Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Mungu ni mwema🙏mambo mengi rafki yangu, siwezi kufunguka😅
una moyo mzuri kusaidia yatima utafika mbali, utazaa mapacha 1000😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu ni mwema🙏mambo mengi rafki yangu, siwezi kufunguka😅
una moyo mzuri kusaidia yatima utafika mbali, utazaa mapacha 1000😅
mbeya??uko wapi mkuu.. nipo hapa karibu na city
raha sana mkuu.. nahisi ni hoby yangu tu mkuu.. nafurah navyokata upepoHyo namba 2 itakutoa roho mkuu,unakimbiliaga nn?
hii ndio dini safi mbele za MunguNapenda kusaidia wajane na yatima. Nakua na amani sana moyoni mwangu na pesa yangu hainiumi hata kidogo.
mambo mengi rafki yangu, siwezi kufunguka[emoji28]
una moyo mzuri kusaidia yatima utafika mbali, utazaa mapacha 1000[emoji28]
Mpe SoMo aelewe zaidi
Inshaalah😍watoto wako nao watakuwa kama wewe kwa mama yao .. safi sana 😍
hii ndio dini safi mbele za Mungu
Imekaa mwake kabisaa..✌️✌️1. Kuwapa TAG ndugu jamaa na marafiki wakiwa Ngaa.
2.Kununua gadgets na hasa musical appliances.
3.Kulipa bills.
dah, asante kwa kujali dada yangu, mazito haya nnayobeba yatakupalia😅Njoo piem ufunguke basi km hapa unaogopa mdogo angu
Una moyo wa umama kabisaa.. Endelea na Moyo mzuri kama huo, Mungu atakupigania katika mengi pia.. 🙏🙏Napenda sana, hata wamama ambao wahitaji nawasaidia sana na nakua na amani ya ajabu.
Kuna mama nilimsaidia mpk akaanza kunifanyia shirki nimpende kijana wake niliumia[emoji17] sometimes wema wetu unatuponza lkn bado siachi kusaidia
1. Kuwapa TAG ndugu jamaa na marafiki wakiwa Ngaa.
2.Kununua gadgets na hasa musical appliances.
3.Kulipa bills.
dah, asante kwa kujali dada yangu, mazito haya nnayobeba yatakupalia[emoji28]
Una moyo wa umama kabisaa.. Endelea na Moyo mzuri kama huo, Mungu atakupigania katika mengi pia.. [emoji120][emoji120]
achana nayo tu, tuendelee kutaniana😅Yalete yanipalie [emoji4]
achana nayo tu, tuendelee kutaniana[emoji28]
na mie nisaidie basi dogo lake la akiba 😊😊😊Pole ukihisi yamekuzidia nipo hapa dada mkubwa kukusaidia kuyabeba [emoji4]
na mie nisaidie basi dogo lake la akiba [emoji4][emoji4][emoji4]