Ni maendeleo gani Makonda aliyoyafanya akiwa mkuu wa mkoa wa DSM?

Ni maendeleo gani Makonda aliyoyafanya akiwa mkuu wa mkoa wa DSM?

Hata aliyeenda clouds fm hakuwa yeye, alikuwa dereva wake!
 
Nina uhakika Makonda atasimamia haki, hapa Arusha Pana dhuluma kubwa sana na mara nyingine dhulma husimamiwa na viongozi waandamiz.

Natarajia Makonda atadhibiti maadili Ili kuokoa nguvu kazi. Wadudu wanavuta sana bange, skanka na kunywa mapombe hovyo.

Makonda atadhiniti waizi na upuuzi wa toyo na Bajaj. Atasimamia route ziwe za haki. Mfano sombetini hamna city transport WANAFUNZI wanateseka sana

Atasimamia usafi wa mji kwakuwa huu ni mji wa kitalii.

Atasimamia tourism industry na hospitality industry na kuhakikisha anasimamia na kutatua kero zinazoikanili hizo sekta kwa kuwa kiungo muhimu baina Yao na serikali kwa MAANA ya wizara ya Mali asili.

Atasimamia madc wazembe ambao wanalinda uzembe na kukandamiza watu na kuwaonea. Masc ambao Wana mis lead na ku mis inform serikali. Yupo DC mmoja ambae bado HAJUI yeye kwa Sasa ni DC na sio afsa tarafa. Amewekeza nguvu nyingi kupambana na mbunge wake badala ya kusikiliza na kutendea haki kero za wananchi na kuisimamia miradi ya serikali.
Unfortunately bado Makonda Kuna mambo hujayagusa. Yaguse. Pia wananchi wanazuiwa kusikilizwa kero zao katika ofisi Yako. Jopo la wasaidizi wako kalinoe, yule kijana Allan amezidiwa. Infact Kuna upendeleo mkubwa sana, kiongozi wa CCM akifanya unyamela anatetewa live mbele ya wananchi. Kuna siku nilikuwa hapo nilishangaa sana. Yule mkuu wa itifaki alitushangaza wananchi kwa upendeleo wa dhati kwa mwanachama flan wa CCM ambae amesumbia watu wengi sana hapa Arusha kwa kujificha ndani ya chama, yule dada anamkingia kifua...Soo sad.
Kuna watu tangu clinic ya kwanza wananzunguzhwa tu na hawatatuliwi kero zao, yaan wazembe wanalindwa haswa, Kuna nguvu kubwa sana inatumika Ili Makonda asifikiwe na wenye kero zilizosababishwa na viongozi wazembe na wala rushwa.
Makonda atende haki na aache wazembe wabebe misalaba Yao wenyewe, otherwise tutachoka
 
1. Kutaja wauza madawa
2. Wanawake waliotelekezwa
3. Kupiga marufuku wabunge kuzurula DSM wakati vikao vinaendelea Dodoma
 
Siyo kazi ya Makonda wala Magufuli. Huo ni mradi wa DMDP 1 iliyosainiwa mwaka 2012 kati ya Serikali ya Tanzania na IDA (World Bank Institution). Kazi za kutengeneza barabara za Ilala, Temeke na Kinondoni ili kuwezesha barabara na mitaro ya kuondosha maji wakati wa mvua kubwa.

Ni ubunifu wa Waziri Tubaijuka chini ya Raisi Jakaya Kikwette.

Hata kama wewe KANYAMA ambaye ni mburura ungekuwa ni Mkuu wa Mkoa kipindi hicho, hakuna namna ungezuia baarabara za Tandale zisijengwe. Acheni kuwapa watu sifa wasizostahili
Zaidi ya kuua watu hamna kitu
 
Kwa mkoa wa dar alizingua sana kuja kuleta visheria vyake kutokunywa pombe asubui mpaka jioni hapa alizingua sana hii sheria inatutesa mpaka leo
Sheria za kise** se* iliyoletwa na was333nge s33nge kuona watu wakilewa wana enjoy use33nge god damnnnn akae huko huko arusha mshamba mmoja mwenye kithethe
 
Back
Top Bottom