Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Mie tenaa, nna Phd sio tuu ya kuunga unga wala ya dots bali ya signal zote .....[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Mkuu unataka kutuambia kuwa mtu akilala nafsi huuacha mwili, hafu inaenda kujoin na watu wengine huko , na inaweza kukamatwa na kuwekwa lupango ya huko, basi kama ndo hivyo wanaochelewa kuamka huenda wanakuwaga na misala ya kuwekwa sero.
Hahahaa mie nahisi Phd wote mlikuwepo kwenye mdahalo na mkulu siku yenyewe, Wewe ulichangia ajenda ipi?
Ngoja niwe mpole yule maana hakuna namna
Pia kwa wale wapenda ngono sana pia hufa ghaflaSina taaluma ya u tabibu ila ntajarbu kuelezea kwa uelewe wangu.
Presha yaani msukumo wa damu kuwa mkubwa au mdogo kuliko kawaida, mishipa hupasuka na mtu kufia usingizini.
Msongo wa mawazo, watu wa nje hamjui na hajawahi mwambia mtu kinachomsumbua siku ya siku anakufa nacho moyoni ndani ya njozi.
Ukikamatwa huko kwenye ndoto yaani ukiwa kwenye ndoto halafu ndani ya ndoto mtu akakushikilia au kuzuia usistuke kutoka kwenye ndoto na kurudi duniani au kwenye mwili au kuamka ndo unapitiliza ikifika asubuhi tayari maiti. Wakati hukuwa na ugonjwa wowote ule.
Internal organs au viungo muhimu vya ndani ya mwili wa binadamu kufeli ghafla sababu ya kadha wa kadha, mfano mapafu yakokorofisha humalizi sekunde 5 usingizini hukohuko, moyo, Figo zote zikifeli, in likifelij ghafla nakadhalika nakadhalika.
K' Matata.
Sio tuu ukilala, ukilala na kutoa ndoto. Kumbuka kuna ambao wanalala bila kuota ndoto.
Ndio maana wazee wa zamani walikuwa wanaambiwa watu wavivu kuamka au wanaochelewa kuamka au wanaopenda kulala kuwa mtakufa mapema sababu ya kupenda kulala.
Na baadhi ya wazee wa zamani pia walisema kulala ni nusu ya kifo maana unaweza usiamke.
Wanyamwezi tunamsemo tunasemaga, "Uziku Mwaka". Igholoo.
Mie nilikuwa katibu nachukua hadidu rejea.... kipaza sauti hakikunipitia.
Vipi wewe sio mwana PhD mwenzetu??
Kuna vifo ni mystery.
Huumwi kitu ila unakata moto na hata postmotum haionyeshi kitu.yaani uko intact kabisa ila unazima kama taa vile
Watakuja bana kuwa na subira
Ukisha sema kulala ni nusu ya kufa
Huwa nakumbuka kifo cha my mama yeye alikufa akiwa amelala iyo ilitokea baada ya kufanya usafi nyumba nzima baada ya hapo akamwambia mzee ngoja apumzike kidogo huo ndio ulikuwa mwisho wa mama
RIP Mama
Hahaha wewe uliwahi,huwezi kuwa shuhuda mzuri tunataka wale walio kufa kabisa, watuambie ilikuwaje?!Wakati mwingine ni kupaliwa na chakula,hususan wali...minishaponea chupuchupu mara mbili nashituka ghafla usingizini na kukuta pumzi ikikatakata
Pole sana ila mchango wako ulikuwa mhm sn, Mie la nne mkoloni, sasa nmesitaafu uwalimu wangu nakula pension.
Nipo nafatilia darasa la maradhi yanayotumaliza sisi wasitaafu
Usiseme ivyo utawapa shida sana ndugu zako utakao waacha duniaNatamani kufia usingizini
πuneneπ
Ukisha sema kulala ni nusu ya kufa
Huwa nakumbuka kifo cha my mama yeye alikufa akiwa amelala iyo ilitokea baada ya kufanya usafi nyumba nzima baada ya hapo akamwambia mzee ngoja apumzike kidogo huo ndio ulikuwa mwisho wa mama
RIP Mama