Ni mambo gani ambayo ukifanya kwa kutumia pesa yako nafsi yako hupatwa na furaha sana na amani?

Ni mambo gani ambayo ukifanya kwa kutumia pesa yako nafsi yako hupatwa na furaha sana na amani?

1. Nikinunua petroli.
2. Nikisafiri.
3. Nikienda movie.
4. Nikishare kitu

Ambayo uwa najuta:
1. Nikionga.
2. Nikinywa beer.
3. Nikila kwenye fancy restaurants.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… sema kwenye manunuzi ya petroli patamu sana... speed 160kmh kwenye konaaa shwaa
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… We nomaa sema maisha hayaki u serious
Uliingize dude sehemu nzuri uanze yale mambo yetu mkuu, huku misosi na vilaji vipo vya kutosha, ni mwendo wa kuamua mnaanzaje🀣🀣🀣🀣🀣
Hapo uwe huna stress za shekeli, hutumii buster, bajaj imejaa wese, watoto wameshiba na mama yao hakuulizi neno🀣🀣🀣
 
1. Kununua mafuta ya kupigia Nyeto
Naamini naokoa kibunda kimoja kikubwa sana ambacho kina Moureen wa Tabata wangekifaidi

2. kingine nikifanya finishing ya anasa kwenye kibanda, hua nakua na furaha sana
πŸ₯ΈπŸ₯ΈπŸ₯ΈπŸ₯ΈπŸ₯Έ nomaaa sanaaa dy/dx
 
Uliingize dude sehemu nzuri uanze yale mambo yetu mkuu, huku misosi na vilaji vipo vya kutosha, ni mwendo wa kuamua mnaanzaje🀣🀣🀣🀣🀣
Hapo uwe huna stress za shekeli, hutumii buster, bajaj imejaa wese, watoto wameshiba na mama yao hakuulizi neno🀣🀣🀣
C.c Bantu Lady
Antonnia ... njoo mmbebeni huyu mtu wenu
 
Differential Equations For Non-Majors ila Ngoma imesimamia kucha

sasa ile ya For Majors sijui inakuwaje
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… inakuwa kihamaaa... lazima upake girisiii... kila nikiwaza nachoka ila nimevulia maji nguo soon nalianzisha
 
Back
Top Bottom