Nimeanza na ya mnyonyo,.Sikuona tag kipenzi
Leejay49 mm nliwah tengeneza mwenyew yalinisaidia ila kila anaekuja anaomba km unamuda tengeneza haifiki iyo 50k
Kuna mdada pia anauza naona bidhaa anazotumia kutengeneza yatakuwa mazuri ila sijawah tumia
Aisee kumbe una nywele nzuri hivi mkuu...Wakuu Nahitaji mafuta mazuri ya nywele ambayo yanaweza kukuza walau ndani ya miezi sita nywele niweze kubana,,.Kwa anayefahamu , anayeuza, au aliyewahi kuyatumia naombeni mnitajie majina na hata picha ikiwezekana,. Au kama uko nayo niambie unapatikana wapi ili ikiwezekana unisafirishie,
Wiki iliyopita niliweka nywele zangu dawa,. Zimeharibika mno nimenyoa nataka nianze upya,.
Ziko urefu huu saizi, na nikipata hayo mafuta kama yatakua na feedbacks nzuri natakua naupdate zilivyo
View attachment 3337221
Nayotumia kuzing'arisha ni hayo hapo,.
View attachment 3337222
Nataka tu zikue faster ikiwezekana hadi December nikue nabana tena,.
Nb: Bei isizidi 50kπ©
Nitakupa dear sijatuliaNimeanza na ya mnyonyo,.
nifundishe kwanza nipe hizo ingredients
yanatoka kwa bei gan haya.chuma hichoo, inajaza nywele, inang'risha halafu nywele inakuwa nyeusi tii
View attachment 3373479
1500 sema saiv yamekuwa adim sanayanatoka kwa bei gan haya.
Zimekuwa?Mahondaw Hornet Nifah Madame B Lamomy ephen_ Joanah Joannah Depal Carleen Darlin Palina Ms eyes Binti Sayunii kadogo2 Mshangazi Mshangazi dot com mama D Donatila Makiwendo cocastic
nakwede97 Aaliyyah Mallerina Atoto Demi Dr. Mariposa Ms cee Ms kb Nusratt realMamy Msweet Chujio cocochanel Anastasia21 Midekoo Mideko Shunie Numbisa Kelsea ledada leo dada SweetyCandy
Dear, kwanini usiishi ktk Low cut? Mbna utawaka sana tyuuh.Mahondaw Hornet Nifah Madame B Lamomy ephen_ Joanah Joannah Depal Carleen Darlin Palina Ms eyes Binti Sayunii kadogo2 Mshangazi Mshangazi dot com mama D Donatila Makiwendo cocastic
nakwede97 Aaliyyah Mallerina Atoto Demi Dr. Mariposa Ms cee Ms kb Nusratt realMamy Msweet Chujio cocochanel Anastasia21 Midekoo Mideko Shunie Numbisa Kelsea ledada leo dada SweetyCandy
Tumia yale ya mboso khan "Mshike huyo, hatoki mtu"Wakuu Nahitaji mafuta mazuri ya nywele ambayo yanaweza kukuza walau ndani ya miezi sita nywele niweze kubana,,.Kwa anayefahamu , anayeuza, au aliyewahi kuyatumia naombeni mnitajie majina na hata picha ikiwezekana,. Au kama uko nayo niambie unapatikana wapi ili ikiwezekana unisafirishie,
Wiki iliyopita niliweka nywele zangu dawa,. Zimeharibika mno nimenyoa nataka nianze upya,.
Ziko urefu huu saizi, na nikipata hayo mafuta kama yatakua na feedbacks nzuri natakua naupdate zilivyo
Nayotumia kuzing'arisha ni hayo hapo,.
Nataka tu zikue faster ikiwezekana hadi December nikue nabana tena,.
Nb: Bei isizidi 50kπ©
Wild growth hair oil35000π₯π₯Wakuu Nahitaji mafuta mazuri ya nywele ambayo yanaweza kukuza walau ndani ya miezi sita nywele niweze kubana,,.Kwa anayefahamu , anayeuza, au aliyewahi kuyatumia naombeni mnitajie majina na hata picha ikiwezekana,. Au kama uko nayo niambie unapatikana wapi ili ikiwezekana unisafirishie,