Ni mambo gani ambayo ukifanya kwa kutumia pesa yako nafsi yako hupatwa na furaha sana na amani?

Mimi kusema ukweli naona nimefata moyo wa Marehemu Mama yangu. Kujitoa kwa wenye uhitaji, maana naweza kulia kabisa, nikiona mtu ana uhitaji na kakosa or ndiyo kapata. So ndiyo vitu napenda. By the way toka mdogo, nilipenda kuwa sister.
Nimeupenda sana moyo wakoo.. 😊😊

vizuri sana Bantu Lady , PhD...

Na mie naomba unionee huruma basi 😉😉
 
Malaya akiniomba hela ya kodi....

Huwa najisikia Amani na furaha ya nafasi ninapoombwa pesa akalipie kodi....

Atajua yeye kama ni uongo ama kweli! Ila huwa najisikia Amani sana ...

"Najiona mimi!" Ndio mimi Tu! Hakuna...hakuna mwingine! Nakuwa high kinoma.... Kama walivyoimba Weusi!
 
Atakua anaenda kumpa mwanaume mwenzako
 
Mi sio pesa ila nikisaidia mtu kuepuka janga nk na hasa asiwe ndg,

Juzi nimesaidia binti wa 12 akaepuka kubakwa, ilibaki kidogo sana wambananishe, ile raha niliyopata kama nimepewa tiketi ya kuingia mbinguni basi nikajiona malaika
 
Kumbe Pepo kwa Hali hii tutaiona Mimi mtu aseme Niko na njaa ninunulie chakula tu najiskia furaha moyoni
 
Yani raha sana ukitoa msaada kwa muhitaji,

Kuna mdada nilimsaidia akajifungua salama, vinginevyo angepigwa kisu basi alinishukuru kwa machozi
 
Back
Top Bottom