Ni maeneo gani mazuri Kwa wageni kutembelea jijini dar?

makoye sr

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2024
Posts
308
Reaction score
499
Wapendwa wana jf mara yangu ya mwisho kutembelea jijini dar ilikuwa 2013, baada ya kustaafu ningependa kwenda kuosha macho na kurelax kidogo baada ya ajira kukoma. Je nitembelee maeneo yapi na niandae bajeti ipi? Ningependa kukaa wiki nzima
 
Kigamboni itakupendeza sana,maana Kuna cheap starehe na zilizo za kistaarabu.
Tembelea ufukwe zenye hoteli nzuri na sehemu nzuri za michezo na vinywaji pamoja na vyakula vizuri.
Sehemu ya pili ukanda wa Bagamoyo road kuelekea Mbezi beach pia.
 
UTI la kigamboni kupona hadi upewe dawa kutoka AZUMA HQ
 
Nimeshajua unachokitfuta mkuu aya Tabata na kule sinza
Kuna sehemu inaitwa kitambaa cheupe hapo sasa nenda ukajionee
 
Tembele maeneo haya na urudi kwenu ukiwa na USHUHUDA MKUU.

MBAGALA
BUZA
GONGO LA MBOTO
CHANIKA
TANDIKA
TANDALE
VINGUNGUTI AREA
MANZESE
TIPTOP AREA YOU GO SEE WICKED BITCHES
KIMARA
TEGETA

Mengine malizieni
Daah Manzese na Tandale simshauri😂😂.
 
Weka interest zako unapendelea vitu gani then watu watatiririka ipasavyo. Ishu ndogo kama hiyo unashindwa kujieleza? Nyie ndio mtaji wa ssm.
 
Dar es Salaam sio mji wa kupumzika, ni mji wa heka heka...

Otherwise, kwa kuwa hujawa wazi basi chukua hizi nondo kama ukitaka...

1. Adventure - Fika msitu wa Kazimzumbwi, Dar Zoo, Makumbusho ya taifa, tembelea visiwa vya Mbudya na Bongoyo...

2. Ufukwe - Nenda fukwe za Kigamboni, Kunduchi au Mbezi Beach, utofauti ni kwamba Mbezi Beach fukwe zake ni za hoteli za nyota 4 zaidi, Kunduchi na Kigamboni ina Beach ambazo ni bata zaidi, kama huna hela za mawazo usiache kufika Barra Beach (my fav)...

3. Yatch Club - Kuna bata la katikati ya bahari pia, fika Masaki upate maelekezo namna ya kukodi yatch na kwenda kula bata baharini huko na watoto wazuri "wanaoogea maziwa"...

4. Chakula - Kama ni mpenzi wa vyakula vya baharini na mfuko sio wa kibahili I recommend ufike Dar Fish Market...
Pia kuna sehemu za visinia kama Sharwama waliopo Mwenge, Zebra restaurant maeneo ya Biafra n.k
Chomachoma basi usiache kufika maeneo ya Upanga, Kisutu mida ya jioni kunakuwa na street BBQ...
Indoors na misosi ya kimbembele then kuna Orchid ipo Masaki, Cairo Egyptian Restaurant (very nice view ya bahari), Salt restaurant n.k...

Nimechoka kuandika...

Ila night life kuna Samaki samaki, Wavuvi, Sawasawa Beach, Kitambaa cheupe etc, Goba na Tabata nadhani ndio sehemu zinaongoza kwa bata la usiku kwa Dar sasa...
 
Sionagi mahali pa kupumzika dar aisee.

Kila pahala ni hekaheka, kama sio hapo basi mitaa miwili ama mitatu mbele hekaheka zinaanza, madimbwi, foleni, vumbi, bodaboda na bajaji + daladala za madereva waendesha hovyo.
 
Tembele maeneo haya na urudi kwenu ukiwa na USHUHUDA MKUU.

MBAGALA
BUZA
GONGO LA MBOTO
CHANIKA
TANDIKA
TANDALE
VINGUNGUTI AREA
MANZESE
TIPTOP AREA YOU GO SEE WICKED BITCHES
KIMARA
TEGETA

Mengine malizieni
Mwananyamala
Mburahati.
 
Sionagi mahali pa kupumzika dar aisee.

Kila pahala ni hekaheka, kama sio hapo basi mitaa miwili ama mitatu mbele hekaheka zinaanza, madimbwi, foleni, vumbi, bodaboda na bajaji + daladala za madereva waendesha hovyo.
Wilaya ya Kigamboni mkuu imetulia sana.
Hakuna heka heka aisee ni kumepoa.
Pia maeneo ya Bagamoyo road nako kuko bul bul.
 
Hhhhhhh zenji ndo utapumzika ndugu

Dar full vigodoro utapumzika kweli?
Dar pa kupumzika ni maeneo yaliyojitenga kama nilivyotaja huko juu mathalan Kigamboni.
Ila mitaa mingine Ilala, Kinondoni,Ubungo wilaya yake yote mtihani fujo kibao.
Sio kama Zenji uende bububu,chukwani,Fuoni,darajani kote kumepoa hadi raha.
 
Dar es Salaam sio mji wa kupumzika, ni mji wa heka heka...

Otherwise, kwa kuwa hujawa wazi basi chukua hizi nondo kama ukitaka...

1. Adventure - Fika msitu wa Kazimzumbwi, Dar Zoo, Makumbusho ya taifa, tembelea visiwa vya Mbudya na Bongoyo...

2. Ufukwe - Nenda fukwe za Kigamboni, Kunduchi au Mbezi Beach, utofauti ni kwamba Mbezi Beach fukwe zake ni za hoteli za nyota 4 zaidi, Kunduchi na Kigamboni ina Beach ambazo ni bata zaidi, kama huna hela za mawazo usiache kufika Barra Beach (my fav)...

3. Yatch Club - Kuna bata la katikati ya bahari pia, fika Masaki upate maelekezo namna ya kukodi yatch na kwenda kula bata baharini huko na watoto wazuri "wanaoogea maziwa"...

4. Chakula - Kama ni mpenzi wa vyakula vya baharini na mfuko sio wa kibahili I recommend ufike Dar Fish Market.
Pia kuna sehemu za visinia kama Sharwama waliopo Mwenge, Zebra restaurant maeneo ya Biafra n.k
Chomachoma basi usiache kufika maeneo ya Upanga, Kisutu mida ya jioni kunakuwa na street BBQ...
I recommend hundred percent upo sahihi na bila comment yako Uzi ungekuwa batili
 
Njoo vingunguti shuka darajani, kwa simba au pelapela utanikuta kontawa
 
Back
Top Bottom