Ni maendeleo gani Makonda aliyoyafanya akiwa mkuu wa mkoa wa DSM?

Kukamata mashoga na wauza madawa ya kulevya.
 
Hata mimi hili swali nilishawahi kuliuliza mara kibao ila sijawahi kupata jibu. Tatizo propaganda zilikuwa ni nyingi kukiko uhalisia!
 
Nina uhakika Makonda atasimamia haki, hapa Arusha Pana dhuluma kubwa sana na mara nyingine dhulma husimamiwa na viongozi waandamiz.

Natarajia Makonda atadhibiti maadili Ili kuokoa nguvu kazi. Wadudu wanavuta sana bange, skanka na kunywa mapombe hovyo.

Makonda atadhiniti waizi na upuuzi wa toyo na Bajaj. Atasimamia route ziwe za haki. Mfano sombetini hamna city transport WANAFUNZI wanateseka sana

Atasimamia usafi wa mji kwakuwa huu ni mji wa kitalii.

Atasimamia tourism industry na hospitality industry na kuhakikisha anasimamia na kutatua kero zinazoikanili hizo sekta kwa kuwa kiungo muhimu baina Yao na serikali kwa MAANA ya wizara ya Mali asili.

Atasimamia madc wazembe ambao wanalinda uzembe na kukandamiza watu na kuwaonea. Masc ambao Wana mis lead na ku mis inform serikali. Yupo DC mmoja ambae bado HAJUI yeye kwa Sasa ni DC na sio afsa tarafa. Amewekeza nguvu nyingi kupambana na mbunge wake badala ya kusikiliza na kutendea haki kero za wananchi na kuisimamia miradi ya serikali.
 
Tulia hivyo hivyo ndo utamsoma mwanenu kuwa hana jipya
 

Hiyo DMP1 imeishia wapi mbona hatuoni maboresho tena
 
Kuipandisha KMC kucheza ligi kuu.
 
Makonda ni mpiga kelele na mtafuta sifa kwa wajinga. Kiutendaji ni zero.

Amebobea kwenye uovu.
 

Unasubiria embe chini ya mchongoma. Yaani mdhulumaji mkuu, aliyefikia hatua ya kudhumu mpaka haki za watu za kuishi, ndiyo aje akuondolee dhuluma?
 
Muulize rais Samia atakwambia,watu kapuku kama nyie mtaji wenu ni majungu tu,kalaghabaho
 
Mkuu wa mkoa ama wilaya ni chawa wa rais. Tokea lini chawa akafanya maendeleo.
 
Kazi za mkuu wa mkoa ktk mkoa wake nini? Tumia akili hata za kuazima
 
Ninavyojua ikiletwa miradi ya serikali ndani ya mkoa wake akisimamia vizuri ni maendeleo pia atakuwa nayafanya, maadamu kupewa kijiti ngoja tuangalie anaenda kufanya nini.
 
Hajawahi kuleta maendeleo zaidi ya kuidumaza dsm
 
Asante sana mkuu kwa ufafanuzi mzuri.

Hao chumia tumbo walikuwa tayari kupotosha umma ili wampambe sukuma gang mwenzao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…