Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ป๐ปMkuu unataka kutuambia kuwa mtu akilala nafsi huuacha mwili, hafu inaenda kujoin na watu wengine huko , na inaweza kukamatwa na kuwekwa lupango ya huko, basi kama ndo hivyo wanaochelewa kuamka huenda wanakuwaga na misala ya kuwekwa sero.
๐๐๐๐Tuseme madaktari humu jf wote wapo zamu za usiku
๐๐๐๐๐๐One of the best deaths ever, sema kama hauna dhambi, kama unazo ukifika kule jamaa wanakubadilikia
Aiseeeh, pole sana kwa kuondokewa na bi mkubwa. Mungu amrehemu huko aliko ampunguzie adhabu ya kaburi na apumzike kwa amani.
Wengine huwa wanaita peace death, shida hujaungwa kwa waswahili iwapo mchana wake au jana yake walisemeshana na mtu wakajibizana hadharani kuwa utakiona tuone kama utaendelea kuringa na kadhalika na kadhalika. ..... lazima ukaisaidie polisi kwa maneno yako kumbe mtu siku yake ilikiwa imefika.
Nenda katika ule uzi wa jf usiku wa manane[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sina taaluma ya u tabibu ila ntajarbu kuelezea kwa uelewe wangu.
Presha yaani msukumo wa damu kuwa mkubwa au mdogo kuliko kawaida, mishipa hupasuka na mtu kufia usingizini.
Msongo wa mawazo, watu wa nje hamjui na hajawahi mwambia mtu kinachomsumbua siku ya siku anakufa nacho moyoni ndani ya njozi.
Ukikamatwa huko kwenye ndoto yaani ukiwa kwenye ndoto halafu ndani ya ndoto mtu akakushikilia au kuzuia usistuke kutoka kwenye ndoto na kurudi duniani au kwenye mwili au kuamka ndo unapitiliza ikifika asubuhi tayari maiti. Wakati hukuwa na ugonjwa wowote ule.
Internal organs au viungo muhimu vya ndani ya mwili wa binadamu kufeli ghafla sababu ya kadha wa kadha, mfano mapafu yakokorofisha humalizi sekunde 5 usingizini hukohuko, moyo, Figo zote zikifeli, in likifelij ghafla nakadhalika nakadhalika.
K' Matata.
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ horner hauko sawa ujue๐๐๐ mm sitak kufa aisee nimechekaaNatamani kufia usingizini
Nenda katika ule uzi wa jf usiku wa manane
Ni hivyo ila ujumbe umeelewa nadhani kamandaHigh blood pressure ya kushuka na kupanda? Sio kwamba kuna HBP na LBP? Nauliza tu!
Ukifatilia mienendo yake ya nyuma siku moja kabla ya tukio.....
Alipita karibu kijiji kizima kuwaaga kuwa anarud Dar na hapo kuna baadhi ya mizigo tayar ilisha pelekwa stendi kwa ajir ya safar ya kesho...
baada kuwaaga ndipo alipo kuja katika nyumba yake na kufanya usafi baada ya hapo akamwambia mzee kuwa anapumzika kidogo alipo lala hakuamka tena
All in all huwa naamin kazi ya mungu huwa haina makosa
Siku panga uingie huko utakutana na watu mwenye maono tofaut tofaut stori za hapa na palekunani kaka..alafu sijawh ingia mida hiyo nakuwaga nimelala
nimeogopa mm jaman.. jumamos nina safari naomba Mungu anitngulie jamanii rest easy mama!
nimeogopa mm jaman.. jumamos nina safari naomba Mungu anitngulie jamanii rest easy mama!
Kumbe maza angu ni msomi wa Havard university![emoji1][emoji1][emoji1]Cardiovascular diseases...matabibu wataeleza dalili zake,.
mhola sana ngosha..
Kโ Matata.
vifo hivi..mm siingii tena humu naogopa mikosi aisee..nakufaje at this tender age๐Mungu atusamehemaovu yetuโ[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
@Hornet
Pia kuna wale watu wakitengo ,,,## Wasiojulikana## wanakuzimisha kimya kimyaHello JF,
Kuna vifo ambavyo vinakuwa unexplained,unakuta mtu alikua amelala vizuri kesho yake asubuhi haamki...kumpima anakua keshafarilki...
Nimesikia moja ya magonjwa yanayomchukua mtu ghafla ni kisukari...
Madaktari wa humu tungependa kujua magonjwa mengine yanayoua ghafla na dalili zake...hatuna culture ya kupima afya zetu mpaka pale tunapoumwa ila at least tukijua dalili/ warning signs then tutajipeleka hospital......
Mods please msiipeleke Jukwaa la Afya, kule Watu wanaoenda ni wachache,[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
๐๐ nahene ngalo.. toleho lolo..Chuuu!!
Nahene lulu! Natogwa ugwigwa ulemhola!
Bhageshagi ugukaya.