Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Nachukia sana michango ya harusi, bora nikuchangie umalizie nyumba yako, back to the topic,my favorite ni kusaidia wanafunzi wasiojiweza ada za shule (shule za kawaida)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moyo safi sana huu mkuu.. nimeupenda sana moyo wakoHuwa nafurahi sana ninapogundua msaada niliotoa umemsaidia mlengwa
2: shukrani kutoka kwa mzazi
michango harusi inafilisi sana ukiiendekeza.. alafu imejaa lawama sana 😅😅😅Nachukia sana michango ya harusi, bora nikuchangie umalizie nyumba yako, back to the topic,my favorite ni kusaidia wanafunzi wasiojiweza ada za shule (shule za kawaida)
🤣🤣🤣Inaleta raha ktk ubongo 🤝😅😅😅... hayo ya min skirt...ni 🔥🔥🔥🔥 kikubwa uwe makini usielete ajari
View attachment 2699192
😅😅 sana, nafsi inapata utulivu... alafu muwe njia yenye green tupu.. huwa raha sanaa🤣🤣🤣Inaleta raha ktk ubongo 🤝
Differential Equations For Non-Majors ila Ngoma imesimamia kucha
sasa ile ya For Majors sijui inakuwaje
😂😂😂Dj walete wengine kichwa ipate usingizi wenye utulivu😅😅 sana, nafsi inapata utulivu... alafu muwe njia yenye green tupu.. huwa raha sanaa
watoto wako nao watakuwa kama wewe kwa mama yao .. safi sana 😍Moja ya kitu kinanipa amani na furaha nikitatua shida ya Mama ❤️
Ila harusi za siku hizi zinatafuna mitaji nyie , alafu watu wanakuja kukaa miezi 5 wanatenganamichango harusi inafilisi sana ukiiendekeza.. alafu imejaa lawama sana 😅😅😅
hasara sana,. licha ya kuachana harusi na kichango ya siku hizi ni ya kipigaji sanaIla harusi za siku hizi zinatafuna mitaji nyie , alafu watu wanakuja kukaa miezi 5 wanatengana
Ndoa inapoisha unaanza kuwaza madeni kulipa😂hili linanifanya kichwa kufikiri kwa weredi zaidiIla harusi za siku hizi zinatafuna mitaji nyie , alafu watu wanakuja kukaa miezi 5 wanatengana
hii inasikitisha sana, ambao tumeona hili tujitahidi mkuu kulea wanetu katika njia sahihiSiku izi watoto hawana mama walezi wazuri maadiri yanazidi kuporomoka sio kama tulivyo lelewa kipindi kile hii inapelekea kila mtoto kufanya anachojiskia maana malezi ni butu😐
wanapenda ufahari siku hizi..Ndoa inapoishs unaanza kuwaza madeni kulipa😂hili linanifanya kichwa kufikir kwa weredi zaidi
Dah inakua ngumu kidogo hasa pale kama mwanaume umezaa na wanawake tofauti tofautii unazani apo nguvu yako utaweza kuielekwza upande gani chief😎hii inasikitisha sana, ambao tumeona hili tujitahidi mkuu kulea wanetu katika njia sahihi
hili tatizo sana wanaume kuzalisha na kacha, tabia mbaya hii.. Dada zetu Mungu awape akili za ziadaDah inakua ngumu kidogo hasa pale kama mwanaume umezaa na wanawake tofauti tofautii unazani apo nguvu yako utaweza kuielekwza upande gani chief😎
Sasa kwa Maisha ya Leo kila kitu hutazamwa na mwanau unadhani iyo ndoa itakua kwenye usalama wakutosha ndio maana tunaongoza kwa kufs na mawazo zaidi 😂kwenye ndoa umeingia ukiwa rijali inspita miaka miwili tu mme mbegu hazina nguvu yakutungisha we unadhani nini hupelekea Hali hiyo kama sio mawazowanapenda ufahari siku hizi..
😂😂😂Chief kwa Maisha ya Leo wanawake wapenda Vicent wamekua wengi tofauti na kipindi kile unsmfukuzia mwanamke miezi mingi zaidi na wanawake kuzaa hovyo haikuepo lkn saiv unamfuata mtoto wa kike unauliza dau lako ngapi anakupa ofer yake imeisha 😂😂hili tatizo sana wanaume kuzalisha na kacha, tabia mbaya hii.. Dada zetu Mungu awape akili za ziada