Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,333
- 50,241
Serikali ifadhili Chaumma ?....🙄🙄🙄Hizo pesa zinazotolewa na serikali kufadhili huu upumbavu wangepeleka kwa wenye huitaji lingekuwa jambo la maana sana.
Serikali ifadhili Chaumma ?....🙄🙄🙄Hizo pesa zinazotolewa na serikali kufadhili huu upumbavu wangepeleka kwa wenye huitaji lingekuwa jambo la maana sana.
CHADEMA HAIRUDI TENA BRO AMINI USIAMINI.JEURI YA CHADEMA NI RUZUKU IKISHAONDOLEWA HARAKATI ZA CHAMA HAZITAFANYIKA KAMA SASAIla kitadum kwa msimu mmoja tu.
Kupindukia 2030 Chadema itarudi Tena hewani.
Hela wanatoa wapi na coverage approach tu tayari mmeshafeli ngoja wakapambane na mke mwenza ACT mana kazi zao zinafananaHakika ni msiba mkubwa kwa chadema.
Mkutano mkubwa kuliko yote ambao umepokea viongozi, nasisitiza tena, viongozi kutoka chama kingine ni huu wa chauma. Viongozi 3000.
Sasa bado wanachama wa kawaida, itabidi waombe uwanja wa Benjamin Mkapa. Na kama ikigongana na dabi, naona dabi ikiahirishwa tena kupisha mkutano huo wa kupokea wanachama
View attachment 3340650
Makamanda wamechanganyikiwa.Kila taasisi kwako ni adui.Hata CHAUMMA chama kidogo sana lakini wanakifitiniSerikali ifadhili Chaumma ?....🙄🙄🙄
CHADEMA HAIRUDI TENA BRO AMINI USIAMINI.JEURI YA CHADEMA NI RUZUKU IKISHAONDOLEWA HARAKATI ZA CHAMA HAZITAFANYIKA KAMA SASA
Hii 100m kwa mwezi ndio yakumsimangia mtuCHADEMA HAIRUDI TENA BRO AMINI USIAMINI.JEURI YA CHADEMA NI RUZUKU IKISHAONDOLEWA HARAKATI ZA CHAMA HAZITAFANYIKA KAMA SASA
Nyingi sana CHAUMMA ,ADC haipati kitu kabisaHii 100m kwa mwezi ndio yakumsimangia mtu
Kweli kabisaMimi hilo kwangu siyo tatizo, tatizo kwangu kuchezea pesa kwa ajili ya haya maigizo ndio kinachoniuma mimi na kuniongezea hasira za kuichukia zaidi ccm.
Hizo pesa zinazotolewa na serikali kufadhili huu upumbavu wangepeleka kwa wenye huitaji lingekuwa jambo la maana sana.
Ccm haina nia njema na Tanzania.
Wewe kweli una PhD ya ukweli. CCM wanatuchelewesha kwa kila kitu. Hiki kibibi kinachelewesha maendeleo ya Nchi, fikiria leo hii huko kwa wenzetu kila siku ni AI na kwenda Angani, lakini hapa kwetu bado tu kupoteza muda wa kujifunza maarifa. Think hata universirty researches hakuna funding, yaani nchi zimebaki kama vile factions/ hamna kitu, hizo pesa zinatupwa tu na kesho wanaenda China kuombaMimi hilo kwangu siyo tatizo, tatizo kwangu kuchezea pesa kwa ajili ya haya maigizo ndio kinachoniuma mimi na kuniongezea hasira za kuichukia zaidi ccm.
Hizo pesa zinazotolewa na serikali kufadhili huu upumbavu wangepeleka kwa wenye huitaji lingekuwa jambo la maana sana.
Ccm haina nia njema na Tanzania.
Abdul anasimamia show nzimaCHAUMA wanashangaza.Wanasafirisha wanachama wapya kutoka mikoani ili iweje.Maana yake kila atakayetaka kujiunga atataka afanyiwe kama wengine waliojiunga.
Wangewafuata mikoani huko huko.Halafu wasije wakawasarisha kwenda Dar,lakini kurudi wakawatelekeza.
Una maanisha nini , hizi hasira alizonazo Unafikiri ni kwa ajili ya manufaa yako? There’s something personal .Mbona Lisu hafanyi utapeli?
Kama hili tangazo ni la kweli, watakuwa wamekosea sana. Palikuwa na haja gani kusema kuwa wanatoka CDM?Hakika ni msiba mkubwa kwa chadema.
Mkutano mkubwa kuliko yote ambao umepokea viongozi, nasisitiza tena, viongozi kutoka chama kingine ni huu wa chauma. Viongozi 3000.
Sasa bado wanachama wa kawaida, itabidi waombe uwanja wa Benjamin Mkapa. Na kama ikigongana na dabi, naona dabi ikiahirishwa tena kupisha mkutano huo wa kupokea wanachama
View attachment 3340650
Nchi yetu, bado sana.CHAUMA kupokea madalali na matapeli ya siasa
Chauma itashinda uchaguzi mkuu.Minutes, usikose tukio hili, siti yako ntakuwekea, kunq hatari hata sehemu ya kukaa ikakosekana
Mpaka sasa natafakari na kijiuliza nani yuko nyuma ya jambo hili, anaefinance na kumobilize issue nzima ya wananachama na viongozi wa chadema kuhamia chademaHakika ni msiba mkubwa kwa chadema.