Ni magonjwa gani yanayoua ghafla na dalili zake ni zipi?

Ni magonjwa gani yanayoua ghafla na dalili zake ni zipi?

Mkuu unataka kutuambia kuwa mtu akilala nafsi huuacha mwili, hafu inaenda kujoin na watu wengine huko , na inaweza kukamatwa na kuwekwa lupango ya huko, basi kama ndo hivyo wanaochelewa kuamka huenda wanakuwaga na misala ya kuwekwa sero.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ŽπŸ˜‚πŸ»πŸ»
 
Ukifatilia mienendo yake ya nyuma siku moja kabla ya tukio.....

Alipita karibu kijiji kizima kuwaaga kuwa anarud Dar na hapo kuna baadhi ya mizigo tayar ilisha pelekwa stendi kwa ajir ya safar ya kesho...

baada kuwaaga ndipo alipo kuja katika nyumba yake na kufanya usafi baada ya hapo akamwambia mzee kuwa anapumzika kidogo alipo lala hakuamka tena


All in all huwa naamin kazi ya mungu huwa haina makosa
Aiseeeh, pole sana kwa kuondokewa na bi mkubwa. Mungu amrehemu huko aliko ampunguzie adhabu ya kaburi na apumzike kwa amani.

Wengine huwa wanaita peace death, shida hujaungwa kwa waswahili iwapo mchana wake au jana yake walisemeshana na mtu wakajibizana hadharani kuwa utakiona tuone kama utaendelea kuringa na kadhalika na kadhalika. ..... lazima ukaisaidie polisi kwa maneno yako kumbe mtu siku yake ilikiwa imefika.
 
Sina taaluma ya u tabibu ila ntajarbu kuelezea kwa uelewe wangu.

Presha yaani msukumo wa damu kuwa mkubwa au mdogo kuliko kawaida, mishipa hupasuka na mtu kufia usingizini.

Msongo wa mawazo, watu wa nje hamjui na hajawahi mwambia mtu kinachomsumbua siku ya siku anakufa nacho moyoni ndani ya njozi.

Ukikamatwa huko kwenye ndoto yaani ukiwa kwenye ndoto halafu ndani ya ndoto mtu akakushikilia au kuzuia usistuke kutoka kwenye ndoto na kurudi duniani au kwenye mwili au kuamka ndo unapitiliza ikifika asubuhi tayari maiti. Wakati hukuwa na ugonjwa wowote ule.

Internal organs au viungo muhimu vya ndani ya mwili wa binadamu kufeli ghafla sababu ya kadha wa kadha, mfano mapafu yakokorofisha humalizi sekunde 5 usingizini hukohuko, moyo, Figo zote zikifeli, in likifelij ghafla nakadhalika nakadhalika.

K' Matata.

K’ Matata.
 
Ukifatilia mienendo yake ya nyuma siku moja kabla ya tukio.....

Alipita karibu kijiji kizima kuwaaga kuwa anarud Dar na hapo kuna baadhi ya mizigo tayar ilisha pelekwa stendi kwa ajir ya safar ya kesho...

baada kuwaaga ndipo alipo kuja katika nyumba yake na kufanya usafi baada ya hapo akamwambia mzee kuwa anapumzika kidogo alipo lala hakuamka tena


All in all huwa naamin kazi ya mungu huwa haina makosa


nimeogopa mm jaman.. jumamos nina safari naomba Mungu anitngulie jamanii rest easy mama!
 
kunani kaka..alafu sijawh ingia mida hiyo nakuwaga nimelala
Siku panga uingie huko utakutana na watu mwenye maono tofaut tofaut stori za hapa na pale

Huwez kosa new friend wenye mawazo mazur about life

Better zaid uingine mishale kuanzia saa 6 na kuendelea
 
Hello JF,

Kuna vifo ambavyo vinakuwa unexplained,unakuta mtu alikua amelala vizuri kesho yake asubuhi haamki...kumpima anakua keshafarilki...

Nimesikia moja ya magonjwa yanayomchukua mtu ghafla ni kisukari...

Madaktari wa humu tungependa kujua magonjwa mengine yanayoua ghafla na dalili zake...hatuna culture ya kupima afya zetu mpaka pale tunapoumwa ila at least tukijua dalili/ warning signs then tutajipeleka hospital......

Mods please msiipeleke Jukwaa la Afya, kule Watu wanaoenda ni wachache,[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Pia kuna wale watu wakitengo ,,,## Wasiojulikana## wanakuzimisha kimya kimya
 
Back
Top Bottom