Lema ni zaidi ya dalaliCHAUMA kupokea madalali na matapeli ya siasa
Lema ni zaidi ya dalaliCHAUMA kupokea madalali na matapeli ya siasa
Watu 3000 wanawezaje kuwa mafuriko?Hakika ni msiba mkubwa kwa chadema.
Mkutano mkubwa kuliko yote ambao umepokea viongozi, nasisitiza tena, viongozi kutoka chama kingine ni huu wa chauma. Viongozi 3000.
Sasa bado wanachama wa kawaida, itabidi waombe uwanja wa Benjamin Mkapa. Na kama ikigongana na dabi, naona dabi ikiahirishwa tena kupisha mkutano huo wa kupokea wanachama
View attachment 3340650
Nimecheka sana, Chaumma kinapokea wanachama wapya, ila wote wanatoka cdm tu, na wanasafirishwa kwenda kupokelewa Dar. Hakuna mwanacdm eti mwanacdm alipe nauli hadi Dar akajiunge na chama cha siasa. Naoma mnatumia mbinu za kizamani ile mbaya. Yaani sisi wanacdm wa kweli tuko tunachekea kwenye shati.Hakika ni msiba mkubwa kwa chadema.
Mkutano mkubwa kuliko yote ambao umepokea viongozi, nasisitiza tena, viongozi kutoka chama kingine ni huu wa chauma. Viongozi 3000.
Sasa bado wanachama wa kawaida, itabidi waombe uwanja wa Benjamin Mkapa. Na kama ikigongana na dabi, naona dabi ikiahirishwa tena kupisha mkutano huo wa kupokea wanachama
View attachment 3340650
Naunga hojaCHAUMA kupokea madalali na matapeli ya siasa
Gharama za kulaza mpiga kura mmoja mlalahoi aliyehongwa tshirt na kofia ili aichague ccm 2020. Ni shilingi 50000 kulazwa siku moja muhimbili.Minutes, usikose tukio hili, siti yako ntakuwekea, kunq hatari hata sehemu ya kukaa ikakosekana
Bado mko kwenye zama za Giza😂 Hao watu ambao hata wakifiwa na ndugu zao hawawezi kusafiri kwenda kuzika, ndio walipe nauli wakajiunge na chama cha siasa? Hizo mbinu za kizamani mtawaokota mafala, sana sana kuna mabasi mawili matatu yatapigwa picha yakitokea mikoani, kisha watalipwa majbless kadhaa wa ccm ili kwenda kutengeneza mafuriko fake. Huu utapeli ulifanyika mwaka 2014 wakati Zito anaenda ACT, leo hii Zito amekaa kwa kutulia, sana sana huko Znz anabebwa na wapemba aliowapata kwa kuokota embe chini ya mnazi😁Utamaduni wa kusafirisha wanachama sio wa chaumma tu, vyama vyote. Hiki ni kikao, lazma kuhakikisha member wako wanafika eneo husika. Hata tra, hata tbl,hata tcc,hata tanesco, husafirisha wafanyakazi wake kwenda eneo husika. Hivo si utaratibu mpya au mbaya.
Wenzako huwa wanapewa na hela kabisa za vikao. Na haina maana ya kuhonga bali, kulipwa muda wao,
Vipi na Abdul atakuwepo na kapu lake la pesa?Minutes, usikose tukio hili, siti yako ntakuwekea, kunq hatari hata sehemu ya kukaa ikakosekana
Swadakta mkuuBado mko kwenye zama za Giza😂 Hao watu ambao hata wakifiwa na ndugu zao hawawezi kusafiri kwenda kuzika, ndio walipe nauli wakajiunge na chama cha siasa? Hizo mbinu za kizamani mtawaokota mafala, sana sana kuna mabasi mawili matatu yatapigwa picha yakitokea mikoani, kisha watalipwa majbless kadhaa wa ccm ili kwenda kutengeneza mafuriko fake. Huu utapeli ulifanyika mwaka 2014 wakati Zito anaenda ACT, leo hii Zito amekaa kwa kutulia, sana sana huko Znz anabebwa na wapemba aliowapata kwa kuokota embe chini ya mnazi😁
Hamna watu wanatoka mikoani mkuu, kuna mabasi mawili matatu yatapigwa picha kama yanatokea mikoani, kisha majobless wa ccm watalipwa book 2mbili na kuvalishwa tshirt za chauma ili kutengeneza mafuriko fake. Umesahau yale mafuriko fake ya ACT wakati Zito kahamia ACT 2014?Gharama za kulaza mpiga kura mmoja mlalahoi aliyehongwa tshirt na kofia ili aichague ccm 2020. Ni shilingi 50000 kulazwa siku moja muhimbili.
Hili linajulikanq kwa wabunge, raisi na hata wewe .
Badala ya kuwasaidia watu hawa wanaokufa kila siku wewe unashangilia ujinga wa CHAUMA!
MKUTANO WA CHAUMA UTAWASAIDIA NN WANAOKUFA NA KUSUSA MAITI ZAO PALE MUHIMBILI?
WABUNGE WA CCM WANATAKA WAPIMBWE KWAMZA MIK.... NDU YAO
Yaani iasikitisha sana kwakweliHamna watu wanatoka mikoani mkuu, kuna mabasi mawili matatu yatapigwa picha kama yanatokea mikoani, kisha majobless wa ccm watalipwa book 2mbili na kuvalishwa tshirt za chauma ili kutengeneza mafuriko fake. Umesahau yale mafuriko fake ya ACT wakati Zito kahamia ACT 2014?
Mkuu bila kujali sana uhalisia wa sasa, hili linaloendelea sio la kucheka, lisipodhibitiwa kijana aliyeanza kufuatilia wanasiasa miaka ya 2000 hatoliona mpaka mwaka 2035 labda ndo atashtuka kuwa kumbe 2025 ulikuwa mwaka muhimu mno kwa Chadema. Unless wenye maamuzi Chadema kuna kitu wanafanya. Chadema ina silaha moja tu, raia wa kuwaunga mkono kwa vitendo.Nimecheka sana, Chaumma kinapokea wanachama wapya, ila wote wanatoka cdm tu, na wanasafirishwa kwenda kupokelewa Dar. Hakuna mwanacdm eti mwanacdm alipe nauli hadi Dar akajiunge na chama cha siasa. Naoma mnatumia mbinu za kizamani ile mbaya. Yaani sisi wanacdm wa kweli tuko tunachekea kwenye shati.
Hata kijana akiwa na darubini🤣?Mkuu bila kujali sana uhalisia wa sasa, hili linaloendelea sio la kucheka, lisipodhibitiwa kijana aliyeanza kufuatilia wanasiasa miaka ya 2000 hatoliona mpaka mwaka 2035 labda ndo atashtuka kuwa kumbe 2025 ulikuwa mwaka muhimu mno kwa Chadema. Unless wenye maamuzi Chadema kuna kitu wanafanya. Chadema ina silaha moja tu, raia wa kuwaunga mkono kwa vitendo.
Usisahau, wazee waliokaa chini ya mti wanaona mbali kuliko kijana aliye juu ya mti
Na Mitanzania ilivyo mipumbavu inashangilia huu upuuzi.Mimi hilo kwangu siyo tatizo, tatizo kwangu kuchezea pesa kwa ajili ya haya maigizo ndio kinachoniuma mimi na kuniongezea hasira za kuichukia zaidi ccm.
Hizo pesa zinazotolewa na serikali kufadhili huu upumbavu wangepeleka kwa wenye huitaji lingekuwa jambo la maana sana.
Ccm haina nia njema na Tanzania.
Mgombea mwenza wa chadema leo amekuwa tapeli tenaMatapeli ya kisiasa
Mkuu acha tu, hilo jicho la wazee si mchezo.Hata kijana akiwa na darubini🤣?
Endelea kujilisha upepo na kuamini kuwa unashiba chakula.CCM ni Chama kubwa sana.. Yaani hapa wametumia option A tu kwisha habari yao wapinzani wamerudi zero 1992 kuanza moja. Na bado kuna option B mpka Z. Hapa itachukua tena miaka 30 wapinzani kurudi walipokuwa 2015 kabla ya Magu kuingia. so sad!
Wamekosea wapi sasa!!!Kama hili tangazo ni la kweli, watakuwa wamekosea sana. Palikuwa na haja gani kusema kuwa wanatoka CDM?
Amandla...