PreGE2025 Ni mafuriko: CHAUMMA kupokea wanachama wa CHADEMA 3,000, mkutano kufanyika Ubungo Plaza

PreGE2025 Ni mafuriko: CHAUMMA kupokea wanachama wa CHADEMA 3,000, mkutano kufanyika Ubungo Plaza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wamekosea wapi sasa!!!
Tumeandika na kusema mara nyingi kuwa G55 ni project ya CCM + dola, na haya matukio ndiyo yanaendelea kuweka ukweli hadharani jinsi CCM + dola wanavyotumia kodi zetu kwa kufanya sanaa ili tu wasikatiwe mikopo + misaada inayokuja na masharti ya demokrasia.
Kwa maoni yangu kosa lao ni kuwaiga CDM kwa kuupa uzito tofauti yao na CDM. Hamna mahali walipo onyesha kuwa kuna uhusiano wowote kati yao na CCM. Hiyo ni strategy yenu ya kuwachafua. Lakini hauwezi kuwalaumu CCM kwa ku take advantages ya huu mpasuko ambao kwa kweli haukuwa na haja. Ni ego tuu ndio zimeifikisha CDM walipo sasa.

Amandla...
 
Nimecheka sana, Chaumma kinapokea wanachama wapya, ila wote wanatoka cdm tu, na wanasafirishwa kwenda kupokelewa Dar. Hakuna mwanacdm eti mwanacdm alipe nauli hadi Dar akajiunge na chama cha siasa. Naoma mnatumia mbinu za kizamani ile mbaya. Yaani sisi wanacdm wa kweli tuko tunachekea kwenye shati.
Hata misibani hawalii muda wote, kuna kipindi wanakula, au wanacheza karata, endelea kucheka wakati chama kiko in comma
 
Mpaka sasa natafakari na kijiuliza nani yuko nyuma ya jambo hili, anaefinance na kumobilize issue nzima ya wananachama na viongozi wa chadema kuhamia chadema
Rungwe ni tajiri tangu enzi ya Nyerere, bilionea
 
Hakika ni msiba mkubwa kwa chadema.

Mkutano mkubwa kuliko yote ambao umepokea viongozi, nasisitiza tena, viongozi kutoka chama kingine ni huu wa chauma. Viongozi 3000.

Sasa bado wanachama wa kawaida, itabidi waombe uwanja wa Benjamin Mkapa. Na kama ikigongana na dabi, naona dabi ikiahirishwa tena kupisha mkutano huo wa kupokea wanachama
View attachment 3340650
Shetani haweza mshinda Mungu. Chaumma ni mpango wa Mungu
 
CHAUMA kupokea madalali na matapeli ya siasa
1747814711417.jpeg
 
Hakika ni msiba mkubwa kwa chadema.

Mkutano mkubwa kuliko yote ambao umepokea viongozi, nasisitiza tena, viongozi kutoka chama kingine ni huu wa chauma. Viongozi 3000.

Sasa bado wanachama wa kawaida, itabidi waombe uwanja wa Benjamin Mkapa. Na kama ikigongana na dabi, naona dabi ikiahirishwa tena kupisha mkutano huo wa kupokea wanachama
View attachment 3340650
jiulize kwanini hawapokei kutoka ccm,act,tlp,cuf na wengine,tutapambana nao hawatakaa wafanikiwe chauma wako kwenye deadly line
 
Hakika ni msiba mkubwa kwa chadema.

Mkutano mkubwa kuliko yote ambao umepokea viongozi, nasisitiza tena, viongozi kutoka chama kingine ni huu wa chauma. Viongozi 3000.

Sasa bado wanachama wa kawaida, itabidi waombe uwanja wa Benjamin Mkapa. Na kama ikigongana na dabi, naona dabi ikiahirishwa tena kupisha mkutano huo wa kupokea wanachama
View attachment 3340650
Kuna taasisi moja nyeti imechotewa bilioni 15 kutoka hazina kwa ajili ya kazi hiyo, sio siri tena hao ni bidhaa ziko sokoni
 
Mimi hilo kwangu siyo tatizo, tatizo kwangu kuchezea pesa kwa ajili ya haya maigizo ndio kinachoniuma mimi na kuniongezea hasira za kuichukia zaidi ccm.

Hizo pesa zinazotolewa na serikali kufadhili huu upumbavu wangepeleka kwa wenye huitaji lingekuwa jambo la maana sana.

Ccm haina nia njema na Tanzania.
hii serikali ndo maana watanzania tunashangilia wakidukuliwa na wakenya, wanatumia pesa za watanzania kwa mambo ya kijinga kama huu upuuzi wa chauma
 
Mkuu bila kujali sana uhalisia wa sasa, hili linaloendelea sio la kucheka, lisipodhibitiwa kijana aliyeanza kufuatilia wanasiasa miaka ya 2000 hatoliona mpaka mwaka 2035 labda ndo atashtuka kuwa kumbe 2025 ulikuwa mwaka muhimu mno kwa Chadema. Unless wenye maamuzi Chadema kuna kitu wanafanya. Chadema ina silaha moja tu, raia wa kuwaunga mkono kwa vitendo.

Usisahau, wazee waliokaa chini ya mti wanaona mbali kuliko kijana aliye juu ya mti
Cdm ina tuko watu wengi tunawaunga mkono tena kwa vitendo, labda useme kwa vitendo unaamanisha nini.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Hata misibani hawalii muda wote, kuna kipindi wanakula, au wanacheza karata, endelea kucheka wakati chama kiko in comma
Hilo la chama kuwa kwenye koma limeshashashindikina. Labda muifute cdm.
 
Hakika ni msiba mkubwa kwa chadema.

Mkutano mkubwa kuliko yote ambao umepokea viongozi, nasisitiza tena, viongozi kutoka chama kingine ni huu wa chauma. Viongozi 3000.

Sasa bado wanachama wa kawaida, itabidi waombe uwanja wa Benjamin Mkapa. Na kama ikigongana na dabi, naona dabi ikiahirishwa tena kupisha mkutano huo wa kupokea wanachama
View attachment 3340650
Hakuna kitu hapo upuuzi mtupu.
 
Maandishi yako yanasema viongozi 3000, Chauma wanasema wanachama 3000, unajiona ulivyo mnafiki? Chadema inakuhangaisha sana ndugu, tuliza mshono.
 
Hakika ni msiba mkubwa kwa chadema.

Mkutano mkubwa kuliko yote ambao umepokea viongozi, nasisitiza tena, viongozi kutoka chama kingine ni huu wa chauma. Viongozi 3000.

Sasa bado wanachama wa kawaida, itabidi waombe uwanja wa Benjamin Mkapa. Na kama ikigongana na dabi, naona dabi ikiahirishwa tena kupisha mkutano huo wa kupokea wanachama
View attachment 3340650
 
Tunaomba vyanzo vyote vya MAPATO CHAUMA.
 
CCM ni Chama kubwa sana.. Yaani hapa wametumia option A tu kwisha habari yao wapinzani wamerudi zero 1992 kuanza moja. Na bado kuna option B mpka Z. Hapa itachukua tena miaka 30 wapinzani kurudi walipokuwa 2015 kabla ya Magu kuingia. so sad!
Wapinzani gani wamerudi zero?

Hivi mlivyo wapumbavu mnadhqni Watanzania wa leo mnaweza kuwahadaa kwa ujinga wenu mnaofanya leo hapo?

Tembelea maoni ya wananchi mjue hapo mmepotezq tu pesa zenu.
 
Back
Top Bottom