Ni makosa ya kiufundi kuandaa mdahalo katika jengo la TLS ambalo Mwabukusi ni Rais wake, na anamunga mkono Lissu hadharani, haki isingetendeka

Ni makosa ya kiufundi kuandaa mdahalo katika jengo la TLS ambalo Mwabukusi ni Rais wake, na anamunga mkono Lissu hadharani, haki isingetendeka

Viongozi wakuu wote wa TLS ni kambi ya Lissu, halafu mdahalo unaandaliwa katika jengo la kambi moja, na wanatarajia haki itendeke.

Ni wazi kuna njama, fitna na hata Janja janja ya kumdhuru Mbowe. Hongera Mbowe kwa kukwepa mtego wa mahasidi
Matofali ndiyo yanaongea au mtu. Hebu muite Lissu white house ya CCM Dodoma ndiyo ujue anayeongea siyo rangi au bendera ya chama ila ni mtu.
 
Midahalo ya wanasiasa kwa hapa Tanzania bado sana
 
Umemfahamu lini Mbowe wewe? Michezo ya kitoto na ya kizamani hiyo umfanyie hivo mtoto wa mjini Freeman!
Hao jamaa ni wahuni, wanaweza kumdhuru hata kwa sumu. Mbowe namjua kabla Tshimanga Kalala Asossa hajaanza kunyoa panki
 
Hao jamaa ni wahuni, wanaweza kumdhuru hata kwa sumu. Mbowe namjua kabla Tshimanga Kalala Asossa hajaanza kunyoa panki
Hizo enzi Tshimanga Kalala Asosa hajaanza kunyoa pank, Mbowe alikua anafanya kazi BOT, mbilinge za biashara alikua hajazianza kiviiile; huyu ni mtoto wa mujini, kaiva hasa, mji anaujua, uhuni wa namna hiyo ndio humwambii kitu yule
 
Hata kama ukumbi ungekuwa Karimjee hall bado mbowe asingekanyaga kwani anamjua Lissu vilivyo kuliko hata wewe mleta mada
Lissu matusi anaweza kumtukana matusi ya nguoni ktk kamera. Lissu kama kachanganyikiwa
 
Hata kama ukumbi ungekuwa Karimjee hall bado mbowe asingekanyaga kwani anamjua Lissu vilivyo kuliko hata wewe mleta mada
Kwamba Mbowe anamjua vizuri Lissu uko sahihi. Kumbuka Mbowe ndiye aliyemuokota Lissu akiwa anazurula TLP pamoja na wenzake Mch. Msigwa na Lema akamleta Chadema.
 
Back
Top Bottom