Ni makosa ya kiufundi kuandaa mdahalo katika jengo la TLS ambalo Mwabukusi ni Rais wake, na anamunga mkono Lissu hadharani, haki isingetendeka

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Viongozi wakuu wote wa TLS ni kambi ya Lissu, halafu mdahalo unaandaliwa katika jengo la kambi moja, na wanatarajia haki itendeke.

Ni wazi kuna njama, fitna na hata Janja janja ya kumdhuru Mbowe. Hongera Mbowe kwa kukwepa mtego wa mahasidi
 
Kengo ndio linaongea?
 
Sio Mbowe tuu Hata mama hawez kubali
 
Viongozi wakuu wote wa TLS ni kambi ya Lissu, halafu mdahalo unaandaliwa katika jengo la kambi moja, na wanatarajia haki itendeke.

Ni wazi kuna njama, fitna na hata Janja janja ya kumdhuru Mbowe. Hongera Mbowe kwa kukwepa mtego wa mahasidi
Kama wanachama wa CCM ndo mmefikia kuwa na akili za namna hii basi acha tu chama hiki kiendelee kuwa mfu.
 
Acha visingizio wewe mwanalumumba.

Mdahalo unaoruka live kwenye TV na maswali ya ana kwa ana jengo linahusikaje?

Mbowe mbona anaungwa mkono na kambi ya Lumumba na wote tunalijua hilo au mlitaka mdahalo ufanyikie Lumumba?

Tabia za kukimbia midahalo ni za wanalumumba naona hata mnayemuunga mkono amebeba hiyo tabia.
 
Viongozi wakuu wote wa TLS ni kambi ya Lissu, halafu mdahalo unaandaliwa katika jengo la kambi moja, na wanatarajia haki itendeke.

Ni wazi kuna njama, fitna na hata Janja janja ya kumdhuru Mbowe. Hongera Mbowe kwa kukwepa mtego wa mahasidi
Kwani eneo fulani linaweza kumjengea mtu hoja au kumpa mtu hoja za kuzungumza?
Semeni ukweli tu kuwa, Mbowe mweupe kichwani, hana hoja za kupambana na Lisu akili kubwa.
Toka achukue fomu hajatoa hata hoja moja tu ya nini atakifanya kwa miaka 5 tu hii anayoomba tumchague!
Hana agenda yoyote zaidi ya kujinufaisha yeye na wapambe wake kwa mgongo wa chadema
 
Kwani Mzee wetu Mbowe amekimbia Mdahalo?
 
Viongozi wakuu wote wa TLS ni kambi ya Lissu, halafu mdahalo unaandaliwa katika jengo la kambi moja, na wanatarajia haki itendeke.

Ni wazi kuna njama, fitna na hata Janja janja ya kumdhuru Mbowe. Hongera Mbowe kwa kukwepa mtego wa mahasidi
Ni wazi mlia machozi ya uchungu Chief Odemba ni mwanachadema kindakindaki lakini pia ni team Lisu, huku huyo odero akiwa ni project yao ambayo , eti siku ya uchaguzi atajitoa na kumuunga mkono Kibaraka 🐒
 
Mchezo umestukiwa
 
Mdahalo wa Chadema unaweza kufanyika hata nyumbani kwa Mbowe, kama Mbowe hataki ufanyike kwingineko..

Kwani jengo linahusikaje katika kuendesha mdahalo na kupendelea mtu fulani?
Wanaweza kufanya njama hata ya kumuwekea sumu
 
Back
Top Bottom