😂 😆 😂, nungwihivi ukifika kizimkazi unaelekea eneo gani au wapi nikashangae nini kwa mfano?Mengi tu uroa paje nungwi kizimkazi mtende makunduchi michamvi fumba n.k
Sio mtembeaji ww ni mdhihakaji😂 😆 😂, nungwihivi ukifika kizimkazi unaelekea eneo gani au wapi nikashangae nini kwa mfano?
Badala ya kujibu unapaniki, pole sheikh!.Sio mtembeaji ww ni mdhihakaji
Alafu kuna jamaa mmoja, kuna uzi limesema eti Arusha inazid dar kwa kula maisha 😂😂😂😂😂😂 ni huzuni kwakweli, nimepita bara beach muda si mrefu naenda ununio....Dar es Salaam sio mji wa kupumzika, ni mji wa heka heka...
Otherwise, kwa kuwa hujawa wazi basi chukua hizi nondo kama ukitaka...
1. Adventure - Fika msitu wa Kazimzumbwi, Dar Zoo, Makumbusho ya taifa, tembelea visiwa vya Mbudya na Bongoyo...
2. Ufukwe - Nenda fukwe za Kigamboni, Kunduchi au Mbezi Beach, utofauti ni kwamba Mbezi Beach fukwe zake ni za hoteli za nyota 4 zaidi, Kunduchi na Kigamboni ina Beach ambazo ni bata zaidi, kama huna hela za mawazo usiache kufika Barra Beach (my fav)...
3. Yatch Club - Kuna bata la katikati ya bahari pia, fika Masaki upate maelekezo namna ya kukodi yatch na kwenda kula bata baharini huko na watoto wazuri "wanaoogea maziwa"...
4. Chakula - Kama ni mpenzi wa vyakula vya baharini na mfuko sio wa kibahili I recommend ufike Dar Fish Market...
Pia kuna sehemu za visinia kama Sharwama waliopo Mwenge, Zebra restaurant maeneo ya Biafra n.k
Chomachoma basi usiache kufika maeneo ya Upanga, Kisutu mida ya jioni kunakuwa na street BBQ...
Indoors na misosi ya kimbembele then kuna Orchid ipo Masaki, Cairo Egyptian Restaurant (very nice view ya bahari), Salt restaurant n.k...
Nimechoka kuandika...
Ila night life kuna Samaki samaki, Wavuvi, Sawasawa Beach, Kitambaa cheupe etc, Goba na Tabata nadhani ndio sehemu zinaongoza kwa bata la usiku kwa Dar sasa...
Nimepaniki nimekwambia ukweliBadala ya kujibu unapaniki, pole sheikh!.
Atakufa kwa presha kwa atakayoshuhudia.Tembele maeneo haya na urudi kwenu ukiwa na USHUHUDA MKUU.
MBAGALA
BUZA
GONGO LA MBOTO
CHANIKA
TANDIKA
TANDALE
VINGUNGUTI AREA
MANZESE
TIPTOP AREA YOU GO SEE WICKED BITCHES
KIMARA
TEGETA
Mengine malizieni
🤗🤣Tembele maeneo haya na urudi kwenu ukiwa na USHUHUDA MKUU.
MBAGALA
BUZA
GONGO LA MBOTO
CHANIKA
TANDIKA
TANDALE
VINGUNGUTI AREA
MANZESE
TIPTOP AREA YOU GO SEE WICKED BITCHES
KIMARA
TEGETA
Mengine malizieni
🤣🤣Atakufa kwa presha kwa atakayoshuhudia.
Nitajaribu kwenda mkuu.Wilaya ya Kigamboni mkuu imetulia sana.
Hakuna heka heka aisee ni kumepoa.
Pia maeneo ya Bagamoyo road nako kuko bul bul.
Unapoona ni mahali pa kupumzika leo, ukija baada ya mwaka tayali pashavamiwaDar kuna vurugu aisee