Uchaguzi 2020 Ni maelekezo gani mgombea Urais kapokea kutoka nchi za nje?

Uchaguzi 2020 Ni maelekezo gani mgombea Urais kapokea kutoka nchi za nje?

wamepanic tu hao...na hv jamaa hajui kujenga hoja ya kueleweka majukwaani tarajia mengi zaidi ya haya kutoka upande wa ccm!
Walijipanga na cd za sgr, flyover,ndege, corona, mabeberu zimegoma huzika
 
1.waliotaka kumuua anawajua lissu na wala si ccm na ndiyo maana hataki kwenda kufungua kesi ili uchunguzi ufanyike mhuni huyo
2.matibabu ya serikali yana taratibu zake alitakiwa aanzie muhimbili ndiyomapate rufaa ya kwenda nje ya nchi yeye akajifanya spesho sana akaruka juu kwa juu kosa lake hakufuata taratibu.
3. kuvuliwa ubunge ni wajibu wa sheria za bunge maana alikuwa mtoro ndiyo maana hakushinda rufaa yake
4.utampaje kiinua mgongo mtu aliyetega kazi?
Acha kua zwazwa mkuu...ww kaa kimya huijui ccm hata kidogo
Kwani ccm wao walipata wapi maagizo ya....
1. Kutaka kumuua Tundu Lissu
2. Kukataa kumtibu Tundu Lissu
3. Kumvua ubunge Tundu Lissu
4. Kumnyima kiinua mgongo Tundu Lissu

Maendeleo yana chama lkn udikteta hauna chama
 
Mwenye maelekezo kutoka nje ndio anayetufaa ili tufanane na nchi za nje mbona nyie mnapokea misaada toka nchi za nje? Au hamjui nchi za nje ndio mpango mzima pambaaf nyie
Tena Magufuli alisema anataka Tanzania iwe kama Ulaya, sasa kama hao wa nchi za nje ni wabaya iweje Magufuli atake nchi yetu ifanane na hizo nchi mbaya.

Maccm this is 2020, hamuwezi kutudanganya ovyo kama watoto . Tunayasikia wanayoyaongea wagombea na tuna reason, kama mnafikiri watz wote ni wapumbavu , basi mwaka huu mtajua hamjui. Shenz type.
 
Wakuu Salaam;

Kila anayeshika kipaza sauti kutokea CCM analalamika kuwa kuna mgombea anapokea maagizo toka nchi za nje lakini hawaweki wazi ni maagizo gani?

Juzi Mwigulu naye alisema hivi hivi kuwa kuna kibaraka anapokea maelekezo toka nje.

Jana pia Polepole kalilia hicho.
View attachment 1583233

Mgombea Urais wa CCM naye analilia hikihiki kuwa mgombea Urais kupitia CHADEMA ana maelekezo kutoka nchi za nje.

Ni maelekezo yapi?
hiki kizee kijana Polepole ni kinafiki hasa. Si jambo la ajabu ikitokea Lissu akashinda ukasikia anamuita mwenyekiti wake wa sasa mlaghai vile vile. Kama alivyo na sura mbili iliyopo kati ya ujana na uzee hata msimamo wake uko hivyo hivyo.
 
Wakuu Salaam;

Kila anayeshika kipaza sauti kutokea CCM analalamika kuwa kuna mgombea anapokea maagizo toka nchi za nje lakini hawaweki wazi ni maagizo gani?

Juzi Mwigulu naye alisema hivi hivi kuwa kuna kibaraka anapokea maelekezo toka nje.

Jana pia Polepole kalilia hicho.
View attachment 1583233

Mgombea Urais wa CCM naye analilia hikihiki kuwa mgombea Urais kupitia CHADEMA ana maelekezo kutoka nchi za nje.

Ni maelekezo yapi?
Kinachotisha kwa sasa hivi ni hizi POROJO za CCM, kumtukana mgombea, kumfitinisha kwa wapiga kura, na HASA KUCHAPISHA KILA KUKICHA TAARIFA ZA UCHOCHEZI KWENYE MAGAZETI PENDWA YA CCM. Kutangazia Uma kwamba ATL ana mpango wa kuuza nchi, kuvuruga amani n.k ni kupandikiza mbegu ya chuki, hasa kwa wananchi wasio na uwezo wa kujua upande wa pili unasemaje! Katika media ya magazeti, vyama vya upinzani havina fursa ya kujibu tuhuma hizi, kwani magazeti yanayolandana na wapinzani yako kitanzini!

Ushauri kwa Polepole- aende polepole na kwa tahadhari! Yeye, Mkurugenzi wa NEC na Msajili wa vyama ndio watakaosababisha amani ya taifa hili kutoweka! Ole wako Polepole!!!!
 
Usizidishe hasira za bwana yule akawatia virobani
Hata wilson mahera mkurugenz wa NECCM anatumika na wapinzani maana kauli zake ni za kuwatia raia hasira za kumchukia magufuli na kumpenda TUNDU LISSU
 
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Propaganda (aka Uongo) (siyo sera).
Wakuu Salaam;

Kila anayeshika kipaza sauti kutokea CCM analalamika kuwa kuna mgombea anapokea maagizo toka nchi za nje lakini hawaweki wazi ni maagizo gani?

Juzi Mwigulu naye alisema hivi hivi kuwa kuna kibaraka anapokea maelekezo toka nje.

Jana pia Polepole kalilia hicho.
View attachment 1583233

Mgombea Urais wa CCM naye analilia hikihiki kuwa mgombea Urais kupitia CHADEMA ana maelekezo kutoka nchi za nje.

Ni maelekezo yapi?
 
1.waliotaka kumuua anawajua lissu na wala si ccm na ndiyo maana hataki kwenda kufungua kesi ili uchunguzi ufanyike mhuni huyo
2.matibabu ya serikali yana taratibu zake alitakiwa aanzie muhimbili ndiyomapate rufaa ya kwenda nje ya nchi yeye akajifanya spesho sana akaruka juu kwa juu kosa lake hakufuata taratibu.
3. kuvuliwa ubunge ni wajibu wa sheria za bunge maana alikuwa mtoro ndiyo maana hakushinda rufaa yake
4.utampaje kiinua mgongo mtu aliyetega kazi?
Wewe ni mbu msumbufu tu, unatupigia kelele masikioni.
 
Mkutugenzi wa NEC pia anatoka huko eti watanzania hawataki mgombea atakaeuza madini yao nje. Sasa hivi sijui hayo madini yanauzwa wapi!. Yani Lisu kaleta kilio kuanzia uvccm, ccm, Nec, msajili wa vyama na serikali yioteee, kila mtu ni mayowe na nduru za kufa mtu. Na shida yote hii naona imekolea toka maalim Seif alipotangaza kumuunga mkono Tundu Lisu.

Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app
Walitegemea mgawano wa kura, sasa Maalim kaunga mkono wasiyempenda Hahaha. Chukua kura za ACT Z'bar na bara + za Chadema + wanaccm wasiompenda mzee baba + watumishi wa umma + walioumizwa na issue ya vyeti feki + wakulima + wanafunzi wa elimu ya juu + vijana wasio na ajira + wafanyabiashara + askari wasiopendezwa na mambo yanavyoenda hata kama marupurupu yameongezea (maana ni kwa mujibu wa sheria) KAZI IPO
Sishangai mkurugenzi wa tume ya uchaguzi kusaidia kampeni za mgombea wa ccm na kutuchagulia wananchi tunayoyataka as if yeye ndiye wananchi mil 56.
Lissu kabadirisha taswira ya kisiasa nchini.
 
Kwani ccm wao walipata wapi maagizo ya....
1. Kutaka kumuua Tundu Lissu
2. Kukataa kumtibu Tundu Lissu
3. Kumvua ubunge Tundu Lissu
4. Kumnyima kiinua mgongo Tundu Lissu

Maendeleo yana chama lkn udikteta hauna chama
Kumbe bado hamwelewi kama aliyeatempt ni mbow kulinda nafasi yake.
 
1.waliotaka kumuua anawajua lissu na wala si ccm na ndiyo maana hataki kwenda kufungua kesi ili uchunguzi ufanyike mhuni huyo
2.matibabu ya serikali yana taratibu zake alitakiwa aanzie muhimbili ndiyomapate rufaa ya kwenda nje ya nchi yeye akajifanya spesho sana akaruka juu kwa juu kosa lake hakufuata taratibu.
3. kuvuliwa ubunge ni wajibu wa sheria za bunge maana alikuwa mtoro ndiyo maana hakushinda rufaa yake
4.utampaje kiinua mgongo mtu aliyetega kazi?
Niongelee hiyo namba 1 yako.

Unamaanisha aliyeshambuliwa akafungue kesi juu ya tukio lile la kupigwa risasi.

Jeshi la polisi unaijua kazi yake?

Kama Taifa, Serikali na jeshi la nchi tumekubali waliofanya tukio lile hawajulikani..?

Wewe ukikatwa mapanga leo.. hakuna hatua yoyote polisi watachukua mpaka ukafungue kesi mahakani..?

Samahani ndugu wewe.. ni mpumbavu Fashion ya Kwanza.
 
Huyu Lissu ni msafi kuliko unavyofikia ndugu yangu.

Kuna kipindi Lipumba alishika kasi na CUF yake.. alipewa jina la LIPUMBAVU ili kumdhoofisha kisiasa.

Wakati Dr Slaa yuko kwenye Moto mwaka 2010.. alipewa jina la PADRI MZINZI ALIYEKIMBIA KAZI YA MUNGU.

Amekuja LOWASSA akaitwa FISADI, MGONJWA, ANAJINYEA.

Now ni LISSU wametafuta jina chafu limewakosa wamebaki kusema BEBERU.. TL atawapindisha midomo ccm wote.
 
Back
Top Bottom