Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Haha wanadamu tunaona ila Mungu tunaamini yupo ijapokuwa hatujawahi kumuonaSasa wewe sikuoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha wanadamu tunaona ila Mungu tunaamini yupo ijapokuwa hatujawahi kumuonaSasa wewe sikuoni
aaah... wapi dada la dada... nipo serious mie [emoji28][emoji28]
Mimi kusema ukweli naona nimefata moyo wa Marehemu Mama yangu. Kujitoa kwa wenye uhitaji, maana naweza kulia kabisa, nikiona mtu ana uhitaji na kakosa or ndiyo kapata. So ndiyo vitu napenda. By the way toka mdogo, nilipenda kuwa sister.
Nimeupenda sana moyo wakoo.. 😊😊Mimi kusema ukweli naona nimefata moyo wa Marehemu Mama yangu. Kujitoa kwa wenye uhitaji, maana naweza kulia kabisa, nikiona mtu ana uhitaji na kakosa or ndiyo kapata. So ndiyo vitu napenda. By the way toka mdogo, nilipenda kuwa sister.
C.c Bantu LadyTurudi kundini mwenyewe napenda kweli
Shem BBM umefunga utaki ujinga,😂Somo gani tena?
Sawa mimi nakuchukia nimeamua kuishi ivyoHaha wanadamu tunaona ila Mungu tunaamini yupo ijapokuwa hatujawahi kumuona
C.c Bantu Lady
Bado hamjachelewa kuwa ma sister... sema mmeisha onja tamuu.. mtapaaa sana taaabu.. na mie nilipenda niwe Padri kabisaa...
Shem BBM umefunga utaki ujinga,[emoji23]
Vp umewai kupakwa mafuta ayo ya utatu Mtakatifu shemTukipakwa mafuta ya utatu mtakatifu hamu zote zinakata na mawazo machafu yanaondoka [emoji3][emoji3][emoji3]
Karibu na kifo chake mwalimu mmoja wa sheria akamsogelea Yesu na kumuuliza ni amri ipi iliyo kuu. Akamjibu ya kwanza mpende Mungu wako kwa moyo woteSawa mimi nakuchukia nimeamua kuishi ivyo
Acha basMimi nikiagiza Kitimoto na Bia zangu za uvugu uvugu... Raha sana ndani ya moyo
Sikua najua Shem sasa itakuaje namimi nilitaka nije ukoMuda nilifunga we ndio unajua leo shem?! [emoji1787][emoji1787]
Atakua anaenda kumpa mwanaume mwenzakoMalaya akiniomba hela ya kodi....
Huwa najisikia Amani na furaha ya nafasi ninapoombwa pesa akalipie kodi....
Atajua yeye kama ni uongo ama kweli! Ila huwa najisikia Amani sana ...
"Najiona mimi!" Ndio mimi Tu! Hakuna...hakuna mwingine! Nakuwa high kinoma.... Kama walivyoimba Weusi!
Kumbe Pepo kwa Hali hii tutaiona Mimi mtu aseme Niko na njaa ninunulie chakula tu najiskia furaha moyoniMi sio pesa ila nikisaidia mtu kuepuka janga nk na hasa asiwe ndg,
Juzi nimesaidia binti wa 12 akaepuka kubakwa, ilibaki kidogo sana wambananishe, ile raha niliyopata kama nimepewa tiketi ya kuingia mbinguni basi nikajiona malaika
Yani raha sana ukitoa msaada kwa muhitaji,Kumbe Pepo kwa Hali hii tutaiona Mimi mtu aseme Niko na njaa ninunulie chakula tu najiskia furaha moyoni