Wakuu, Habari zenu nyote.
Nimehamishiwa Moro kikazi, bado sijaripoti na vile JF ni jumuiya ya watu wengi naomba kupata msaada wa kufahamu maeneo mazuri na salama ya kuishi kwa mkoa wa Morogoro.
Nina familia hivyo nahitaji maeneo ya mazingira salama kwa vile mda mwingi majukumu yangu yananilazimu kusafri.
Hiyo sehemu iwe na maji ya uhakika na yasiwe maeneo yenye vibaka.
Mmhh!!!!,kuna nini ndani??Mkuu Kimolah hizi ndiyo bei zao au madalali wanazingua tuView attachment 1490327
Hapo mpaka town kwa usafiri binafsi ni mda gani?Karibu maeneo ya modeco nikuachie mjengo vyumba vinne vitatu ni masterbedroom. Maji reserve tank liter 10000....ukitoka tuu getini lami hiyo
Hapo mpaka town kwa usafiri binafsi ni mda gani?
Vipi gharama ya hiyo nyumba kwa mwezi?
Ila moro lile dongo jekundu mh hasa kingolwiraKingolwira
Ni Dakika 10 Upo Katikati Ya Mji
Yapo Maeneo Mengi Sana Yaani Mitaa
Kama Unatumia Daladala Ama Usafiri Binafsi
Ni Changamoto Ila Ndiyo Hivyo HivyoIla moro lile dongo jekundu mh hasa kingolwira
Mkuu Kimolah hizi ndiyo bei zao au madalali wanazingua tuView attachment 1490327
Weee nawe Kididimo mitope yoote ileKididimo-SUA hutajutia mkuu.
Mkuu yeye kasema maeneo tulivu na matope sio sana.Weee nawe Kididimo mitope yoote ile