Ni maeneo gani mazuri Kwa wageni kutembelea jijini dar?

Nenda makanisani ukatalii.Kuna makanisa wanasali pembeni ya barabara na wengine kwenye makanisa.Utafurahi sana.
 
Asante sana, mi umri umeenda, pombe sinywi starehe yangu kubwa ni kula vizuri na kufurahia mazingira tofauti tofauti na mambo kama hayo
 
Asante sana, mi umri umeenda, pombe sinywi starehe yangu kubwa ni kula vizuri na kufurahia mazingira tofauti tofauti na mambo kama hayo

Nimejaribu kugusa kila angle sehemu nyingine nimepatwa uvivu kuandika kwa sababu natumia simu...
 
Weka interest zako unapendelea vitu gani then watu watatiririka ipasavyo. Ishu ndogo kama hiyo unashindwa kujieleza? Nyie ndio mtaji wa ssm.
Sinywi pombe ila maeneo ya starehe naenda kuinjoi tu na kuona totoz za kileo ila sidili nao napenda kuona mazingira tofauti tofauti na kula vizuri na mambo kama hayo
 
Njoo zenji ndugu uje kutembea
Ebwana kuna ile restaurant moja pale karibu na banki kuu wanapika mandi mbuzi moja hatari sana. Na tea masala yao noma. Wakati wa chana nakuja huko vipi chumba cha buku 50 per nyt napata?
 
Ninde pale water fromt aisee kuna mrembo mmoja mzuri atakukaribisha na ana titi hilo balaaa. Baadae nitakuwepo hapo na my wife. Wikend ya kingese hii haina ata boli la maana
 
Ninde pale water fromt aisee kuna mrembo mmoja mzuri atakukaribisha na ana titi hilo balaaa. Baadae nitakuwepo hapo na my wife. Wikend ya kingese hii haina ata boli la maana
Warembo nilishawastafu
 
Ebwana kuna ile restaurant moja pale karibu na banki kuu wanapika mandi mbuzi moja hatari sana. Na tea masala yao noma. Wakati wa chana nakuja huko vipi chumba cha buku 50 per nyt napata?
Chumba Unpta fresh tu ila sijakuelewa wakati wa chana unakuja huku?
 
Dar pa kupumzika ni maeneo yaliyojitenga kama nilivyotaja huko juu mathalan Kigamboni.
Ila mitaa mingine Ilala, Kinondoni,Ubungo wilaya yake yote mtihani fujo kibao.
Sio kama Zenji uende bububu,chukwani,Fuoni,darajani kote kumepoa hadi raha.
Dar kila kona ukipita wanoeka vigodoro wanotangaza injili yani kelele nyingiii
 
Dar kila kona ukipita wanoeka vigodoro wanotangaza injili yani kelele nyingiii
Sehemu nilizotaja hayo hayapo.
Nipo Kibada new city hapa mkuu,husikii kelele hata upunje kiasi unaweza kuzimisi kelele.
 
MKuu kwa upande huu Dar unaijua vizuri.
 
naunga mkono hoja
 
Masakuu, Mbagala rangi 3
 
Umemaliza kabisa, Dar unaijua vizuri kabisa, fuata huu ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…