Mangisandy
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 2,652
- 2,273
Nani amekuambia jaribio la kuua unafungua Wewe mashitaka? Hata ccm waliompiga Lisu risasi watakapo kamatwa, watashitakiwa na jamuhuri, siyo Lisu!1.waliotaka kumuua anawajua lissu na wala si ccm na ndiyo maana hataki kwenda kufungua kesi ili uchunguzi ufanyike mhuni huyo
2.matibabu ya serikali yana taratibu zake alitakiwa aanzie muhimbili ndiyomapate rufaa ya kwenda nje ya nchi yeye akajifanya spesho sana akaruka juu kwa juu kosa lake hakufuata taratibu.
3. kuvuliwa ubunge ni wajibu wa sheria za bunge maana alikuwa mtoro ndiyo maana hakushinda rufaa yake
4.utampaje kiinua mgongo mtu aliyetega kazi?
Kuanzia Muhimbili ingekua ujinga, wangemmalizia, leo tungepata wapi Mtu wa kuwatia jambamba?
Sheria hiyo Kwanini haikumgusa Mukono, ambaye amekua mgonjwa kwa miaka yote mitano?
Hilo la mafao ni urushi wa watu wawili wasimamizi wa mihimili, ila haki ya Mtu haipotei mtaitoa tu!