Ni magari gani manne (4) utanunua endapo utakuwa na uwezo?

Hahah hio ni ya hela ndogo saaaaana,haiwezi kua dream car.
mng'ato njoo huku ututajie Nissan patrol Y60 Mnyama Td42
Cheki list yangu hapo chini mzee baba.
JEEP:1977 Jeep Wrangler

CHEVROLET:1970 chevy corvette

FORD:1994 Ford Bronco,1970 Thunderbird

HONDA:1990 Acura NSX

BMW:1991 Bmw M3(E30)

MERCEDES BENZ:1990 MB 500SL
 
kuna siku nipo kwenye dcm za goms daah kuna mwamba tulikua nae kwenye foleni ya tazara kabla ya daraja alikua kwenye cadillac escalade nyeusi pyuuu, daah kuna watu wanaenjoy bana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah hio ni ya hela ndogo saaaaana,haiwezi kua dream car.Cheki list yangu hapo chini mzee baba.
Daaaahhhh aiseeee vitu vyako vyote ni kuanzia miaka ya 90 kushuka chini, hakika wewe utakua na chanjo ya tetanus ya mda mrefu.
Ila mi hua nnakukubali sana jinsi unavyomsifiaga mnyama wako ndio maana nlipouona tuu uzi fasta nikakushtua uje utupe ushuhuda wako.
 

Hahah haya mandinga ya siku hizi utamu wake yote unafanana tu mkuu afu yamejazwa gadgets tupu kila kitu unasaidiwa mara camera ya reverse,mara yana auto pilot,sijui Auto Park assist,bonge la touch screen radio etc

Mi napenda vile vitu org,havina zile mbwembwe za GPS,Air Suspension etc,yaani kazi yangu ni moja to enjoy driving only.

Hicho kitu konki cha Y60 chenyewe J5 hii naenda kukikagua na fundi,kikiwa .kamili Jmos nakiweka ndani,itakua kwa ajili ya ku-tow 2 tonnes trailer na off-road mzee baba,inshort napenda vitu vya old skulz mkuu,hahah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…