Makwizi Band
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 1,535
- 2,565
Mbowe hana tofauti na miccm inayokimbia midaharoMchezo umestukiwa
Inawezekana ni masharti ya maridhiano maana miccm huwa haitaki midaharoWanaweza kumpulizia madawa ya kulevya au wakamuwekea kwenye maji kumhujumu
Mwabukusi sio mwandaaji wa mdahalo huu. Ukumbi unakodishwa hata wewe unaweza kuukodi ukafanyia besideyi yakoViongozi wakuu wote wa TLS ni kambi ya Lissu, halafu mdahalo unaandaliwa katika jengo la kambi moja, na wanatarajia haki itendeke.
Ni wazi kuna njama, fitna na hata Janja janja ya kumdhuru Mbowe. Hongera Mbowe kwa kukwepa mtego wa mahasidi
uachage unaa! Ulitaka wakaandae wapi ndio mbowe angehudhuria?Viongozi wakuu wote wa TLS ni kambi ya Lissu, halafu mdahalo unaandaliwa katika jengo la kambi moja, na wanatarajia haki itendeke.

Kaandika historia😂 😂 😂 Maisha yanaenda kasi sana!
Mbowe leo wa kukimbia mdahalo?
Na bado Mbowe asingetoka chumbani..Mdahalo wa Chadema unaweza kufanyika hata nyumbani kwa Mbowe, kama Mbowe hataki ufanyike kwingineko.
Kumbe wewe pimbi kweli kweli kwani ukifanyika hapo kuna nini kinapungua au kuongezeka?Viongozi wakuu wote wa TLS ni kambi ya Lissu, halafu mdahalo unaandaliwa katika jengo la kambi moja, na wanatarajia haki itendeke.
Ni wazi kuna njama, fitna na hata Janja janja ya kumdhuru Mbowe. Hongera Mbowe kwa kukwepa mtego wa mahasidi
Hii Hoja yako ni dhaifu Sanaa.Viongozi wakuu wote wa TLS ni kambi ya Lissu, halafu mdahalo unaandaliwa katika jengo la kambi moja, na wanatarajia haki itendeke.
Ni wazi kuna njama, fitna na hata Janja janja ya kumdhuru Mbowe. Hongera Mbowe kwa kukwepa mtego wa mahasidi
Mbowe kaanza visingizio😂😂Viongozi wakuu wote wa TLS ni kambi ya Lissu, halafu mdahalo unaandaliwa katika jengo la kambi moja, na wanatarajia haki itendeke.
Ni wazi kuna njama, fitna na hata Janja janja ya kumdhuru Mbowe. Hongera Mbowe kwa kukwepa mtego wa mahasidi
Yaani ni aibu Sana...Vijana wa Mbowe hawakujua hizi nyakati zinazaweza fika, hili linawaondolea ujasiri wa kuongea kuhusu CCM kukimbia debates.
View: https://x.com/IAMartin_/status/1829997723111879100?t=cnhz88yp0ywkr7pTARTkig&s=19
Ingekua ni zaidi ya afande kingai vs kibatala.N
Na bado Mbowe asingetoka chumbani..
Mbowe Hana sera...Kwamba ukienda kwenye JENGO la wanao kupinga utashindwa kueleza sababu za wewe kuchaguliwa? Poor argument kabisa hi