Ni maeneo gani kwa Morogoro mjini ni mazuri, tulivu na salama kwa kuishi?

Ni maeneo gani kwa Morogoro mjini ni mazuri, tulivu na salama kwa kuishi?

Hahaha chamwino na manzese wanakaba mpaka mchana, humtakii mema. Siku akifika tu lazima wampe promo.
Huenda hujamwelewa..ameandika classy na ushauri..amesema Kama kipato Cha chini kbs aende huko akajoin na wenzake
 
Zaidi ya kupafahamu, nimewahi kuweka stationery huko.
ushamba mwingiii watu wa nanenane, misufini, kigurunyembe wote huko ndo kama kasehemu kao kakuchil.
.
Makanisa huko ndo nyumbani kwao japo kuna nyumba kali sana nafahamiana na Maulid ujenzi mtu mmoja maarufu mazingira hayo.
Siwezi kuishi kwenye watu wafupi wengi na washamba washamba


Sasa hayo makanisa na vinanda/madufu yao hadi usiku wa manane ataweza pata usingizi kweli! 😁😁
 
Mbona hamjataja Bong'ola Nugutu kwenye mitaa ya barabara zenye namba.
 
Usafiri haina tatizo.

Apartment ya vyumba vitatu bei gani kwa mwezi maeneo hayo?
Samahan mkuu Mimi nilikuwa naishi home sijui Bei za kupangisha... Ila nakumbuka Kuna rafiki yangu alipanga sehemu mtaa mmoja na omary mahita ilikuwa vyumba viwili (fence na parking ) Bei haikuzidi laki 2.

Nimetoka huko tangu 2011 siko updated Sana na huko. Lakini Bei za huko sio Kama Dar. Napamiss huko mirimani hususani miezi hii Ni full baridi Kama tupo Copenhagen.
 
Jembr
achana na huko kingorwila mbali na mji mkuu. kama uko serious nipm nikuunganishe nyumba nzima unapata bei 250k maeneo ya kola. nyumba ipo pembezoni mwa lami, utulivu mzuri, parking hata gari nne, ndani tiles nje paver no mchanga, maji 24hrs na kuna tenki lako la maji na mota yake. nyumba iko kwenye fensi kubwa usalama ndio kwake. kutoka hapo kola hadi mjini ni 5kms so utatumia almost dakika 5 tu kufika mjini. usafiri public ni bajaj na daladala nauli tsh 400 hadi town. mwenye nyumba ninajuana nae vizuri kwa hiyo kwenye terms zingine nadhani hamtashindwana. nitafute 0710524514 ukiwa tayari.
Jembe kilo
 
kuna Broo wangu mmoja alikaa maeneo ya Bigwa nilikua naenda kumtembelea palikua pametulia kwa familia..ila alishahama Moro!,nilikua nai enjoy kuona milima ya ulugulu kwa ukaribu
 
Dogo heshima ni kitu cha bure acha upuuzi.
Umeona ulivo mshamba Sasa, Acheni upuuzi wa kuwa mnajimwambafy nyuma ya keyboard wakati mnashindia mihogo.

Ukiona mtu anapenda kuita wenzake maskini au hawana hela nyuma ya keyboard jua yeye ndiye masikini wa kutupwa.

Nyie ndio mkizeeka mnageuka kuwa wahenga Kama sio wachawi, wanaume type yako huwa siwatofautishi na wanawake.
 
Unawashwa?
Yaani kuja na mbwembwe zote,ndo unaona umenitukana??,khaa!!!,Ee nawashwa maana leo asubuhi nimejihimu shamba kufyeka kwa hiyo nyasi zinawasha sana mwilini.Haya nasubiri tusi kubwa zito ambalo sijawahi lisikia tangu nizaliwe.
 
Wazee, kwani kuna shida gani mbona matusi tena... Ahsante wote mlichangia kistaarabu.

Mnipa mwanga wa maeneo ambayo tayari nimeshaanza kuyafanyia kazi
 
Karibu forest hill.. Easy access to mjini, basic services zipo, usalama ni mzuri kiuhakika ukiwa na mbwa au mlinzi itafaa, kuna nyumba mtaa wa kingalu flats ninaona ipo vacant itakufaa., alternatively, kilakala juu , bong'ola, area 6, bigwa ya mwanzo , kola hill..zina mitaa ipo na utulivu.
 
Mkuu Kimolah hizi ndiyo bei zao au madalali wanazingua tu
20200627_171656.jpg
 
Wewe umejuaje hana hela?

Hivi watu wa jf tukiwa nyuma ya keyboard tunapata wapi huu ujuaji wa maisha ya watu, Ukiwa wewe huna hela unadhani wengine wote hawana?

Yeye kauliza maeneo wewe mwambie, yeye mwenyewe ataenda kujipima.
Mkuu achana nalo hilo ni punguani!
 
Back
Top Bottom