Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Nenda makanisani ukatalii.Kuna makanisa wanasali pembeni ya barabara na wengine kwenye makanisa.Utafurahi sana.
Asante sana, mi umri umeenda, pombe sinywi starehe yangu kubwa ni kula vizuri na kufurahia mazingira tofauti tofauti na mambo kama hayoDar es Salaam sio mji wa kupumzika, ni mji wa heka heka...
Otherwise, kwa kuwa hujawa wazi basi chukua hizi nondo kama ukitaka...
1. Adventure - Fika msitu wa Kazimzumbwi, Dar Zoo, Makumbusho ya taifa, tembelea visiwa vya Mbudya na Bongoyo...
2. Ufukwe - Nenda fukwe za Kigamboni, Kunduchi au Mbezi Beach, utofauti ni kwamba Mbezi Beach fukwe zake ni za hoteli za nyota 4 zaidi, Kunduchi na Kigamboni ina Beach ambazo ni bata zaidi, kama huna hela za mawazo usiache kufika Barra Beach (my fav)...
3. Yatch Club - Kuna bata la katikati ya bahari pia, fika Masaki upate maelekezo namna ya kukodi yatch na kwenda kula bata baharini huko na watoto wazuri "wanaoogea maziwa"...
4. Chakula - Kama ni mpenzi wa vyakula vya baharini na mfuko sio wa kibahili I recommend ufike Dar Fish Market...
Pia kuna sehemu za visinia kama Sharwama waliopo Mwenge, Zebra restaurant maeneo ya Biafra n.k
Chomachoma basi usiache kufika maeneo ya Upanga, Kisutu mida ya jioni kunakuwa na street BBQ...
Indoors na misosi ya kimbembele then kuna Orchid ipo Masaki, Cairo Egyptian Restaurant (very nice view ya bahari), Salt restaurant n.k...
Asante sana, mi umri umeenda, pombe sinywi starehe yangu kubwa ni kula vizuri na kufurahia mazingira tofauti tofauti na mambo kama hayo
Sinywi pombe ila maeneo ya starehe naenda kuinjoi tu na kuona totoz za kileo ila sidili nao napenda kuona mazingira tofauti tofauti na kula vizuri na mambo kama hayoWeka interest zako unapendelea vitu gani then watu watatiririka ipasavyo. Ishu ndogo kama hiyo unashindwa kujieleza? Nyie ndio mtaji wa ssm.
Hivi zenji kuna maeneo gani ya kutembelea au ni mji mkongwe?Njoo zenji ndugu uje kutembea
Ebwana kuna ile restaurant moja pale karibu na banki kuu wanapika mandi mbuzi moja hatari sana. Na tea masala yao noma. Wakati wa chana nakuja huko vipi chumba cha buku 50 per nyt napata?Njoo zenji ndugu uje kutembea
Ninde pale water fromt aisee kuna mrembo mmoja mzuri atakukaribisha na ana titi hilo balaaa. Baadae nitakuwepo hapo na my wife. Wikend ya kingese hii haina ata boli la maanaWapendwa wana jf mara yangu ya mwisho kutembelea jijini dar ilikuwa 2013, baada ya kustaafu ningependa kwenda kuosha macho na kurelax kidogo baada ya ajira kukoma. Je nitembelee maeneo yapi na niandae bajeti ipi? Ningependa kukaa wiki nzima
Warembo nilishawastafuNinde pale water fromt aisee kuna mrembo mmoja mzuri atakukaribisha na ana titi hilo balaaa. Baadae nitakuwepo hapo na my wife. Wikend ya kingese hii haina ata boli la maana
Mengi tu uroa paje nungwi kizimkazi mtende makunduchi michamvi fumba n.kHivi zenji kuna maeneo gani ya kutembelea au ni mji mkongwe?
Chumba Unpta fresh tu ila sijakuelewa wakati wa chana unakuja huku?Ebwana kuna ile restaurant moja pale karibu na banki kuu wanapika mandi mbuzi moja hatari sana. Na tea masala yao noma. Wakati wa chana nakuja huko vipi chumba cha buku 50 per nyt napata?
Dar kila kona ukipita wanoeka vigodoro wanotangaza injili yani kelele nyingiiiDar pa kupumzika ni maeneo yaliyojitenga kama nilivyotaja huko juu mathalan Kigamboni.
Ila mitaa mingine Ilala, Kinondoni,Ubungo wilaya yake yote mtihani fujo kibao.
Sio kama Zenji uende bububu,chukwani,Fuoni,darajani kote kumepoa hadi raha.
Sehemu nilizotaja hayo hayapo.Dar kila kona ukipita wanoeka vigodoro wanotangaza injili yani kelele nyingiii
MKuu kwa upande huu Dar unaijua vizuri.Dar es Salaam sio mji wa kupumzika, ni mji wa heka heka...
Otherwise, kwa kuwa hujawa wazi basi chukua hizi nondo kama ukitaka...
1. Adventure - Fika msitu wa Kazimzumbwi, Dar Zoo, Makumbusho ya taifa, tembelea visiwa vya Mbudya na Bongoyo...
2. Ufukwe - Nenda fukwe za Kigamboni, Kunduchi au Mbezi Beach, utofauti ni kwamba Mbezi Beach fukwe zake ni za hoteli za nyota 4 zaidi, Kunduchi na Kigamboni ina Beach ambazo ni bata zaidi, kama huna hela za mawazo usiache kufika Barra Beach (my fav)...
3. Yatch Club - Kuna bata la katikati ya bahari pia, fika Masaki upate maelekezo namna ya kukodi yatch na kwenda kula bata baharini huko na watoto wazuri "wanaoogea maziwa"...
4. Chakula - Kama ni mpenzi wa vyakula vya baharini na mfuko sio wa kibahili I recommend ufike Dar Fish Market...
Pia kuna sehemu za visinia kama Sharwama waliopo Mwenge, Zebra restaurant maeneo ya Biafra n.k
Chomachoma basi usiache kufika maeneo ya Upanga, Kisutu mida ya jioni kunakuwa na street BBQ...
Indoors na misosi ya kimbembele then kuna Orchid ipo Masaki, Cairo Egyptian Restaurant (very nice view ya bahari), Salt restaurant n.k...
Nimechoka kuandika...
Ila night life kuna Samaki samaki, Wavuvi, Sawasawa Beach, Kitambaa cheupe etc, Goba na Tabata nadhani ndio sehemu zinaongoza kwa bata la usiku kwa Dar sasa...
naunga mkono hojaDar es Salaam sio mji wa kupumzika, ni mji wa heka heka...

Masakuu, Mbagala rangi 3Wapendwa wana jf mara yangu ya mwisho kutembelea jijini dar ilikuwa 2013, baada ya kustaafu ningependa kwenda kuosha macho na kurelax kidogo baada ya ajira kukoma. Je nitembelee maeneo yapi na niandae bajeti ipi? Ningependa kukaa wiki nzima
Umemaliza kabisa, Dar unaijua vizuri kabisa, fuata huu ushauriDar es Salaam sio mji wa kupumzika, ni mji wa heka heka...
Otherwise, kwa kuwa hujawa wazi basi chukua hizi nondo kama ukitaka...
1. Adventure - Fika msitu wa Kazimzumbwi, Dar Zoo, Makumbusho ya taifa, tembelea visiwa vya Mbudya na Bongoyo...
2. Ufukwe - Nenda fukwe za Kigamboni, Kunduchi au Mbezi Beach, utofauti ni kwamba Mbezi Beach fukwe zake ni za hoteli za nyota 4 zaidi, Kunduchi na Kigamboni ina Beach ambazo ni bata zaidi, kama huna hela za mawazo usiache kufika Barra Beach (my fav)...
3. Yatch Club - Kuna bata la katikati ya bahari pia, fika Masaki upate maelekezo namna ya kukodi yatch na kwenda kula bata baharini huko na watoto wazuri "wanaoogea maziwa"...
4. Chakula - Kama ni mpenzi wa vyakula vya baharini na mfuko sio wa kibahili I recommend ufike Dar Fish Market...
Pia kuna sehemu za visinia kama Sharwama waliopo Mwenge, Zebra restaurant maeneo ya Biafra n.k
Chomachoma basi usiache kufika maeneo ya Upanga, Kisutu mida ya jioni kunakuwa na street BBQ...
Indoors na misosi ya kimbembele then kuna Orchid ipo Masaki, Cairo Egyptian Restaurant (very nice view ya bahari), Salt restaurant n.k...
Nimechoka kuandika...
Ila night life kuna Samaki samaki, Wavuvi, Sawasawa Beach, Kitambaa cheupe etc, Goba na Tabata nadhani ndio sehemu zinaongoza kwa bata la usiku kwa Dar sasa...
Mashuka yao ni masafi?Masakuu, Mbagala rangi 3
Siku nikija tuamoyo nitakwambiaSehemu nilizotaja hayo hayapo.
Nipo Kibada new city hapa mkuu,husikii kelele hata upunje kiasi unaweza kuzimisi kelele.