Ni maendeleo gani Makonda aliyoyafanya akiwa mkuu wa mkoa wa DSM?

Hata aliyeenda clouds fm hakuwa yeye, alikuwa dereva wake!
 
Unfortunately bado Makonda Kuna mambo hujayagusa. Yaguse. Pia wananchi wanazuiwa kusikilizwa kero zao katika ofisi Yako. Jopo la wasaidizi wako kalinoe, yule kijana Allan amezidiwa. Infact Kuna upendeleo mkubwa sana, kiongozi wa CCM akifanya unyamela anatetewa live mbele ya wananchi. Kuna siku nilikuwa hapo nilishangaa sana. Yule mkuu wa itifaki alitushangaza wananchi kwa upendeleo wa dhati kwa mwanachama flan wa CCM ambae amesumbia watu wengi sana hapa Arusha kwa kujificha ndani ya chama, yule dada anamkingia kifua...Soo sad.
Kuna watu tangu clinic ya kwanza wananzunguzhwa tu na hawatatuliwi kero zao, yaan wazembe wanalindwa haswa, Kuna nguvu kubwa sana inatumika Ili Makonda asifikiwe na wenye kero zilizosababishwa na viongozi wazembe na wala rushwa.
Makonda atende haki na aache wazembe wabebe misalaba Yao wenyewe, otherwise tutachoka
 
1. Kutaja wauza madawa
2. Wanawake waliotelekezwa
3. Kupiga marufuku wabunge kuzurula DSM wakati vikao vinaendelea Dodoma
 
Zaidi ya kuua watu hamna kitu
 
Kwa mkoa wa dar alizingua sana kuja kuleta visheria vyake kutokunywa pombe asubui mpaka jioni hapa alizingua sana hii sheria inatutesa mpaka leo
Sheria za kise** se* iliyoletwa na was333nge s33nge kuona watu wakilewa wana enjoy use33nge god damnnnn akae huko huko arusha mshamba mmoja mwenye kithethe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…