Ni maeneo gani kwa Morogoro mjini ni mazuri, tulivu na salama kwa kuishi?

Ni maeneo gani kwa Morogoro mjini ni mazuri, tulivu na salama kwa kuishi?

Kola hill hayo maeneo mazuri sana nyuma seminary kapuchini
 
Toka usiku huo mji usiku mzuri kama mlokole ndio maana hupaelewi
 
Back
Top Bottom