Ni mambo gani ambayo ukifanya kwa kutumia pesa yako nafsi yako hupatwa na furaha sana na amani?

Ni mambo gani ambayo ukifanya kwa kutumia pesa yako nafsi yako hupatwa na furaha sana na amani?

Napenda sana, hata wamama ambao wahitaji nawasaidia sana na nakua na amani ya ajabu.

Kuna mama nilimsaidia mpk akaanza kunifanyia shirki nimpende kijana wake niliumia[emoji17] sometimes wema wetu unatuponza lkn bado siachi kusaidia
Una moyo wa umama kabisaa.. Endelea na Moyo mzuri kama huo, Mungu atakupigania katika mengi pia.. 🙏🙏
 
Back
Top Bottom