National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
- Thread starter
- #41
shenziii sana weyeeee... bado una BMW lakini waaapiii... unatembela magoti π π π πππ
SIMJUI MTU UYU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shenziii sana weyeeee... bado una BMW lakini waaapiii... unatembela magoti π π π πππ
SIMJUI MTU UYU
We jamaa haupo team kataa ndoa?
Nimeona umesema Una mke ...
Team kataa ndoa huyu sio member wenu?
Nina bonge la upgrade. Unyama sana unekuja mjini. Namba Eshenziii sana weyeeee... bado una BMW lakini waaapiii... unatembela magoti π π π π
π π π sema kwenye manunuzi ya petroli patamu sana... speed 160kmh kwenye konaaa shwaa1. Nikinunua petroli.
2. Nikisafiri.
3. Nikienda movie.
4. Nikishare kitu
Ambayo uwa najuta:
1. Nikionga.
2. Nikinywa beer.
3. Nikila kwenye fancy restaurants.
i 2nd you [emoji39]Kuwapa wazazi wangu...
Kula msosi mzuri (wale wapenda misosi tujuane,lol)
M competetion nini mzeee... nije nipate ka lift π πNina bonge la upgrade. Unyama sana unekuja mjini. Namba E
Uliingize dude sehemu nzuri uanze yale mambo yetu mkuu, huku misosi na vilaji vipo vya kutosha, ni mwendo wa kuamua mnaanzajeπ€£π€£π€£π€£π€£π π π We nomaa sema maisha hayaki u serious
hii imekaaa powa sana mzeeNinapotoa pesa kumsaidia mtu barabarani,ambaye kweli roho yangu imeona anastahili kusaidiwa...
π₯Έπ₯Έπ₯Έπ₯Έπ₯Έ nomaaa sanaaa dy/dx1. Kununua mafuta ya kupigia Nyeto
Naamini naokoa kibunda kimoja kikubwa sana ambacho kina Moureen wa Tabata wangekifaidi
2. kingine nikifanya finishing ya anasa kwenye kibanda, hua nakua na furaha sana
Nimefika nimeona kijana Yuko vyema
C.c Bantu LadyUliingize dude sehemu nzuri uanze yale mambo yetu mkuu, huku misosi na vilaji vipo vya kutosha, ni mwendo wa kuamua mnaanzajeπ€£π€£π€£π€£π€£
Hapo uwe huna stress za shekeli, hutumii buster, bajaj imejaa wese, watoto wameshiba na mama yao hakuulizi nenoπ€£π€£π€£
Safi sana yaniNimefika nimeona kijana Yuko vyema
Differential Equations For Non-Majors ila Ngoma imesimamia kuchady/dx
Mkuu hawa mabinti nawaadmaya tu sio kingine, na vile ndio uzee huu naanzaje sasa, unataka nijiaibishe mkuu?
π π π π inakuwa kihamaaa... lazima upake girisiii... kila nikiwaza nachoka ila nimevulia maji nguo soon nalianzishaDifferential Equations For Non-Majors ila Ngoma imesimamia kucha
sasa ile ya For Majors sijui inakuwaje
π π π nao wanakukubali sana mtu wao wa mguvuMkuu hawa mabinti nawaadmaya tu sio kingine, na vile ndio uzee huu naanzaje sasa, unataka nijiaibishe mkuu?