chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 20,711
- 31,331
Hakika ni msiba mkubwa kwa chadema.
Mkutano mkubwa kuliko yote ambao umepokea viongozi, nasisitiza tena, viongozi kutoka chama kingine ni huu wa chauma. Viongozi 3000.
Sasa bado wanachama wa kawaida, itabidi waombe uwanja wa Benjamin Mkapa. Na kama ikigongana na dabi, naona dabi ikiahirishwa tena kupisha mkutano huo wa kupokea wanachama