National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Hallo Wakuu, Baridaaa!
Ni Mambo gani ambayo ukitumia pesa (money) yako.. nafsi yako (roho yako) hupatwa na furaha sana na amani ndani yake?
Binafsi;
1. Ninapo mpa pesa mke wangu, hunifanya kusikia furaha ya ndani sana moyoni mwangu na ninakuwa na amani.
2. Kujaza wese na kukimbia (napenda sana mbizo na kukimbia)
Haya mambo pindi nitumiapo pesa hufurahi sana ndani yangu... yaliyobaki yote huwa napata udhumi na roho kuumia sana
Intelligent businessman
mshamba_hachekwi
Dahan Bantu Lady, PhD. Penseli 4