The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Kwa mantiki hii, ina maan serikali ya CCM na yenyewe inapokea maelekezo kutoka nje ya nchi?Kwani ccm wao walipata wapi maagizo ya....
1. Kutaka kumuua Tundu Lissu
2. Kukataa kumtibu Tundu Lissu
3. Kumvua ubunge Tundu Lissu
4. Kumnyima kiinua mgongo Tundu Lissu
Sasa kinachoshangaza zaidi, serikali wagombea hao hao wanaolalamika ndio wanaounda serikalo iliyopo madarakani. Wanashindwa kuchukua hatua wakati wana nyenzo zote. Wanatutangazia sisi ili tufanye nini? Wao wameshindwa kuchukua hatua sisi wananchibwa kawaida tutafanya nini sasa
1.waliotaka kumuua anawajua lissu na wala si ccm na ndiyo maana hataki kwenda kufungua kesi ili uchunguzi ufanyike mhuni huyo.Kwani ccm wao walipata wapi maagizo ya....
1. Kutaka kumuua Tundu Lissu
2. Kukataa kumtibu Tundu Lissu
3. Kumvua ubunge Tundu Lissu
4. Kumnyima kiinua mgongo Tundu Lissu
Maendeleo yana chama lkn udikteta hauna chama
Wakuu Salaam;
Kila anayeshika kipaza sauti kutokea CCM analalamika kuwa kuna mgombea anapokea maagizo toka nchi za nje lakini hawaweki wazi ni maagizo gani?...
wanakaa support zote,tumekwishaWanakaa support zote, tumekwisha
Kuuza Tanzania kwa beberu. Chama cha Mbowe ni wazandiki kabisa,ulaghai, hila ndio Sera zenu. Oct 28,natamani ile fundisho na mwisho wa hii saccos.Wakuu Salaam;
Kila anayeshika kipaza sauti kutokea CCM analalamika kuwa kuna mgombea anapokea maagizo toka nchi za nje lakini hawaweki wazi ni maagizo gani?
Juzi Mwigulu naye alisema hivi hivi kuwa kuna kibaraka anapokea maelekezo toka nje.
Jana pia Polepole kalilia hicho.
View attachment 1583233
Mgombea Urais wa CCM naye analilia hikihiki kuwa mgombea Urais kupitia CHADEMA ana maelekezo kutoka nchi za nje.
Ni maelekezo yapi?
Hichi kishoga humphrey polepole ukikiuliza nchi gani imempa maelezo wala hakiwezi kukutajia zaidi ya kuishia kujamba jamba tu kwenye micWakuu Salaam;
Kila anayeshika kipaza sauti kutokea CCM analalamika kuwa kuna mgombea anapokea maagizo toka nchi za nje lakini hawaweki wazi ni maagizo gani?
Juzi Mwigulu naye alisema hivi hivi kuwa kuna kibaraka anapokea maelekezo toka nje.
Jana pia Polepole kalilia hicho.
View attachment 1583233
Mgombea Urais wa CCM naye analilia hikihiki kuwa mgombea Urais kupitia CHADEMA ana maelekezo kutoka nchi za nje.
Ni maelekezo yapi?
Huo utoro Ni dabo standard tu mbona Mkono ajavuliwa ubunge, ndugai alipoenda India alitokea muhimbili?1.waliotaka kumuua anawajua lissu na wala si ccm na ndiyo maana hataki kwenda kufungua kesi ili uchunguzi ufanyike mhuni huyo
2.matibabu ya serikali yana taratibu zake alitakiwa aanzie muhimbili ndiyomapate rufaa ya kwenda nje ya nchi yeye akajifanya spesho sana akaruka juu kwa juu kosa lake hakufuata taratibu.
3. kuvuliwa ubunge ni wajibu wa sheria za bunge maana alikuwa mtoro ndiyo maana hakushinda rufaa yake
4.utampaje kiinua mgongo mtu aliyetega kazi?
Watachukuaje hatua kwa kitu ambacho hakipo ?Sasa kinachoshangaza zaidi, serikali wagombea hao hao wanaolalamika ndio wanaounda serikalo iliyopo madarakani. Wanashindwa kuchukua hatua wakati wana nyenzo zote. Wanatutangazia sisi ili tufanye nini? Wao wameshindwa kuchukua hatua sisi wananchibwa kawaida tutafanya nini sasa