stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
mara moja moja log out nenda kapunge upepo nje, ukija ingia kwenye mada ingine siasa ni michezo tu na wanasiasa watakudisapoint hata uwapende vp because wana agenda nyuma kwa sisi tunajua hayo ila kwa nyie mnaweka hisia sanaWatu waendelee kuuliwa