatu tatu kishatukazama lodge ya jirani.
Binti kwa mchezo hajambo Ila baada ya kufika usangi kwenye kilele Cha milima ya upareni akapatwa na usingizi ilhali Mimi nasubiri raund two.
Umeshawahi kusikia ushuzi wa MTU aliyekula kiti Moto kavu na vitunguu vibichi pamoja na sauce ya vitunguu saumu?
Basi elewa tu harufu yake kwanza inapandisha joto, kifupi I was devastated. Hata hiyohamu ya Cha pili ilipotea. Kila nikianza kupata usingizi, binti anaachia bomu jingine Kali kuliko lililopita.