Wanachama wa kawaidanao wamehongwa na Abdul?Hakika ni msiba mkubwa kwa chadema.
Mkutano mkubwa kuliko yote ambao umepokea viongozi, nasisitiza tena, viongozi kutoka chama kingine ni huu wa chauma. Viongozi 3000.
Sasa bado wanachama wa kawaida, itabidi waombe uwanja wa Benjamin Mkapa. Na kama ikigongana na dabi, naona dabi ikiahirishwa tena kupisha mkutano huo wa kupokea wanachama
View attachment 3340650
Mtakaa nyie akina mama wa CCM shauri ya upumbavu wenu na tamaaMinutes, usikose tukio hili, siti yako ntakuwekea, kunq hatari hata sehemu ya kukaa ikakosekana
Wanasiasa wote ndivyo walivyoCHAUMA kupokea madalali na matapeli ya siasa
Zile bilioni 15 zilizoombwa hazina matumizi ake ndiyo hayaCHAUMA wanashangaza.Wanasafirisha wanachama wapya kutoka mikoani ili iweje.Maana yake kila atakayetaka kujiunga atataka afanyiwe kama wengine waliojiunga.
Wangewafuata mikoani huko huko.Halafu wasije wakawasarisha kwenda Dar,lakini kurudi wakawatelekeza.
Mbona Lisu hafanyi utapeli?Wanasiasa wote ndivyo walivyo
Uongo ni dhambi.Hakika ni msiba mkubwa kwa chadema.
Mkutano mkubwa kuliko yote ambao umepokea viongozi, nasisitiza tena, viongozi kutoka chama kingine ni huu wa chauma. Viongozi 3000.
Sasa bado wanachama wa kawaida, itabidi waombe uwanja wa Benjamin Mkapa. Na kama ikigongana na dabi, naona dabi ikiahirishwa tena kupisha mkutano huo wa kupokea wanachama
View attachment 3340650
Unawapangia ukiwa kama nani?CHAUMA wanashangaza.Wanasafirisha wanachama wapya kutoka mikoani ili iweje.Maana yake kila atakayetaka kujiunga atataka afanyiwe kama wengine waliojiunga.
Wangewafuata mikoani huko huko.Halafu wasije wakawasarisha kwenda Dar,lakini kurudi wakawatelekeza.
Tunawatakia kila heriHakika ni msiba mkubwa kwa chadema.
Mkutano mkubwa kuliko yote ambao umepokea viongozi, nasisitiza tena, viongozi kutoka chama kingine ni huu wa chauma. Viongozi 3000.
Sasa bado wanachama wa kawaida, itabidi waombe uwanja wa Benjamin Mkapa. Na kama ikigongana na dabi, naona dabi ikiahirishwa tena kupisha mkutano huo wa kupokea wanachama
View attachment 3340650
CHAUMA imeanza vitendo vya kuudhi na kuumiza moyo wa vyama vingine vya siasa hadharini tena live kabisa, dah!Hakika ni msiba mkubwa kwa chadema.
Mkutano mkubwa kuliko yote ambao umepokea viongozi, nasisitiza tena, viongozi kutoka chama kingine ni huu wa chauma. Viongozi 3000.
Sasa bado wanachama wa kawaida, itabidi waombe uwanja wa Benjamin Mkapa. Na kama ikigongana na dabi, naona dabi ikiahirishwa tena kupisha mkutano huo wa kupokea wanachama
View attachment 3340650
Mkuu, habari za siku, nimekukumbuka, enzi ya shule ulikuwa unajificha makorongoni, soma tenaUongo ni dhambi.
Baba wa uongo ni shetani.
CCM ni waongo.
CCM ni baba wa uongo.
Wewe ni muongo.
Wewe ni shetani.
Wapi kwenye hiyo "Taarifa kwa Umma" pameandikwa "viongozi 3000"!!!???
Utamaduni wa kusafirisha wanachama sio wa chaumma tu, vyama vyote. Hiki ni kikao, lazma kuhakikisha member wako wanafika eneo husika. Hata tra, hata tbl,hata tcc,hata tanesco, husafirisha wafanyakazi wake kwenda eneo husika. Hivo si utaratibu mpya au mbaya.CHAUMA wanashangaza.Wanasafirisha wanachama wapya kutoka mikoani ili iweje.Maana yake kila atakayetaka kujiunga atataka afanyiwe kama wengine waliojiunga.
Wangewafuata mikoani huko huko.Halafu wasije wakawasarisha kwenda Dar,lakini kurudi wakawatelekeza.
Mmekuwa nao miaka 30+, acha wakae chauma miaka 30+ ndo tutajua kama ni matapeli na madalali wa kisiasa au mliwachagua mkiona ndo walikuwa na akili kuzidi nyie wengine huko chadema.CHAUMA kupokea madalali na matapeli ya siasa
Mnazila hela(kodi)zetu kijinga sana aisee.Hakika ni msiba mkubwa kwa chadema.