The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Wakuu Salaam;
Kila anayeshika kipaza sauti kutokea CCM analalamika kuwa kuna mgombea anapokea maagizo toka nchi za nje lakini hawaweki wazi ni maagizo gani?
Juzi Mwigulu naye alisema hivi hivi kuwa kuna kibaraka anapokea maelekezo toka nje.
Jana pia Polepole kalilia hicho.
Mgombea Urais wa CCM naye analilia hikihiki kuwa mgombea Urais kupitia CHADEMA ana maelekezo kutoka nchi za nje.
Ni maelekezo yapi?